ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ripoti: Kamishna Jenerali wa DCEA asema wamekamata Dawa za kulevya kilo 877

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema katika kipindi cha Januari hadi Mei 2022, imekamata kilo 877.217 za dawa za kulevya, imezuia uingizaji wa kilo 122,047.0855 na lita 85 za kemikali bashirifu nchini. Kamishna Jenerali wa DCEA, Gerald Kusaya ametoa takwimu wakati...
  2. Watu milioni mbili duniani wanaishi na Ugonjwa wa Fistula

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Rashid Mfaume amesema ugonjwa wa fistula ya uzazi bado ni tatizo nchini na kwamba zaidi ya watu milioni mbili duniani wanaishi na ugonjwa huo. Amesema hayo kuelekea Siku ya Fistula Duniania Mei 23, ambapo mbali na idadi hiyo pia kuna visa takribani laki...
  3. Ripoti: Mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kwa njaa Afrika Mashariki

    Mashirika ya kibinadamu yameonya kuwa nchini Ethiopia, Kenya na Somalia, mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kutokana na njaa kali inayohusishwa na migogoro, mabadiliko ya hali ya hewa na kupanda kwa gharama ya chakula. Kwa mujibu wa ripoti ya #Oxfam na #SavetheChildren...
  4. Serikali: Ripoti ya kesi za ukatili kwa watoto, Ubakaji 5,899, mimba 1,677, ulawiti 1,114

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu wa Bunge, George Simbachawene amesema kesi za ukatili dhidi ya watoto zilizoripotiwa mwaka 2021 jumla ni 11,499. Waziri Simbachawene amesema takwimu za Jeshi la Polisi zinaonesha kuwa kuanzia Januari hadi Desemba, 2021 kulikuwa na idadi hiyo...
  5. Ripoti mpya ya Covid-19 kwa Mwezi Aprili 2022, Dar yaongoza kwa wagonjwa wengi

    Wizara ya Afya imetoa ripoti inayoonesha kuna ongezeko la wagonjwa wa UVIKO-19, wagonjwa 8 katika wiki ya tatu ya mwezi Aprili, 2022 hadi kufikia wagonjwa 32 katika wiki ya nne ya mwezi huo, huku Mkoa wa Dar es Salaam ukiongoza kuwa na visa vya watu 70 waliothibitika kuwa na ugonjwa huo. Katika...
  6. S

    Ripoti za CAG: Itungwe sheria wale wote wanaotajwa au kuhusishwa na ubadhirifu wa fedha katika ripoti za CAG wasimamishwe kazi kupisha uchunguzi

    Huu ndio ushauri wangu, vinginevyo ubadhirifu huu wa kila mwaka hautaishi kwani wanajua hata wakituhumiwa, hakuna kitachofanyika, na kama ni kuchukua hatua basi, itategemea na utashi wa Raisi. Binafsi siku hizi sina hata hamu tena ya kufuatilia ripoti za CAG kwasababu naona ni kama kutufanya...
  7. Ripoti zinadai Wafanyakazi wengi wanatishwa kazini Tanzania

    Machapisho mbalimbali yanaitafsiri Kazi kama ni seti ya shughuli ambazo zinafanywa kwa ajili ya kufikia lengo, kutatua shida au kuzalisha bidhaa na huduma ili kukidhi mahitaji ya binadamu. Aidha, neno kazi linatokana na Kilatini utatu, ambapo kwa wakati huo kulikuwa na kwa zamu ya safari tatu...
  8. Ripoti ya CAG kwa mwaka wa fedha 2025/2026 au 2030/2031 itaonesha ubadhirifu wa awamu ya sita

    Kwa namna siasa zetu zilivyo tutarajie kwamba . Kama Samia atapita 2025 basi mambo yatabakia hivi hivi nikimaanisha kwamba ripoti ya fedha kwa mwaka 2025/2026 ya CAG itakua safi sana. Ila kama mambo yakiwa tofauti basi isikilizie kwani lazima itaukandia mno awamu ya sita. Lakini kwa uhakika...
  9. J

    Askofu Niwemugizi: Ripoti ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala

    Askofu wa Jimbo katoliki la Rulenge-Ngara, mhashamu Severine Niwemugizi amesema ripiti ya hivi karibuni ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala. Katika salaam zake za Pasaka, Askofu Niwemugizi amesema waumini wajifunze kuwa wakweli na kuepuka uongo kama Yesu alivyokubali kufa msalabani kwa...
  10. J

    Kubenea achafuliwa baada ya kusema vibaya awamu ya 5 ripoti ya CAG

    Baada ya Gazeti la Raia Mwema ambalo moja ya wamiliki na waandishi wake ni Said Kubenea kuandika Wizi Mkubwa Awamu ya 5, Wapo watu hawakufurahishwa na habari hiyo na kumchafua kiongozi huyo na ku edit vichwa vya habari, ambapo amesema atawatafuatilia na kuwafungulia mashtaka
  11. B

    Ripoti ya CAG Ina mapungufu makubwa ya kimantiki; "non-compliance" imetumika kama ubadhirifu kufurahisha umma

    Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini riport ya CAG Ina madudu mengi lakini Mhe. Rais na serikali Kwa ujumla awachukui hatua? Wanajiuliza awamu ya sita inafumbia macho wizi na ubadhirifu tofauti na awamu ya Tano? Lakini wapo wanaohoji kama madudu hayayamefanyika wakati wa JPM je mbona...
  12. Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  13. Wanachadema ripoti ya CAG hamuioni? Mbona hatusikii mkinanga juu ufisadi kama ilivyokuwa huko nyuma?

    Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika. Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma. Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya...
  14. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2020/21

    Charles Kichere (CAG) Hii ndiyo ripoti kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwa Mwaka wa Fedha 2020/21, imewekwa hadharani Jumanne Aprili 12, 2022. Baadhi ya mambo yaliyoguswa: Mashirika ya Umma kutopeleka michango Sh bilioni 129.33 Mashirika ya umma...
  15. Mbunge Kasalali Mageni: Nchi hii haiwezi kula Ripoti ya kupikwa. Tume iliyokwenda Mto Mara ichunguwe

    Kasalali Mageni amesema anaamini Tume iliyokwenda Mto Mara inahitaji kuchunguzwa, akisisitiza "Hata kwa Wasomi wa Nchi hii inatuleta walakini kuhusu Utaalamu wetu, Elimu yetu na viwango vyake" Mbunge huyo wa Sumve amesema "Idadi ya watu wanaougua Saratani Kanda ya Ziwa ni wengi sana. Tunahitaji...
  16. Q

    Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

    Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi. "Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti...
  17. Kutoka Mwanza: Watu watoa shukrani zao kujumuishwa kwenye FOA World Tour ya Diamond Platnumz

    Baada ya msanii namba moja Africa Diamond Platnumz kutoa part one ya FOA WORLD TOUR na kujumuisha mkoa wa Mwanza, watu mbalimbali wamejitokeza na kutoa shukrani kwa heshima aliyowapa watu wa Mwanza. Nimetoka Mwanza hivi juzi kila kona kuanzia Bwiru, Ilemela, Igoma, Nyegezi na maeneo yote...
  18. K

    Ripoti ya CAG hati nzuri CCM, ACT-Wazalendo na CHADEMA

    Inasikitisha wakati mwingine kuona watu wengi wanapenda sana mabaya kuliko mazuri. Sasa hivi vyama vyote vina hati nzuri lakini watu hawasemi maana kuzuri sio drama. Wengi walikuwa wakisubiria kushambilia wapinzani hasa Chadema na ACT. Vyama ambayo vina hati mbaya kwasababu ni wasindikizaji...
  19. Rais Samia apokea ripoti ya CAG, deni bado ni himilivu. Mafao yazidi mapato ya mifuko ya hifadhi

    Kuwa nami, CAG anasoma mambo muhimu kwenye ripoti yake ambayo anaiwasilisha kwa Rais Samia. Inaanza kwa hali isiyo njema kwa vyama vya siasa. Endelea... ========= CAG: Upande wa vyama vya siasa, ADC hati mbaya, Chauma hati mbaya, TLP hati mbaya, UMD hati mbaya, CUF hati yenye shaka, UDP...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…