rose mayemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msolo

    PostGE2025 Rose Mayemba na John Pambalu waomba hifadhi Kenya

    Taarifa kupitia Citizen Tv ya Kenya, wanachama wa Chadema na wajumbe wa kamati kuu, John Pambalu na Rose Mayemba wameomba hifadhi nchini Kenya baada ya vurugu zilizotokea Tanzania 29 Oktoba. =============== Serikali ya Kenya imetakiwa kutoa hifadhi kwa viongozi wa upinzani kutoka Tanzania ambao...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Rose Mayemba: Rais Samia, umemfunga Lissu na kuzuia CHADEMA, umepoteza ushawishi

    Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika...
  3. Nipe Maji

    PreGE2025 POTOSHI Kauli ya Rose Mayemba kuwa uwezo wa Mwenyekiti kuipeleka CHADEMA mbele umeisha ilimlenga Lissu

  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Rose Mayemba: Hilda Newton yuko Central Polisi amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao

    Imethibitika sasa Hilda Newton yuko Central Polisi, msamalia mwema aliyemuona muda mchache uliopita anasema amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao. Soma Pia: Sintofahamu yatawala CHADEMA: Siku ya Pili Kada Hilda Newton hajaonekana
  5. Heparin

    PreGE2025 Rose Mayemba: Tumetoka Keko, Lissu hayupo na Magereza hawajui alipo

    Ameandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba: Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!. Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini...
  6. Colgate

    Rose Mayemba Nakupenda, Tafadhali Uponye Moyo Wangu

    Sina maneno mengi ila ninayotoka moyoni. Moyo wangu unaelea katika bahari ya mapenzi yako. Wewe ni kama ua langu zuri, lenye harufu nzuri na rangi ya kupendeza. Kila ninapokuona, moyo wangu unaanza kucheza kama ngoma. Sauti yako tamu kama muziki wa ndege, inaniacha nikifurahi. Tabasamu lako...
  7. Rula ya Mafisadi

    PreGE2025 Rose Mayemba: Kampeni ya "No reforms, No Election" haitakuwa rahisi

    Huyu Rose Mayemba Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA namfananisha na Kamala Harris wa Marekani hapa Mdee na Bulaya wakasome Nimesikiliza wanasiasa wengi sana hapa Tanzania na Africa huyu binti ni tunu na hazina ya Taifa. Rose Mayemba nimempenda bure huyu dada. === Mjumbe wa Kamati Kuu...
  8. M

    PreGE2025 Tundu Lissu amteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu. Ateua Manaibu Katibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati Kuu

    Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Chama ambalo limekutana leo Jumatano, Januari 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ameanza kupanga safu yake ya uongozi kwa Kuteua Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Wakuu pamoja na wajumbe wa Kamati...
  9. The Palm Beach

    Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

    https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki... Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA.. Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
  10. Cannabis

    Mwenyekiti wa Chadema Njombe: Nahisi CCM wana tawi lao huku

    Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amesema anahisi CCM wana tawi lao CHADEMA. Kupitia mtandao wa X mwenyekiti huyo amenukuliwa akisema "Kwa fedha nilizoshuhudia zikimwagwa USIKU kucha,nikikumbuka fedha zilivyokuwa zinamwagwa Njombe, naanza kuhisi CCM wana tawi lao huku kwetu"
  11. Cute Wife

    LGE2024 Njombe: Rose Mayemba asema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa ni operesheni ya kuwashughulikia wapinzani

    Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Njombe Rose Mayemba amedai kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana, Novemba 27.2024 nchini kote haukuwa uchaguzi kama ilivyodhaniwa badala yake ilikuwa ni oparesheni kuwashughulikia wapinzani nchini Rose...
Back
Top Bottom