rukwa

Rukwa Region is one of Tanzania's 31 administrative regions with a postcode number 55000 . The regional capital is the municipality of Sumbawanga. According to the 2012 national census, the region had a population of 1,004,539. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the twentieth most densely populated region with 44 people per square kilometer.The region is bordered to the north by the Katavi Region, to the east by the Mbeya Region, to the south by Zambia, and to the west by Lake Tanganyika, which forms a border between Tanzania and the Democratic Republic of the Congo.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Rukwa kuanza kuiuzia umeme Zambia

    Tanzania inatarajia kuimarisha biashara ya umeme katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika, huku Mkoa wa Rukwa ukitarajiwa kuwa miongoni mwa maeneo yatakayochochea mabadiliko hayo baada ya kukamilika kwa Kituo cha Kupoza na Kusambaza Umeme cha Malangali. Makamu wa Rais wa Jamhuri...
  2. JamiiForums Tanzania Ndejembi na Dr. Mwigulu wahudhuria misa ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa Sumbawanga mkoani Rukwa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na Mama Maria Nyerere, wameshiriki Misa Takatifu ya Kumbukumbu ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026, katika Kanisa Kuu la...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi mbalimbali wa serikali wakiwa katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru 2026 mkoani Rukwa

    📍Uwanja wa CCM Nelson Mandera, Sumbawanga Baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwa pamoja katika Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2026, Sumbawanga Mkoani Rukwa. Mwenge wa Uhuru unaendelea kuwa alama ya umoja, uzalendo na uwajibikaji wa pamoja. Ni jukwaa linalounganisha Serikali na wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Nchemba Rukwa Kilele cha Mwenge

    Waziri Mkuu Dkt MWIGULU LAMECK NCHEMBA akiwa ameambatana na Mke wake, NEEMA MWIGULU NCHEMBA wakiwa wanawasili katika Kiwanja cha NELSON MANDELA Mkoa wa Rukwa, kwa ajili ya kushiriki maadhimisho ya Kilele cha Mwenge na Kumbukizi ya Miaka 27 ya Baba wa Taifa, Mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE.
  5. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu akagua maandalizi ya kilele cha mbio za mwenge wa uhuru, Rukwa

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo tarehe 13 Oktoba, 2026, amewasili Sumbawanga, mkoani Rukwa, na kukagua maandalizi ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru yanayotarajiwa kufanyika mkoani humo kesho, tarehe 14 Oktoba, 2026. Mgeni Rasmi katika hafla ya kilele hicho anatarajiwa kuwa Makamu wa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwenge wa uhuru wageuka baraka kwa wafanyabiashara Sumbawanga

    Hashimu Arafat Makota, kinyozi katika Manispaa ya Sumbawanga, amesema ujio wa Mwenge wa Uhuru umeongeza fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ongezeko la watu, wakiwemo wageni, hali iliyochochea kuongezeka kwa wateja na kipato chao. Makota amepinga wanaobeza Mwenge wa Uhuru kwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Rukwa: Hatma ya Watumishi wa RUWASA waliokuwa Idara ya Uchimbaji haijulikani

    Watumishi wa RUWASA ambao tulikua kitengo cha uchimbaji mpaka leo hatuelewi hatima yetu ni nini, kwani toka tusikie kwamba Idara ya Uchimbaji imeondolewa RUWASA na kupelekwa Ofisi za Bonde, na mashine zote za uchimbaji kukabidhiwa ofisi za Bonde, na ikisemekana kwamba baadhi ya Watumishi itabidi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Rukwa, Katavi na Kigoma tunaendelea kuoga vumbi kwenye barabara za kuunganisha mikoa yetu huku kila siku ni ahadi tu zinatolewa

    Wakati Waziri Mkuu Nchemba anaanza kazi, alisema Serikali ya Awamu ya Sita inaenda kudeal na mambo ya mtu mmoja mmoja. Akitolea mfano kwamba mambo ya barabara za lami kuunganisha makao makuu ya mikoa yalishamalizwa na sasa ni lami kuunganisha wilaya. Hali ni tofauti kwa wakazi wa Rukwa, Katavi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waalimu wa Ajira Mpya Halmashauri ya KALAMBO – Rukwa tulijiriwa 2025, hatujathibitishwa kazini mpaka sasa

    Tuna kilio chetu cha Waalimu wa Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya ya KALAMBO Mkoa wa RUKWA, tumeajiriwa tangu Mwaka 2025 mwezi wanne, mpaka leo tuko mwezi wa tano 2026 bado hatujathibitishwa kazini. Soma Pia: Ajira Mpya (Kada ya Afya na Walimu), Manispaa ya Kibaha tuna mwaka mmoja na nusu sasa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Mwigulu kufanya ziara ya kikazi Rukwa, Namanyere

    Ni Rukwa tena ziara ya kikazi,Namanyere Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 📅 Jumatatu – Machi 09, 2026 ⏰️ Kuanzia saa 3 asubuhi Lengo la Ziara: 1. Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Shule ya Amali ya Mkoa – Namanyere 2. Mkutano wa Hadhara – Namanyere 3. Kukagua...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO RTO Rukwa akwamisha masomo ya madereva wa mabasi na malori

    Husika na kichwa hapo juu, Mimi ni dereva wa mabasi ya abiria Mkoa wa Rukwa. Nimeshindwa ku-renew leseni yangu kutokana na kukosa cheti cha PSV C PLAIN. Hivyo, nilipata taarifa kuwa Chuo cha VETA Mpanda kimekuja Rukwa kutoa mafunzo ya udereva wa Public Service Vehicles (PSV) na Heavy Duty...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti Machifu Rukwa: Tunachukizwa sana na wanaosema wanazuia Uchaguzi na kutaka kuandamana. Rais Samia anafaa kuendelea kuongoza

    Mwenyekiti wa Umoja wa Machifu wa Mkoa wa Rukwa, Charles Katata ametoa tamko la kumuunga mkono mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ili ashinde katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu Chifu Katata amesema, Machifu mkoa wa Rukwa wanachukizwa na mipango ya baadhi ya Watanzania...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Tunafurahi kwa ujio wa Rais Samia, Rukwa, ila tunachangamoto ya maji afanye atutue ndoo kichwani

    Wananchi Mkoani Rukwa wamepata hamasa kubwa kufuatia tangazo la ujio wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye anatarajiwa kufanya mkutano mkubwa wa kampeni mkoani humo tarehe 18 na 19 Oktoba mwaka huu katika viwanja vya shule ya sekondari ya Kizwite...
  14. JamiiForums Tanzania Takukuru yabaini mapungufu katika miradi Rukwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Rukwa imetekeleza ufuatiliaji wa matumizi ya fedha za umma zenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 6.7 katika kipindi cha Aprili hadi Juni 2025. Kwa mujibu wa taarifa ya TAKUKURU, kiasi cha Shilingi 422,280,519 kilichotolewa kama...
  15. JamiiForums Tanzania REA kuanza usambazaji na uuzaji wa majiko banifu mkoani Rukwa

    REA KUANZA USAMBAZAJI NA UUZAJI WA MAJIKO BANIFU MKOANI RUKWA . Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Ndugu Msalika Makungu, leo Agosti 27, 2025, ametembelewa na ugeni kutoka Wakala wa Nishati Vijijini katika ofisi yake iliyopo katika mtaa wa 1 Barabara ya mkoani mkoa wa Rukwa.. Wakala huo ambao...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Walioteuliwa na CCM kugombea ubunge majimbo ya mkoa wa Rukwa

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Rukwa katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Bilioni 12 kukamilisha ujenzi shule za sekondari Rukwa na Katavi

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali Wilayani Kibondo Mkoani Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi zinazogharimu Shilingi Bilioni 3.2 Vilevile serikali imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 8.8 kwa ajili ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali imetoa Billioni 12 kukamilisha Ujenzi wa shule Tabora, Katavi na Rukwa

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali wilayani Kibondo, Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi zinazogharimu Shilingi Bilioni 3.2 Vilevile serikali imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 8.8 kwa ajili ya...
  19. JamiiForums Tanzania Rukwa: Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza atuhumiwa kumuua mdogo wake wakati wakicheza mchezo wa kuchapana fimbo

    Jeshi la Polisi la Polisi mkoani Rukwa linamshikilia Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza kutoka Shule ya Sekondari Mtenga, Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa, Samwel Kayoka (16) kwa tuhuma za mauaji ya mdogo wake Jackson Kayoka (14) kwa fimbo walipokuwa wakicheza mchezo wa kupigana kwa fimbo. Taarifa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohamed Kawaida: Vyama 18 vipo tayari kushiriki uchaguzi, tuchague viongozi wanaotoka CCM, October tunatiki

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesema kuwa vyama 18 kati ya 19 vya siasa vimeridhia kushiriki Uchaguzi ifikapo Oktoba 2025 ambapo ametaka Chama Cha Mapinduzi kuwa miongoni mwa vyama hivyo Aidha, ameongezea kwa kusema `sauti ya wengi ni sauti ya Mungu' huku akihusianisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…