robert

The name Robert is an ancient Germanic given name, from Proto-Germanic *Hrōþi- "fame" and *berhta- "bright" (Hrōþiberhtaz). Compare Old Dutch Robrecht and Old High German Hrodebert (a compound of Hruod (Old Norse: Hróðr) "fame, glory, honour, praise, renown" and berht "bright, light, shining"). It is the second most frequently used given name of ancient Germanic origin. It is also in use as a surname. Another commonly used form of the name is Rupert.
After becoming widely used in Continental Europe it entered England in its Old French form Robert, where an Old English cognate form (Hrēodbēorht, Hrodberht, Hrēodbēorð, Hrœdbœrð, Hrœdberð, Hrōðberχtŕ) had existed before the Norman Conquest. The feminine version is Roberta. The Italian, Portuguese, and Spanish form is Roberto.
Robert is also a common name in many Germanic languages, including English, German, Dutch, Norwegian, Swedish, Scots, Danish, and Icelandic. It can be used as a French, Polish, Irish, Finnish, Romanian, and Estonian name as well.

View More On Wikipedia.org
  1. Kumbe Denis Robert anaishi Stockholm Sweden.

    Mwamba denis robert Shughuru Rais mtarajiwa na potential JF person of the year 2025 contester anaishi Stockholm Sweden? adriz min -me Mufti kuku The Infinity
  2. Nyumba Inauzwa Goba Kwa Robert

    Nyumba Inauzwa Goba. Mahali: Goba Kwa Robert. Sifa za Nyumba: *Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa, kila chumba kina choo chake. *Ina Spanish tiles. *Madirisha ni pvc. *Ina fence(uzio). *Ina vyoo(toilets)5. *Umeme na maji yapo. *The house is new, no one has lived in...
  3. Karibuni Wapenzi Wa Riwaya Za wakongwe kama Hussein Tuwa, Shaaban Robert, Shafi Adam Shafi, Ben R.Mtobwa, Alfu lela ulela, Mashimo ya mfalme suleiman

    Riwaya ni hazina. Chagua kitabu, njoo whatsapp ulipie. 0713 039 875
  4. Nyumba Inauzwa Goba Kwa Robert

    Nyumba Inauzwa Goba. Mahali: Goba Kwa Robert. Sifa za Nyumba: *Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa, kila chumba kina choo chake. *Ina Spanish tiles. *Madirisha ni pvc. *Ina fence(uzio). *Ina vyoo(toilets)5. *Umeme na maji yapo. *The house is new, no one has lived in...
  5. Mimi Dennis Robert Shughuru sina miaka 40 ya kugombea Urais wa Tanzania kama isemavyo katiba ya Tanzania natangazaje nia???

    Nilijua kwa kusema nina nia ya kugombea Urais wa Tanzania lazima watu watasema huyu ni kichaa, mwendawazimu, hawa vijana wa sahivi stress za maisha zinawasumbua, anatakiwa aende mirembe, afya la akili ni tatizo, maisha magumu nyie, huyu hata tofauti na deo kisandu n.k haya majibu na mengine...
  6. Mitaaa wanayotoka masikini ndo hutakuta kuna Madanguro, vilabu vya pombe, na wauzaji wa madawa hii ipo planned

    Binadamu ni Bidhaa ya mazingira yake . Wazungu walishamsoma MTU mweusi na kujua udhaifu wake kuwa ni ngono, pombe , na madawa bangi pombe na sigara. Unapozungumzia Anasa means is endless shit . So ukimjengea MTU danguro , vilabu vya pombe n.k usitegemee huyo MTU akafanikiwa kwa lolote He or...
  7. Nyumba Inauzwa Goba Kwa Robert

    Nyumba Inauzwa Goba. Mahali: Goba Kwa Robert. Sifa za Nyumba: *Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa, kila chumba kina choo chake. *Ina Spanish tiles. *Madirisha ni pvc. *Ina fence(uzio). *Ina vyoo(toilets)5. *Umeme na maji yapo. *The house is new, no one has lived in...
  8. Huu ndio ujumbe wa Wakili wa Kimataifa bwana Robert Amsterdam kwa Serikali ya CCM

    TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA "Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa. Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa...
  9. Kwanini mimi Dennis Robert Shughuru post/threads/nyuzi zangu hazipati engagement kubwa hapa JamiiForums, yafuatayo ni majibu

    Kuna watu huku ni member wanaogopa kusema na kushare ambitious zao wanajua wakifanya hivyo watakutana na ukosoaji mkubwa sana matokeo yake tuna kizazi cha watu waoga kupita maelezo 👉👉nashukuru mimi nimeshavuka natamani na wengine wavuke Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye...
  10. Eneo Linauzwa Njia ya Goba Kwa Robert

    Eneo hili lipo njia ya koba kutokea Mbezi Magufuli ni karibu Zaidi pia kutokea mjini Kwa njia ya goba ni Sawa pia. Mita 100 kutoka usawa wa eneo hadi barabara kuu ya Goba. Location kituo cha daladala kinaitwa Kwa Robert. Eneo Lina nyumba ambayo anaishi muuzaji wa eneo. Ukubwa wa eneo ni sqm...
  11. Huyu member Dennis Roberts aliyetangaza kugombea urais wa Tanzania ni mtu wa ajabu sana sio wa kawaida

    Haya ndo mambo ambayo yananishangaza kuhusu Dennis Roberts Jamaa ametangaza nia ya kutaka urais ilihali ana miaka 33 ni jambo la kuchekesha ila la kufikirisha hasa ukimsikiliza anachoongea labda yuko kwenye maandalizi ya miaka ya mbeleni ila very very weird kwa jina wa kitanzania na kiafrika...
  12. Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe Jijini Abidjan

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana nae masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Angoulvant Plateau, Jijini Abidjan. Waziri Mkuu...
  13. Kardinali Robert Prevost Papa mpya asiye na misimamo mikali

    Tumsifu Yesu Kristo. Katika kipindi ambacho Kanisa Katoliki linakabiliwa na changamoto nyingi za kijamii, kisiasa na kiutamaduni duniani kote, uteuzi wa Kardinali Robert Prevost kama Papa mpya – Papa Leo XIV – umeleta matumaini mapya kwa wengi, huku pia ukizua mijadala kuhusu mwelekeo wa kanisa...
  14. Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

    Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani. Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla. Na kwa...
  15. Mtibeli Robert Heriel yawezekana akawa ndo mwana JF mwenye mwanamke mrembo sana JF nzima

  16. Robert Hariel na Joram: wana filosofia wenye nia njema walivyoliwa kichwa na System ya CCM

    Hapa nakunywa konyagi kubwa nikawa nawaza mawazo haya. Hebu kama wadau wa JF tuzungumze ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema kuhusu hii mada: “CCM ina uwezo wa kumvua mtu roho yake ya kweli bila hata kutumia bunduki.” Binafsi nimeona kwa uelewa wangu hawa content creator wa jf kama Robert...
  17. Nini kipo nyuma ya Mzungu John Robert Maitland, alifungwa Tanzania miezi 6 lakini bado yuko Gerezani Segerea zaidi ya miaka 10?

    JOHN ROBERT MAITLAND DHIDI YA JAMHURI Mshtakiwa alishtakiwa kwa kosa la kuingia na kuwepo kinyume cha sheria ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mahakama ya Wilaya Bukoba, Kavera. Alikutwa na hatia na kuhukumiwa kulipa faini ya Shilingi 80,000 za Kitanzania au kifungo cha miaka...
  18. U.S. Senate CONFIRMS Robert F. Kennedy as Secretary of Health and Human Services

    U.S. Senate CONFIRMS Robert F. Kennedy as Secretary of Health and Human Services Hal Turner World February 13, 2025 By a Vote of 52 to 48, the United States Senate has CONFIRMED the nomination of Robert F. Kennedy as Secretary of Health and Human Services (HHS). This is viewed as a...
  19. Robert Kiyosaki wa Rich Dad, Poor Dad ni tapeli?

    Nimeangalia video moja Youtube inamuelezea kamajamaa ni magumashi sana. Sehemu kubwa ya pesa anazopata ni kupitia semina anazotoa akichaji dola 12K hadi 45K, na si kupitia biashara ya Real Estate kama anavyodai. Pia japo anasifika kwa kuandika kitabu hicho lakini hasa aliyefanya kazi ni...
  20. Kumekucha: Trump anataka mafaili yote ya siri kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy na kaka yake Robert F. Kennedy yawekwe wazi kwa umma

    Rais mpya wa Marekani, Donald Trump anapanga kuagiza idara za usalama za Marekani kuweka wazi taarifa zote za siri (Classified Documents) kuhusiana na mauaji ya JFK na RFK yawekwe wazi kwa umma ili umma uweze kujua nini hasa kilijiri. Ni takribani miongo sita imepita tangu ndugu hao wauwawe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…