Hasira ni nguvu hasi inayomjaa mtu na kama sifa ya nguvu/nishati nyingine lazima itafute kitu cha kupokea;
Mtu akiwa nayo automatically inahamia kwenye maeneo fulani fulani ya mwili:
• Mwingine huenda mikononi anapiga kila kilicho mbele yake hasa cha thamani, hapa akiwepo aliyemkasirisha...