ruzuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO Uvushaji wa mbolea za ruzuku kwenda Zambia

    Tunduma Kuna uvushaji wa mbolea za ruzuku kupeleka Zambia kwa njia ya magendo. Hii kazi inasimamiwa na vijana wa CCM, wao wanajiita vijana wa chama chini ya mbunge wa sasa David Silinde na wao wanatoza kila mfuko wa mbolea 2000. Hizi mbolea zimetapaka sana Zambia licha ya kuwa ni za ruzuku kwa...
  2. GE2025 Samia aahidi ruzuku za Mbolea, chanjo za mifugo

    Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa Igunga mkoani Tabora leo, Jumatano Septemba 10, 2025, ametoa wito kwa wafugaji wa mkoa huo kupeleka mifugo yao kwenye chanjo na utambuzi ili kuiweka Tanzania katika viwango vinavyokubalika kimataifa katika soko la mifugo...
  3. K

    Sijazielewa hizi ruzuku za pembejeo za kilimo Bashe

    Hizi ruzuku zimekaaje yaani mfuko wa Ura 71000 kwa ruzuku bila ruzuku 74000, can 62000 kwa ruzuku bila ruzuku 65000. Bashe hapo umepigaje? sasa bora zirudi bei za 50000 kama zile za nyuma kipindi kile. kwanza mbolea nyingi ni feki mamlaka za kudhibiti zinaongwa tuuu
  4. GE2025 Daniel Chongolo: Kabla ya Rais Samia hatukuwa na Ruzuku ya Pembejeo za Kilimo

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mgombea wa ubunge wa jimbo la Makambako amesema mwaka 2020/2021 hatukuwa na ruzuku ya pembejeo za kilimo, lakini ni Samia Suluhu aliyekuja na maamuzi makubwa ya kuweka pembejeo. Ameyasema hayo katika kampeni ya Samia Suluhu...
  5. Rais Samia: Tumetoa Sh. bilioni 700 kwaajiili ya ruzuku ya mbolea | Uzalishaji wa mazao ya chakula umefikia Tan 22.8.

    Dar es Salaam, Tanzania – Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini umeongezeka kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2021 hadi kufikia tani milioni 22.8 mwaka 2024, ongezeko linaloashiria jitihada za Serikali na wakulima kuongeza tija na kuhakikisha usalama wa chakula nchini. Aidha, Serikali inaendelea...
  6. Dkt. Biteko azindua programu ya ugawaji majiko ya umeme kwa bei ya ruzuku kwa wafanyakazi wa TANESCO

    DKT. BITEKO AZINDUA PROGRAMU YA UGAWAJI MAJIKO YA UMEME KWA BEI YA RUZUKU KWA WAFANYAKAZI WA TANESCO 📌 Lengo ni kuchochea Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 📌 Asema matumizi ya umeme kwa ajili ya kupikia ni nafuu zaidi ukilinganisha na mkaa; Wananchi wahamasike 📌 Amtaja Rais Samia...
  7. KERO Mbolea za YARA zimekuwa changamoto kupatikana kwa RUZUKU muda mrefu sasa hasa ukanda wa pwani.

    Ni zaidi ya miaka 2 sasa mbolea za YARA ukiulizia kwa wauzaji hawataki kuuza kwa Ruzuku, wanadai hawalipwi kwa wakati na wananunua “cash” na wao wakiuza kwa ruzuku pesa yao inachelewa sana kulipwa. Ukiwapigia YARA sio rahisi kuwapata hata simu zao ni changamoto kupokelewa na wakipokea kwa...
  8. GE2025 Haki itendeke CCM nao wanyimwe Ruzuku, Kwa kutofata katiba yao

    Hii nimeipenda sana, na itatumika kama reference siku za mbeleni, sijui Msajili wa vyama atachomoka vipi. Jaji Mtungi amekuwa mwiba mkali kwa kukandamiza CHADEMA, amewafanyia ushetani mkubwa eti katiba yao haikufatwa. Mara paa kimewakuta CCM ambapo ilimpitisha Rais Samia kiharamu bila kufata...
  9. A

    Tuliopiga pesa kwenye mbolea zenye ruzuku miaka 2010 hadi 2014 na kufirisiwa na Hayati Magufuli tukutane hapa

    Binafsi, nimekaa na kukumbuka harakati za kimaisha na jinsi nilivyokuwa milionea na kufirisika na kuwa Kapuku. Nilikuwa nina duka la Pembejeo za Kilimo pale Makambako nikiuza pembejeo za kilimo mbalimbali. Baadaye mbolea zenye ruzuku ya serikali zikaanza wakati wa Kilimo kwanza. Mwaka 2010...
  10. Ushauri: Upinzani kabla ya kuanza utekelezaji wa slogan zenu pimeni kwanza Kama zinatekelezeka ili kuokoa matumizi mabaya ya Ruzuku.

    Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya viongozi wa Upinzani za kuanzisha program/slogan na kutumia hela nyingi (ruzuku) ili Hali wao wenyewe wakijua akilini mwao hazitekelezeki hii ni ishara ya kuwa na viongozi duni kifkra, imagine bajeti ya uchaguzi imeshatengwa Leo hii Kiongozi wa chama bado...
  11. Ni dhahili ruzuku itaendelea kusitishwa kwani walioenguliwa kusimamia fedha hizo wamejikamunisha wenyewe badala ya kukamunishwa na baraza kuu la chama

    Msajili wa vyama vya siasa alisitisha ruzuku ya serikali ya Sh 107 million kwa mwezi kwa chama cha chadema. Alifanya hivyo kwa sababu wasimamizi wa fedha hozo (secretariat) akiwemo Afisa Masululi (Accounting Officer) wa chama ambaye ni Katibu Mkuu wa chama walipata nafasi hizo kwa njia zisizo...
  12. Hashimu Rungwe aitaka Serikali kutoa Chakula bure kwa Wagonjwa na Wanafunzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) taifa, Hashimu Rungwe ameitaka Serikali kutoa ruzuku kwa hospitali zote nchini pamoja shule zote za msingi na sekondari ili wagonjwa wasio na ndugu wapate chakula bure huku wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo wa kuchangia chakula shuleni...
  13. Trump atishia 'kusitisha ruzuku na mikataba yote ya serikali anayopata Elon Musk

    Donald Trump ameendelea kumshambulia Elon Musk kupitia mtandao wa Truth Social, akisema: "Elon alikuwa ‘anavuka mipaka’, nilimwambia aondoke, niliondoa amri ya magari ya umeme (EV Mandate) iliyolazimisha kila mtu kununua magari ya umeme ambayo hakuna aliyoyataka (ambayo alijua kwa miezi kadhaa...
  14. *SHINYANGA KUNUFAIKA NA MIRADI YA REA, WAUZIWA KWA RUZUKU MITUNGI 13000*

    SHINYANGA KUNUFAIKA NA MIRADI YA REA, WAUZIWA KWA RUZUKU MITUNGI 13000 📌Kila wilaya kunufaika na mitungi ya gesi 3,255 📌REA yachochea ushiriki wa wanawake katika shughuli za kiuchumi 📌Mradi kupunguza ukataji wa miti unaosababisha mabadiliko ya tabianchi Wakala wa Nishati Vijijini (REA)...
  15. Z

    Kampeni ya no reform no elections ,ni matumizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa

    Labda kama kapeni hii imefadhiliwa na EU au USA, vinginevyo ni matimizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa ambayo ni hela za walipakodi walalahoi wa kitanzania. Nasema hivyo kwa sababu the main goal ya kuzuia uchaguzi haitafanikiwa kwa sasa. Poor timing.sasa kama kapeni hii haiwezi kuletea...
  16. PreGE2025 Mwanasheria ahoji maswali 10 kwa Msajili kusitisha ruzuku ya Chadema

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi Kufuatia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kusimamisha ruzuku kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwanasheria na wakili, Edson Kilatu amehoji maswali 10 akitaka kuzingatiwa kwa Sheria ya vyama vya Siasa ya 1992. Soma pia...
  17. Q

    Ruzuku ya CHADEMA ni Wanachama siyo pesa ya Msajili

    Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba. Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji. Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa...
  18. The Defining Moments for CHADEMA: Watanzania wazidi kuikataa CCM na hila zake za kuiua CHADEMA. Maamuzi ya Msajili kuzuia ruzuku yapingwa kila kona

    Sasa ni dhahili, CCM imeazimia kuiua Chadema kwa kutumia vyombo vya Serikali/ dola baada ya hila na mbinu zote za kisiasa kufeli. Walianza kutoa hela kwa wajumbe wa Chadema ili Lissu na Heche wasiwe viongozi wakafeli, Wakatoa mabilioni ya shilingi kuhonga mamluki ili wajiondoe Chadema mradi huo...
  19. PreGE2025 Msajili asitisha ruzuku CHADEMA, atishia kusimamisha shughuli za chama wakiendelea kukaidi na kuwatambua viongozi

    Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania kulingana na Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 18(6) cha sheria ya Vyama vya siasa, ametangaza leo Jumanne Mei 27, 2025 kusitisha kutoa ruzuku kwa Chama Cha Demokrasia na maendeleo Chadema hadi pale watakapotekeleza maelekezo ya Ofisi ya Msajili...
  20. Baada ya uchaguzi; Kama CHADEMA Itaweza ku-survive mpaka 2027 bila Ruzuku. Kitakua kama Imani katika Dini

    Sabato Njema! Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana. Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote. Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…