Hamjambo!
Binti zetu wa Tibeli mwanamke mwenye mawazo ya kinyumbani nyumbani Anakosa video vya kuwa Mke.
Mke mwema haishii tuu kuwaza kufua Boxers, sijui kupika, na kuosha vyombo.
Mwanamke ambaye ni mtu na sio binadamu huwezi mtazama kwa angle Moja au nafasi Mojave.
Mwanamke nje ya kuwa mke...
Kufuatia Mjadala uliosambaa Mitandaoni baada ya kauli ya Mtumishi Rose Shaboka kuongelea kuhusu uwa na Elimu 'Degreee' na kuishia kuwa Mke wa kufua boxer na Kupika, basi Godbless Lema amesema yake;
------
Naandika kwa ajili ya binti yangu Brilliant!
Tatizo la zama hizi ni kwamba tunawasilisha...
Mchungaji Rose Shaboka ameiambia DW kuwa serikali pia lazima ijitoe ili kuzungumza wazi na wananchi katika kuliponya taifa, Lazima Wantanzania wakubali kilichotekea, na kutafuta suluhu kwa siku zijazo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.