Yote yanayo tokea sasa hivi ni sababu ya CCM na lawama zote sio apewe Samia Hassan suluhu. CCM ilitengeneza mifumo ya ovyo ambayo kila mtu akiwa kiongozi anajiona kashamaliza kila kitu, mtu akiwa kiongozi chini ya mifumo ya CCM anaweza kuua, kubaka, kuiba, kufanya biashara haramu pasipo...