Roboti ni mashine zilizo tengenezwa na binadamu ili kurahisisha kazi mbalimbali. Miongoni mwa aina nyingi za roboti zilizopo, Humanoid Robots ndizo zenye mvuto mkubwa zaidi kwa sababu zinabuniwa zikifanana na binadamu. Zina muundo unaoiga mwili wa mwanadamu kama kichwa, mikono, miguu, macho, na...