rubani

Qalatak (Persian: قلاتك‎, also Romanized as Qalātak; also known as Rūbanī) is a village in Mashayekh Rural District, Doshman Ziari District, Mamasani County, Fars Province, Iran. At the 2006 census, its population was 349, in 88 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Afrika Kusuni: Rubani atua kwa dharura baada ya kuona nyoka aina ya (cobra) chini ya kiti chake

    Rubani wa Afrika Kusini anapongezwa kwa kufanikiwa kutua kwa dharura baada ya kuona nyoka aina ya fira ‘Capa cobra’ akiwa amejikunja chini ya kiti chake, ripoti ya vyombo vya habari nchini humo yasema. Rudolph Erasmus alikuwa akisafirisha abiria wanne kutoka Cape Town kuelekea mji wa kaskazini...
  2. Korea Kaskazini yafanya jaribio la ndege isiyokuwa na rubani

    Korea Kaskazini imesema imefanya jaribio la ndege isiyoendeshwa na rubani yenye uwezo wa kubeba vichwa vya nyuklia na kushambulia ikiwa chini ya maji. Shirika la habari la nchi hiyo, KCNA, limeripoti hayo hii leo, Ijumaa, wakati kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong Un, akitowa onyo kwamba luteka...
  3. Marubani wa Urusi watatunukiwa tuzo baada ya tukio la kuzuia ndege zisizo na rubani za Marekani

    Marubani wa ndege za Urusi ambazo zilifanya jitihada za kutambua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyokuwa ikifanya kazi ya upelelezi kwenye Bahari Nyeusi wameteuliwa na kupewa tuzo za heshima, Wizara ya Ulinzi ilitangaza Ijumaa. Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu "amewapa tuzo ya...
  4. L

    Mkutano wa vyombo visivyo na rubani wafunguliwa mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China

    Mkutano wa Tano wa Vyombo visivyo na Rubani umefunguliwa mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China. Mkutano huo ulifadhiliwa kwa pamoja na serikali ya mji wa Zhuhai, shirika la anga la China, na Kituo cha Utumiaji na Udhibiti cha UAV cha Chuo cha Sayansi cha China. Katika mkutano huo...
  5. Marekani kuzindua B-21, ndege yenye uwezo wa kushambulia kwa nyuklia tena bila rubani

    Sifa za hii ndege ni za kiajabu ajabu, kitengo cha wana hewa (airforce) kitaagiza 100 kama hizi, zina uwezo wa kusafiri kwa mwendo kasi tena bila rubani na zitashambulia kwa silaha kali ikiwemo manyuklia. ================= The US Air Force will unveil its new B-21 Raider on Friday, a high-tech...
  6. Tetesi: Urusi na Iran Sasa Rasmi Kuungana kwa Ajili ya Kupata Ndege Bila Rubani Kamikaze

    Mwanzoni, ilikuwa sintofahamu kama Kamikaze, drones kutoka Iran zinatumiwa na Urusi kuipiga Ukraine. Lakini sasa rasmi, dulu za intellijensia za marekani kama ilivyododoswa na gazeti la Washington Post na kuwekwa bayana na dw radio, zinasema, wawili hao wanajongeleana ili kuweka mikakati ya...
  7. Hakuna mtu aliwasiliana na rubani wa ndege iliyoanguka ziwani, shujaa Majaliwa na Chalamila watuombe radhi

    Kwa mujibu wa maelezo ya watu waliokuwapo ndani ya ndege na kufanikiwa kujiokoa, ndege ilijaa maji ndani ya dakika moja tangu ilipoanguka ziwani. Walilazimika kupanda juu ya viti upande wa nyuma. Ushahidi wa picha za ndege ilipokuwa ziwani unaonesha upande wa mbele wote ukiwa ndani ya maji...
  8. Rubani na msaidizi wa Precision Air iliyopata ajali wamekufa kwa uzembe wa mamlaka zinazohusika na uokoaji

    Rubani, Kapteni Buruhani Rubaga, na Afisa wa Kwanza Peter Omondi Odhiambo awali walinusurika kwenye ajali hiyo na walikuwa wakiwasiliana na maafisa baada ya ndege hiyo kutumbukia ziwani. Wote wawili hatimaye walikufa kwa sababu ya kushindwa kuokolewa kwa muda muafaka. Someone must take...
  9. D

    Uchambuzi; Usafiri wa ndege ni salama kuliko usafiri mwingine wowote, ajali ya precision lawama kwa waokoaji. Hongera rubani

    Ndege ni chombo cha usafiri kinachoongoza kwa usalama kuliko vyombo vingine! Ukubwa wa ajali ya ndege hutegemea na uzembe wa mamlaka zingine saidizi! Ndege ina injini zaidi moja, mfano zilizopo Tanzania nyingi zina injini tatu! Injini moja ikifeli haizuii ndege kutua kwa kutumia injini...
  10. Serbia yaiangusha ndege isiyo na rubani mpakani mwa Kosovo

    Ndege hiyo ya UAV iliangushwa katika mji wa Raska, karibu na mkoa unaozozaniwa wa Kosovo. Wanajeshi wa anga wa Serbia wameidungua ndege ya kibiashara isiyo na rubani karibu na mpaka wa Kosovo, serikali ya Belgrade ilitangaza Jumatano. Tukio hilo linakuja siku moja baada ya Rais Aleksandar Vucic...
  11. MSD yakiri kushindwa kusambaza Dawa kwa ndege zisizo na rubani (Drones)

    Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Mavere Tukai ametaja sababu za kusimama mradi huo ni kutoonesha tija na kuwa na ugumu kiutekelezaji. Amesema mpango huo si kipaumbele chao, wanachokifanya kwasasa ni kuhakikisha wana Dawa za kutosha, Wanatekeleza Matakwa ya Kikanuni na Kuimarisha Muundo wa utendaji...
  12. V

    Madereva wa treni wanalipwa kidogo ila wanabeba abiria kwa maelfu tofauti na rubani

    Nchi za magharibi madereva wa tren wanalipwa pesa nyingi/mshahara. Kwasababu ya majukumu yao makubwa Africa tatizo ni nini dereva anayebeba abiria maelefu kwanini alipwe kidogo kuliko rubani anayebeba watu wachache? Maruban wanabeba watu wasiozidi miatatu ila wanalipwa vizuri kwann madreva wa...
  13. Ndege zisizo na rubani za Ukraine zashambulia meli za Urusi

    Meli za Urusi zimeshambuliwa na ndege zisizon na rubani (drone) katika Bandari ya Crimea iliyopo Sebastopol, leo Julai 31, 2022 na kujeruhi watu watano. Wakazi wote wa eneo hilo wamepewa angalizo la kuwa makini na kutakiwa kubaki ndani kwa sababu za kiusalama. Huo ni mwendelezo wa vikosi vya...
  14. Taratibu Uzee na Nadhifu: Rubani wa ndege ya jet na rubani mkongwe wa airbus

    TARATIBU,UZEE NA NADHIFU;RUBANI WA NDEGE YA JET NA RUBANI MKONGWE WA AIRBUS. Leo 11:05hrs 17/07/2022 Ndege ya Airbus 380 ikiambaa juu ya bahari ya Atlantic,Ndege ya kivita Jet inatokea,rubani wa ndege ya kivita aina ya Jet anapunguza mwendo,anaambaa karibu kabisa na ndege ya Airbus,anachukua...
  15. Rubani wa kike wa Kenya Airways apata sifa kwa kutua Heathrow Airport licha ya kimbunga kikali

    Ujuzi wa rubani huyu umewashangaza watu wengi sana kwa kuweza kutua ndege akiwa anapambana na kimbunga kikali kilichokuwa kinayumbisha ndege lakini umahiri wake ulifanya ndege utue salama salmini. Rubani huyu kweli anaifahamu kazi yake. Hongera sana dada.
  16. M

    Video: Rubani wa Ethiopian airlines aliomba ruhusa kuizunguka mlima Kilimanjaro akapewa

    Mzuka wanajamvi! Rubani wa Ethiopian Airlines alipokaribia kutua KIA anga ilikuwa wazi na mawingu hayakuwepo. Akauona Kilimanjaro haraka akawaomba flight controllers KIA wamruhusu auzunguke wakamkubalia nakuwashtua abiria. Ilikuwa furaha kila mtu kwenye ndege ooh my God. The majestic...
  17. Kwa hali ilivyo, ndoto yangu ya kuwa rubani itatimia kweli?

    Kwema wadau na wanajamvi wote humu? natanguliza salamu. Ni matamanio yangu kama mwanadamu tokea nikiwa mdogo kuingia kwenye hii career ya kurusha ndege. Nikasema anyway, nikimaliza chuo (nilimaliza mwaka jana B. Degree in Social Science), nikipata kazi nitadunduliza kidogo kidogo ndani ya hata...
  18. TANZIA Rubani aliyetorosha ndege baada ya kuvunjika EAC, Captain Narzis Mapunda afariki dunia

    Director of Ops mstaafu wa Air Tanzania Captain, Narzis Mapunda jana asubuhi tarehe 23/05/2021. RIP Capt. Mapunda. ===== Mwaka 2019 Kapteni Mapunda ambae ni rubani mstaafu alitunukiwa tuzo na Rais Magufuli kwa uzalendo wa kutorosha ndege ya Tanzania baada ya kuvunjika iliyokuwa Jumuiya ya...
  19. Uganda kutumia ndege zisizo na rubani kusafirisha ARVs kwa wakazi wa Visiwa vya Ziwa Victoria

    Wakati chupa za dawa zikipakiwa katika ndege zisizokuwa na rubani kwa ajili ya kusafirishwa, kundi la watu limekusanyika kwa mbali kutazama ndege hiyo yenye upana wa mita 1.5 katika eneo la Kituo cha Afya cha Bufumira III, jimbo la Kalangala nchini Uganda. Mzigo huo wa dawa za kufubaza makali...
  20. Je, wajua kuwa hata form four wa Division 4 anaweza kuwa rubani?

    Zamani enzi za ujinga tulikuwa tukiaminishwa ukiwa kipanga then ukisoma PGM (GEOGRAPHY, PHYSICS & MATHEMATICS) ndio ticket pekee ya kuwa rubani. Vyuo vingi au karibu vyuo vyote vya urubani hawatoi degree ya urubani. Urubani huweza kusomewa na mtu yeyote ilimradi tu awe na akili timamu, idea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…