Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.
ATCL KUANZA SAFARI ZA URUSI JUNI 2025
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, amesema kuwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), linatarajia kuanza safari za ndege kuelekea nchini Urusi mnamo Juni, 2026.
Ameyasema hayo leo Mei 15, 2026 jijini Arusha...
Ndege ya Air Tanzania ya abiria na mizigo, sasa rasmi, kuanza safari ya moja kwa moja kutoka Tanzania kwenda jijini Moscow, nchini Urusi kuanzia mwishoni mwa mwezi Juni, 2026
Kwa China kila goti litapigwa. Trump yuko safarini kuelekea China kukutana na the most powerful person in the world Xi Jinping.
Trump amebebana na CEOs wa makampuni makubwa ya Marekani kwenda China, haijawahi kutokea. This is absolutely insane.
Elon Musk, Tesla and SpaceX CEO
Jensen Huang...
Mradi wa SAFARI unaotekelezwa na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umefanya kikao chake cha kwanza cha Kamati ya Ushauri wa Kiufundi (TAC) iliyoundwa kuimarisha utekelezaji wa Mradi huo wenye lengo la kutumia teknolojia ya Akili Unde (AI) kuboresha huduma za ultrasound kwa kina mama wajawazito...
Habari za muda huu Wakuu wa JamiiForums.
Leo nimeona niingie mtaani kwenu rasmi. Jina langu ni Nassoro Hemedi Kilimbite, kijana wa kitanzania niliyezaliwa mwaka 2000. Mimi ni mmoja wa vijana wanaoamini kuwa teknolojia ndiyo mkombozi wa uchumi wetu wa sasa na chachu ya maendeleo kwa kila...
Passo AKA KINUSA MAFUTA IMEFIKA PIA 2008 MODEL A VERY CLEAN UNIT, KM 88,000 CC 1000 AT Petrol 2WD 13.9M + Usajili, HII kwa Mafuta Kupanda BEI itakufa sana, Kwa Final Price Na Picha zaidi Contact 0714547598
Habari wanaJamiiForums, tunaopenda kusafiri iwe nje au ndani ya mipaka ya tanzania.
Kusafiri ni raha sanaa kunaufanya ubongo upate maarifa mapya, mtu anajifunza mengi sana kuanzia kubadirisha mtazamo wa mtu na kujifunza mambo mbali mbali ya ulimwengu.
Je ushawahi safiri ndani ya nchi...
Wakuu nipeni ratiba safari ya Mtwara mimi natokea Zanzibar nataka kwenda Mtwara naishia Mtama ninachotaka kujua bus la Mtwara napandia wapi pia nauli ya bus bei gani?
Kumekuwa na utata wa wasifu wa mwandishi wa habari mkongwe, Jenerali Ulimwengu, hasa baada ya kutakiw akuomba upya uraia, enzi za Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa.
Akizungumza katika mahojiano maalum, Jenerali Ulimwengu anasimulia safari yake tangu alipozaliwa wilayani Ngara mkoani...
Uzi na Mr Attorney
Fanya uchunguzi wa Train za kuja Dar Ijumaa na Jumamosi.
Utagundua Manzi za Dodoma huwa wanafuraha saana, snapchat, instagram na Tiktok kwa wingi…
Ila Train za Jumapili kurudi DOM huwa ni kisanga sana.
Huwa mamanzi wanalala tu, wamechookaa hatariii… wapo hoooii bin Taaban...
Ndugu wana JF,
Kuna jambo linazidi kuwa kero kwa wasafiri wengi wa mabasi ya mikoani. Ni hii tabia ya makampuni ya bus kusimamisha safari kwenye vituo maalum vya chakula ambavyo bei zake ziko juu kupita kiasi. Abiria tunashushwa hapo kana kwamba hatuna chaguo lingine, wakati ukweli ni kwamba...
Anonymous (c258)
Thread
abiria
bei
chakula
kero
kubwa
kulazimishwa
kushuka
safari
vituo
wakati
Kuna taarifa zinasikika kuhusu Iran kwamba wamewapa muda marekani kuondoka hapo walipoweka wao kizuizi la sivyo wataamua kujenga ukuta wa zege kabisa ili iwe kazi kubwa kuufungua hata kama majadiliano yataisha kwa amani
Google imerekodi kila safari yako ya kwenda hospitali mwaka huu, na hata mizunguko yako ya usiku wa manane. Simu yako inatuma taarifa (updates) zako kila baada ya sekunde 96. Simu za Android zinatuma taarifa zako mara 20 zaidi kwenda Google ukilinganisha na jinsi iPhone inavyotuma kwenda Apple...
Watumishi wa Mtwara Manispaa wanadai posho za safari na kazi mbalimbali lakini Mkurugenzi halipi hela zote, anatumia yeye kusafiri kila siku hata muda wa kukaa ofisini hana.
Imeumiza sana, watu wanadai hela anadai ofisi haina mapato wakati yeye kila siku safarini na bado anawalipa watu wa...
Kutokana na safari yangu ambayo ni wiki mbili zijazo sitaki kwenda mwenyewe nataka nipate mwanadada wa hapa JF ikipendeza awe Mod kama yupo
Kwa hiyo wanadada wa huku kama hujawahi au unataka kusafiri kuelekea Pennsylvania kwaajili ya kurefresh kwa siku kadhaa na kurudi Tz, basi utaniambia ili...
28 FEBRUARY 2026, Basi la Abood lilitoka Mbezi Bus Terminal, kufika chuo cha St Joseph likapata hitilafu, wahusika wakatoa taarifa kuwa Bus imekata Fen Belt, hivyo abiria tuwe wavumilivu fundi anakuja.
Tulikaa tangu Saa 1 Usiku hadi Saa 5 Usiku ndio Bus linaanza kutoka tena safari ya kutoka...
Anonymous (bbf7)
Thread
dar
huduma
huduma mbovu
mbeya
mbovu
saa
saa 24
safari
wateja
Niaje waungwana
Raisi wa Marekani ndugu Donald Trump ameitishia NATO na EUROPE kwamba hivi punde wajiandae kukikabidhi kisiwa hicho katika mikono yake, kabla hawajakumbana na vifo vya kujitakia kutoka kwenye jeshi la Marekani.
Hapo chini ni vitisho vya raisi Trump huku Iran ikiahidi kusimama...
Wakuu,
Baada ya hali ya hewa kuchafuka mashariki ya kati ATCL imetangaza kusimamisha safari zake za kwenda na kurudi kutoka Dubai kwa muda mpaka pale watakapotangaza tena huku ikiendelea kufuatilia hali hiyo kwa ukaribu.