ronaldo

  1. JamiiForums Tanzania Messi au Ronaldo?

    Kuna watu wengi sana wanasema Messi wengine Ronaldo; wewe unamuona nani mchezaji bora zaidi kati ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi😝
  2. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Ronaldo amvisha pete GF wake wa muda mrefu Georgina. Je, amejifunza yaliyomkuta Birdman kwa Toni Braxton?

    Mimi sio nabii ila kama Ronaldo hajamsainisha babe mama wake Georgina mkataba wa prenup kulinda assets zake kabla ya kufunga ndoa na mrembo huyo. Yatamkuta yale ya Birdman kwa mshangazi Toni Braxton au ya mastaa wengine wa kiume. Birdman alijaa kwenye mfumo. Baada ya kuwa kwenye mahusiano na...
  3. JamiiForums Tanzania Rasmi sasa Ronaldo ni mchezaji Bilionea, afikia utajiri wa Dola Bilioni Moja

    Mshindi mara tano wa Ballon d’Or Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza wa mpira wa miguu kufikia utajiri wa USD Bilioni kwa juhudi zake binafsi katika historia ya mchezo huu. Mwaka 2020, kulikuwa na taarifa mitandaoni zikidai kuwa Ronaldo alikuwa tayari amekuwa bilionea. Lakini ukweli ni...
  4. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanadada Azra Ronaldo akutwa amefariki chumbani kwake

    Mwanadada anayefahamika kama Azra (Maarufu kama Ronaldo) amekutwa amefariki dunia ndani kwake kisarawe huku mwili wake ukiwa umevimba, tukio hilo limetokea leo Jumatano Juni 11, 2025 baada ya majirani kubaini harufu katika chumba chake. Mdau wa Michezo Seleman Kaniki ambaye alikuwa akimfahamu...
  5. JamiiForums Tanzania Super Ballon D'or : Which player should win this award? Between Messi or Ronaldo 2029

    " In 1989, French football decided to reward the best Ballon d'Or of the previous three decades, a trophy that was only given once in history." There was only one rule to be a candidate : to have won the Ballon d'Or multiple times. Who voted? Readers of French football, the jury of the Ballon...
  6. JamiiForums Tanzania Christiano ronaldo amechokwa huko uarabuni anaelekea kunyimwa mkataba

    Hadi waarabu hawamtaki CR7 ? Hili swali ndio linatrend uko duniani How comes arabs kick out CR7 Niitaandika siku nyingine lkn kupitia ronaldo tujifunze kuheshimu wakati Mtumbuizaji mahiri anajua wakati sahihi wa kuachia jukwaa CR7 hakujua wakati sahihi Ronaldo hakutakiwa kwenda...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hatma ya ronaldo

    Wakuu Jana Christian Ronaldo katoa tamko baada ya kutamatika mechi kati ya timu yake ya Al nassri na Al fateh ambapo Al nassri alilala 3-2 Kauli Ile inaonyesha kuwa ni mwisho WA maisha ya nguli huyo pale al nassri je wapi tunatazamia kumuona akienda Kukipiga baada ya kuondoka aL nassri na sisi...
  8. JamiiForums Tanzania Lamine Yamal apewe Balon D'or yake. Ni zaidi ya Ronaldo, Messi, Neymar na Gaucho

    Nimemuangalia huyu dogo uchezaji wake halafu nikarudi kuwaangalia hao wazee kipindi wako kwenye pick na huyu dogo kwa umri miaka 17 na vitu anavyovifanya itoshe kusema sijawahi kushuhudia kipaji Cha mpira kama hichi Wazee msije kuongea utumbo hapo chini najua wengi mna wivu na dogo kwakuwa ana...
  9. JamiiForums Tanzania Ronaldo angekubali tuu kustaafu kama Okwi

    Cristiano Ronaldo Cr7 ange staafu tu kama mwenzake Okwi. Jamaa hataki kukubali kama uroto hana tena
  10. JamiiForums Tanzania Alichosema Ronaldo Nazário kuhusu kauli ya CR7 ndio Mchezaji Bora wa Muda wote

    Ronaldo Nazário (R9) has always spoken highly of Messi, calling him a ‘unique’ talent and one of the greatest ever. He admired Maradona’s magic and was deeply inspired by his legacy. When it comes to Cristiano Ronaldo, R9 respects his incredible work ethic and goal-scoring ability but has often...
  11. JamiiForums Tanzania Susana, mwanamke aliyetaka kuondoka na uhai wa Ronaldo De Lima

    Unamuona huyu mdada pichani? Hana furaha. Uwanja mzima unashangilia goal matata la Ronaldo ila yeye hana amani. Mwaka 1998, Timu ya taifa ya Brazil ilielekea Ufaransa kucheza michuano ya kombe la Dunia. Kila mmoja uwanjani alikuwa akifurahia soka safi la Kibrazil lililokuwa la nguvu na vipaji...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Christiano Ronaldo hashtakiwi kwa Sheria za kiislamu huko Saudi Arabia?

    Saudi Arabia ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria ya dini ya Kiislamu yaani Sharia. Tena ukiwa Saudi Arabia ni kosa kubwa kuishi na mwanamke ambaye haujamuoa. Lakini Cristiano Ronaldo anaishi na Georgina ambaye hajamuoa na hakamatwi wala kushitakiwa. Contradiction...
  13. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo anunua Ndege mpya Gulfstream G650 yenye thamani ya Bilioni 187

    https://fntaz.com/cristiano-ronaldo-anunua-ndege-mpya-yenye-thamani-ya-75-milion/
  14. G

    JamiiForums Tanzania Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

    Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa. Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress? Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata. Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
  15. JamiiForums Tanzania Ronaldo: Vini Jr alistahili kushinda tuzo ya Ballon d'Or

    Nyota wa Ureno na Klabu ya Al Nassr, Cristiano Ronaldo ametamka hadharani kwamba, Vinicius Jr alistahili kushinda tuzo ya Ballon d'Or mwaka huu. Ronaldo amezungumza hayo mbele ya wahudhuriaji wa tuzo za Globe Soccer. "Kwa maoni yangu [Vinicius Jr alistahili kushinda, ilikuwa sio haki...
  16. JamiiForums Tanzania Nakumbuka Ronaldo alipost "Eid Mubarak" hakuna kipangamizi alipata kutoka dunia ya Wakristo ila Mo Salah kupost na mti wa X-Mas tu imekuwa kesi

    Kama member mmoja humu anaitwa Eli Cohen anapenda kusema kuwa "itikadi yenu sio ya harakati ya haki wala ukombozi, ila ni ya harakati za kitapeli" Mengine nawaachia
  17. JamiiForums Tanzania Mo Salah na C. Ronaldo wanatuchanganya sana. Nashindwa kuwaelewa.

    FaizaFoxy alishaandika akifurahi sana kuwa CR. Kasilimu. Several times tumekuwa tukifurahia kuwa tumepata bonge la mtu katika uislamu. Lakini namwona bado anasheherekea Christmas na familia yake. Hii inakuaje? Mi nashindwa kuelewa kabisa. Hii imekaaje kaaje? Huyu Mo. Salah ni muislamu kabisa...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Al Ahly wanamtaka Ronaldo kwa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya Kombe la Dunia la Vilabu Marekani

    Wakuu Inaelezwa kuwa Wajumbe wa bodi ya Al Ahly wamependekeza kwa Rais wa klabu hiyo, Mahmoud El Khatib, kujaribu kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu litakalofanyika nchini Marekani. Baada ya kuweka rekodi ya mabao...
  19. JamiiForums Tanzania Na hapa tutamlaumu Gamondi ? Acheni kina Cristiano Ronaldo na Messi wang'are

    Ingawa kwa kumuangalia Azizi ki hizi mambo zinaonekana sio zake kabisa
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Al-Hilal kumsajili Cristiano Ronaldo kama mbadala wa Neymar baada ya majeraha yake kuleta sintofahamu

    Majeraha ya mara kwa mara yanayomkumba nyota wa soka Neymar sasa yamezua sintofahamu kubwa juu ya hatima yake katika klabu ya Al-Hilal. Kulingana na ripoti ya hivi karibuni kutoka Fichajes, klabu hiyo ya Saudi Arabia inaangalia uwezekano wa kumuuza mchezaji huyo wa Brazil ambaye amekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…