roboti

The Robotis Bioloid (stylized as ROBOTIS BIOLOID) is a hobbyist and educational robot kit produced by the South Korean robot manufacturer Robotis. The Bioloid platform consists of components and small, modular servomechanisms called the AX-12A Dynamixels, which can be used in a daisy-chained fashion to construct robots of various configurations, such as wheeled, legged, or humanoid robots. The Robot is programmed with RoboPlus, C (programming language) based software. The Bioloid system is thus comparable to the Lego Mindstorms, and VEX Robotics VEXplorer kits.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    Hivi hili roboti la Bunge lilikwenda wapi?

    Nchi ya maajabu.Leo nimewaza kuhusu wabunge wanavyojipia mapesa tu.
  2. Bongo Tech Giant

    Mjue Roboti Aina ya Humanoid Kiundani

    Roboti ni mashine zilizo tengenezwa na binadamu ili kurahisisha kazi mbalimbali. Miongoni mwa aina nyingi za roboti zilizopo, Humanoid Robots ndizo zenye mvuto mkubwa zaidi kwa sababu zinabuniwa zikifanana na binadamu. Zina muundo unaoiga mwili wa mwanadamu kama kichwa, mikono, miguu, macho, na...
  3. DuaZaMama

    China yaandika historia kwa mchuwano wa kwanza wa soka wa Roboti wanaojiendesha wenyewe

    Kwa mara ya kwanza, China imeandaa mechi ya soka inayochezwa na roboti wa umbo la binadamu (humanoid robots) wanaojiendesha kikamilifu kwa kutumia akili bandia (AI), bila msaada wa binadamu wakati wa mchezo. Kwa mujibu wa shirika la habari la Associated Press (AP), mechi hiyo ilifanyika...
  4. CHAGOSI GERALD

    Huwezi kuilinda amani kwa kuuwa sauti za haki. Ulinzi wa kweli unaanza pale unapoamua kuwa binadamu~si roboti wa mamlaka

    "Miaka ya 4500 kabla ya Kristo, wakati jamii zilipoanza kuelimika, askari walijitolea kwa moyo wa dhati kuilinda jamii dhidi ya watu wabaya. Walikuwa ngao ya wanyonge, walinzi wa haki na utulivu. Magenerali kama Hannibal Barca wa Karthage (Tunisia ya sasa), aliyepambana kulinda taifa lake dhidi...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    Movie kali sana unatengeneza roboti kumbe

    Unatengeneza Roboti kwa ajili ya kusaidia kwenye kulinda nchi na ulimwengu, kisha anakusaliti na kutaka kuitawala Dunia je atafanikiwa movie yenye ukatili kinoma 🔥🔥🔥 https://youtu.be/DgxBGtYo1mI
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    Dunia itashuhudia kwa mara ya kwanza mashindano ya Ngumi za kiroboti na binadamu

    Kwa mara ya kwanza Dunia itaweza kushuhudia mpambano wa kiroboti ndondi, kupitia Kampuni ya roboti ya Unitree imetangaza pambano la ndondi linalorushwa moja kwa moja kati ya roboti mbili zenye muundo kama binadamu, zinazoitwa "Iron Fist King: Awakening!" Tukio hilo linatarajiwa kufanyika...
Back
Top Bottom