ruto

Ruto, or Rutto, is a surname of Kenyan origin that may refer to:

Evans Rutto (born 1978), Kenyan marathon runner and two-time winner of the Chicago Marathon
Isaac Ruto, Kenyan politician for the United Republican Party
Paul Ruto (born 1960), Kenyan middle-distance runner and 1993 world champion
Ronald Kipchumba Rutto (born 1987), Kenyan steeplechase and marathon runner
William Ruto (born 1966), Kenyan politician and Deputy President of Kenya

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto awasimamisha kazi Makamishna 4 waliopinga matokeo ya Urais

    Rais William Ruto amewasimamisha kazi makamishna wanne wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwa madai ya kukiuka miiko ya utumishi. Makamisha hao walipinga matokeo ya Urais yaliyotangazwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo na kudai kuwa hawayatambui. Makamishna hao, Juliana Cherera, Justus...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aweka wazi kwamba jeshi la EAC litalazimisha amani ya kudumu DRC

    Hamna haja ya kuendelea kuzungushana DRC, muda umefika wa kulazimisha amani, hutaki sepa.... Na ukizingua unakumbana na mkung'uto.. Kenyan President William Ruto on Monday said the East African Community (EAC) troops deployed in the Democratic Republic of Congo would ‘enforce peace’, not ‘keep’...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Polisi inapaswa kuwalinda watu wote bila kujali vyama vyao

    Huyu atakuwa amelewa. Hajui madaraka yakoje na tayari anaanza kuwa na akili za Kibeberu. Anaongea maneno gani haya? Utamaduni huu wa kuiga kwa mabeberu. Ni utamaduni wa hovyo. Anataka alete machafuko Kenya na East Africa? Nadhani ameshachoka kuwa Rais. Au ameshiba wenzake wenye uzoefu na Urais...
  4. JamiiForums Tanzania Uhaba wa Maji na Umeme ungetokea katika Taifa lenye Raia 'wanaojitambua' la Kenya Rais Ruto asingekuwa anazurula zurula tu kama nzi

    1. Sishangai sana ndiyo maana hata Kielimu tu Wakenya wamewaacha mbali sana Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi. 2. Sishangai sana ndiyo maana hata Kiakili tu Wakenya wamewazidi mbali mno Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi. 3. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya ni Watu wenye...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Ruto aikataa hoja ya kuongeza muda wa Rais kuwa madarakani, asema ni ubinafsi

    Rais wa Kenya, William Ruto amesema kuwa kinachotakiwa kwa sasa ni kuongeza nguvu kwenye kukamilisha miradi na ahadi alizoweka wakati akiwania Urais. Kauli hiyo imekuja baada ya hoja kuibuliwa Bungeni na Mbunge Salah Yakub kuhusu kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani kwa zaidi ya vipindi...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya lapokea hoja ya kuwaondoa kazini Maafisa wa IEBC waliokataa ushindi wa Rais Ruto

    Bunge la Kitaifa limethibitisha kupokea mapingamizi 4 ya kuwafuta kazi Maafisa 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi waliodai Matokeo ya Urais hayakuwa halali. Makamu Mwenyekiti wa Tume, Juliana Cherera, na Makamishna Francis Wanderi, Justus Nyang’aya na Irene Masit walipinga matokeo yaliyotangazwa na...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto anahitaji Tsh. Trilioni 51 kutekeleza ahadi zake kwa Wakenya

    Kupitia ripot ya Tathmini ya Athari za Gharama ya Mpango wa Mabadiliko ya Kiuchumi wa Bottom-Up 2022 hadi 2027', ofisi ya bajeti inakadiria kutumia fedha hizo kutekeleza kikamilifu ilani ya Rais Ruto ndani ya miaka 5 ya muhula wake. ====================== The Kenya Kwanza campaign clarion call...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto kuingia kwenye Orodha ya Madikteta?

    Rais Ruto yumo katika hatari ya kujichafua akikubali shinikizo la vikaragosi wake kuondondoa vipindi vya urais. Pendekezo la mbunge wa UDA la kubadilishwa kwa Katiba ili kuondoa vipindi viwili vya urais linamwekea mtego Rais Ruto wa kuingia katika orodha ya marais wa Afrika ambao wamekatalia...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera kwa Ruto kutowarembea M23, Akiwa mpole Kenya Magharibi itaanza kuchezewa kama Congo, M23 = Rwanda + Uganda

    Mwanzoni mtoto wa M7 alikuwa anapima kina cha maji kutesti reaction ya Ruto, Nahisi aliona Ruto ni Docile akaanza kumtesti kwa kumwambia ataiteka Nairobi ....ujumbe huu ulikuwa ni direct kwenda kwa Mkuu wa majeshi ya Kenya ambae ni Ruto. aliweka ujumbe kwamba anaweza kuikamata Nairobi ndani ya...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akataa Scotland Yard kusaidia uchunguzi mauaji yenye utata

    Ni majibu ya Rais William Ruto kwa Raila Odinga aliyetaka wapelelezi hao kuchunguza mauaji ya aliyekuwa Meneja wa Mifumo ya TEHAMA wa Tume ya Uchaguzi IEBC mwaka 2017. Ruto amesema "Hatuhitaji ushauri kutoka Scotland Yard kuondoa na kuvunja vitengo vya mauaji katika jeshi letu la polisi...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wagombea Urais wa Azimio la Umoja wafungua kesi ya kupinga Urais wa Ruto Mahakama ya Afrika Mashariki

    Kiongozi wa chama cha Narc Kenya Martha Karua ambaye alikuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa Raila Odinga amehamia Mahakama ya Afrika Mashariki akiikashifu tume ya uchaguzi kwa kazi "mbaya" na Mahakama ya Juu zaidi kwa kutupilia mbali ombi la uchaguzi wa urais wa 2022 lililopinga ushindi wa Rais...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania msikilizeni Dkt. Wiliam Ruto Rais wa Kenya anayoyasema hapa

    Sikilizeni madini
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Ruto gazettes vacancies for IEBC Chair, 2 commissioners

    President William Ruto has gazetted three vacancies available at the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC); Chairperson and two other commissioners. This follows lapse of the tenure of IEBC Chair Wafula Chebukati as well as Commissioners Abdi Yakub Guliye and Molu Boya on 17th...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia ya Mkenya aliyekwama Guantanamo yataka Rais Ruto aingilie kati

    JAMAA za Mkenya mmoja anayezuiliwa katika gereza la Amerika la Guantanamo Bay nchini Cuba, imeomba serikali iwasaidie kumrejesha nyumbani mpendwa wao baada ya wakili Bw Miguna Miguna kurudi nchini. Amerika haikumpata Bw Malik Mohammed Abdul na hatia na ikamwachilia huru mnamo Januari, lakini...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto ateua Mkurugenzi mpya wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai

    Amin Mohamed Ibrahim ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) na Rais William Ruto. Mohamed, bosi wa Kitengo cha Masuala ya Ndani ya Polisi, ana uzoefu wa zaidi ya miaka 30 katika uchunguzi wa makosa ya jinai na aliibuka kinara bora zaidi katika mahojiano ili kuteuliwa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Ruto afanya uteuzi wa wafanyakazi wapya Ikulu

    Uteuzi huo unajumuisha watu 10 ambao watakuwa wakifanya kazi kwa karibu na Mkuu huyo wa Nchi. Baadhi ya majina mashuhuri kwenye orodha hiyo ni pamoja na aliyekuwa mwanahabari wa Citizen TV Hussein Mohamed ambaye ameteuliwa kuwa Msemaji wa Ikulu na mwanauchumi David Ndii ambaye ameteuliwa kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Ruto: Yule Mkalimani achukuliwe hatua za kinidhamu!

    Mkalimani anatakiwa kuongea verbatim, neno kwa neno kile anachoongea yule anayemsikiliza. Na huo ndio ukalimani proffessional! Mkalimani HATAKIWI kuongeza au punguza maneno ya mtoa hotuba. Tulichoshuhudia mkalimani kuongea vitu ambavyo ni mawazo yake, kunaiweka nchi katika matatizo si ya...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ina maana Ruto alikuja Tanzania ili asiende Uganda?

    Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania. Hii ni baada ya Muhoozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta Jeshi la Kenya, kwa sababu baba yangu amenikataza. "
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto in Ethiopia for Safaricom launch as he begins regional tour

    Ethiopia Thursday morning on his first tour of the region since taking office. President Ruto is also set to travel to Uganda and Tanzania. The agenda for the regional tour includes talks on business and political ties, according to a dispatch from State House. On his arrival in Addis Ababa...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto aondoa zuio la mazao ya GMO, aruhusu bidhaa na kilimo cha mahindi yake

    Rais Ruto ameidhinisha uingizaji wa mazao na vyakula vilivyobadilishwa vinasaba (GMO), na hivyo kuondoa zuio la mazao hayo lililowekwa Novemba 8, 2012. Uamuzi huo umefanywa ikiwa ni njia ya kusaidia kuongeza mavuno wakati ambao nchi inakabiliwa na ukame mbaya zaidi katika miaka 40 na kuacha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…