rsf

The RSF Kobol is a French monophonic synthesizer released in 1978, described by some as "the French Minimoog". It could process external sounds to through the envelope and filter section. It was created by Ruben and Serge Fernandez. Fewer than 200 were made as they were not mass-produced. The Kobol is a very versatile instrument, offering many sought-after features of other analogue synthesizers of its time.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Sudan yaishutumu Uganda kukiuka sheria ya kimataifa kumkaribisha kiongozi wa kikosi cha RSF

    Serikali ya Sudan imeishutumu Uganda kwa kumkaribisha kiongozi wa kikosi cha wanamgambo cha Rapid Support Forces (RSF), Mohamed Hamdan Dagalo maarufu kama Hemedti, ikisema hatua hiyo ni kinyume cha sheria za kimataifa na ni “kejeli kwa ubinadamu.” Kupitia wizara yake ya mambo ya nje inayoiunga...
  2. Fbn

    Kuna mapolisi hapa TZ ni kama RSF ya sudani.

    Moderator unapenda kupangia uzi ila za CCM ofisi za abduli wakisema vipi uwezi kuzifuta naomba usibadilishe chochote. Nashukuru Mungu kunipa uhai mpaka sasa nilipo kwa wazungu wenzetu wanaacha vitabu waliyo yaona. Mfumo wa serikali ya Tanzania unatisha tena idara ya polisi. Vyeo vya polisi...
  3. R

    Video: Wapiganaji wa RSF walivyotekeleza mauaji mji wa Al Fasher Sudan

    Wapiganaji wa RSF nchini Sudan wanaendeleza mauaji ya halaiki katika mji wa Al Fasher, baada ya kudai kudhibiti ngome ya mwisho ya jeshi la Sudan katika eneo hilo la magharibi mwa nchi Oktoba 26 SF
  4. R

    RSF ya Sudan yaua takribani watu 300 Kordofan Kaskazini

    Kundi la wanasheria wa haki za binadamu nchini Sudan wameishtumu jeshi la kijeshi la Rapid Support Forces (RSF) kwa kuvamia na kuchoma moto vijiji katika jimbo la Kordofan Kaskazini na kuua takribani watu 300, wakiwemo watoto na wanawake wajawazito Taarifa hiyo iliyotolewa na Emergency Lawyers...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Gachagua: Ruto ndiye kamanda halisi wa Kikosi Maalum cha RSF

    Makamu wa Rais wa zamani Rigathi Gachagua amemuita Rais William Ruto "kamanda halisi" wa Kikosi Maalum cha Sudan (RSF) kutokana na madai ya kufanya biashara za kifisadi na kiongozi wa kikosi hicho, Mohamed Hamdan Dagalo, maarufu kama Hemedti. Wakati ambapo vita vya RSF na jeshi la Sudan...
  6. A

    Kenya imetoa mwanya kwa Congo River Alliance's kufanya mipango ya mapinduzi Congo na RSF kuigawa Sudan

    Kenya katika EAC inaelekea kuwa kitovu cha mipango hasi dhidi ya serikali kadhaa za ukanda huu. Kabla ya vita kupamba moto DRC, viongozi wa makundi mbalimbali ikiwemo M23 walikutana Kenya na kuunda umoja wao yaani Congo River Alliance's baada ya hapo vita ikazuka ya nguvu sana DRC, mipango hii...
  7. kaputula

    M23 na janjaweed (RSF) ni kitu kimoja kwa itikadi zao za kimbari

    Kwa wale wenye kumbukumbu watakumbuka kile kikosi cha kijeshi cha waasi Sudan kilichokua na jina la Janjaweed wakati wa enzi ya utawala wa el Bashir. Kikosi hiki kilichoundwa na wasudan wenye kujiona wao ni waarabu lengo lake lilikua kuwafurusha waafrika weusi toka kwenye jimbo la Sudan la...
  8. S

    Kikundi cha rsf kuongea na waandishi wa habari jijini Nairobi- kenya ikiwa ni baada ya kupoteza udhibiti wa mji wa wad madani

    Kulingana na The Eastleigh Voice, kikundi cha RSF cha nchini Sudan kitaongea na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya mnamo Jumatatu ya tarehe 13 Januari 2025. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu RSF wapoteze udhibiti wa mji muhimu wa Wad Madani. Kuipoteza Wad Madani ni pigo kubwa...
  9. Technophilic Pool

    Kwanini Waislam wa Africa hutawakuta wanapaza sauti kupinga mauaji ya waafrica wenzao wanauliwa na RSF kundi la kiarabu?

    Mi sijawai ona kiongozi yyte wa dini ya kiislam hapa tz au vijana mitandaoni wakipambana kupinga haya mauaji ambayo yanalenga kumuondoa kama si kumfuta mtu mweusi Sudan. Na hawa ni waislam wenzao
  10. B

    Kiongozi wa paramilitary RSF ya Sudan azuru Uganda na Ethiopia

    27 December 2023 SUDAN WATU 6,000,000 WAFURUSHWA TOKA MAKAZI YAO, 12,000 WAPOTEZA MAISHA Kiongozi wa kikosi cha paramilitary cha Sudan jenerali Mohamed Hamdan Dagalo afanya ziara ya kipekee barani Afrika na kuzuru nchi za Uganda na Ethiopia. Kikosi cha RSF kimekuwa kikipambana na...
  11. B

    RSF kusitisha mapigano kupisha Sikukuu ya Eid

    Wanajeshi wa RSF nchini Sudan wametangaza kusitisha mapigano kwa upande wao kwa ajili ya kupisha Sikukuu ya Eid-al-Adha itakayoanza Jumatano. Kiongozi wa RSF, Muhammad Hamdan Dagalo (Hemedti) ametengaza katika moja ya televisheni ya nchini humo huku akilaani dhuluma zinazofanywa kwa raia ikiwa...
  12. JanguKamaJangu

    Marekani yasema Majenerali wanaopigana Sudan wakubali kusitisha mapigano kwa siku tatu

    Majenerali hasimu nchini Sudan wamekubali kusitisha mapigano kwa siku tatu, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken alisema Jumatatu, baada ya siku 10 za mapigano katika maeneo ya mijini ambayo yameua mamia ya watu na kujeruhi maelfu ya wengine. Makubaliano ya awali ya kusitisha...
Back
Top Bottom