reli ya sgr

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Tanzania na Uganda zasaini makubaliano kuimarisha ushirikiano wa kimkakati reli ya SGR

    TANZANIA NA UGANDA ZASAINI MAKUBALIANO KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIMKAKATI RELI YA SGR Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Uganda zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi kufuatia kusainiwa kwa Hati ya Makubaliano (MoU) wakati wa Mkutano...
  2. stakehigh

    Ulipofikia ujenzi wa reli ya SGR Morogoro mpaka makutupora

    https://youtu.be/GyaJZGMF0a4
  3. B

    TISEZA kutoa ardhi bure kwa wawekezaji. Je eneo lipo jirani na reli ya SGR itumike?

    TISEZA KUTOA ARDHI BURE KWA WAWEKEZAJI, Je eneo lipo jirani na reli ya SGR itumike. Eneo la NALA DODOMA lipo kilometa 10 kutoka reli mpya ya SGR ilipojengwa. Je TISEZA inasomana na reli mpya ya SGR ili wawekezaji waweze lutumia reli hiyo ya matrilioni ya shilingi Ni muhimu maeneo ya pembezoni...
  4. concordile 101

    Fursa ya Kiiuchumi kwa Tanzania Kutokana na Machafuko ya Ubaguzi Afrika Kusini nafasi ya Bandari ya Dar es Salaam na Reli ya SGR kuelekea Dodoma

    Katika miaka ya karibuni, nchi ya Afrika Kusini imekumbwa na matukio ya mara kwa mara ya ubaguzi wa wageni, hasa dhidi ya raia wa mataifa ya Afrika kama vile Zimbabwe, Malawi, DRC na Mozambique. Hali hii imesababisha: Wimbi la uhamaji wa watu kutoka Afrika Kusini, Kupungua kwa imani ya...
  5. D

    Reli ya SGR ifike Zambia

    Nchi ya Zambia ni moja ya mtumiaji mkubwa sana wa bandari ya Tz mwaka huu pekee amepitisha zaid ya ton 2M kweny bandar yetu ya Dar na hii ni pamoja na changamoto zote za bandari na umbali kutoka Dar hadi tunduma kwanjia ya barabara Ningependa kuona tunampango wa kupeleka sgr uko sababu mizigo...
  6. Mtoa Taarifa

    Tanzania yasaini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya SGR (Kigoma - Burundi) kwa Tsh. Trilioni 5.6

    Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) na nchi ya Burundi leo Januari 29, 2025 zimesaini mkataba wa ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR yenye urefu wa kilomita 282 kutoka Uvinza mkoani Kigoma hadi Musongati nchini Burundi. Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa kwa upande wa...
  7. Upekuzi101

    Ikikupendeza Rais Samia, tunaomba SGR Dar es Salaam - Arusha

    Miji ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha ni kanda muhimu sana kiuchumi na kwa pamoja inachangia kiasi kikubwa cha pato la taifa kutokana na kilimo, biashara hasa ya madini, na utalii. Ukizingatia Mlima Kilimanjaro, Oldonyo Lengai, Mlima Meru, Mbuga ya Wanyama Pori ya Saadani, Mbuga ya Wanyama Pori...
  8. Crocodiletooth

    Picha: Hujuma nzito katika miundombinu ya reli ya SGR

    Bado tuna safari ndefu mno. Pichani ni hujuma zinazofanyika kwenye miundombinu ya Reli ya Kisasa (SGR)
  9. A

    DOKEZO NSSF inapanga kumpelekea Mahakamani Mkandarasi Mkuu wa Reli ya SGR, Yapi Merkezi

    Mkandarasi Mkuu wa Reli ya Kisasa (SGR), Kampuni ya Yapi Merkezi anatarajiwa kufikishwa Mahakamani kwa kile kinachodaiwa kutowasilisha fedha za michango ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ya Wafanyakazi wa Ujenzi wa Reli ya SGR kwa muda wa zaidi ya Mwaka mmoja licha ya kuwa Wafanyakazi wamekuwa...
  10. ChoiceVariable

    Marekani yaimulika Tanzania katika mbio za kushindana na China kumiliki Madini Mkakati

    Beberu USA amekusudia kupambana na China katika umiliki wa Madini mkakati yaani critical minerals Kwa kuunganisha Bandari za Dar na Lobito Kupitia kuunganisha reli za Tazara na Benguela. Huku Marekani ikiimarisha uhusiano na Tanzania, mipango ya kujenga miundombinu kando ya ukanda wa reli ya...
  11. Lord Denning

    Vita ya Kiuchumi: Ningekuwa Rais wa Tanzania ningeanzisha ujenzi wa reli ya SGR kutokea Bandari ya Tanga hadi Kagera, Rwanda na Uganda

    Amani iwe nanyi wanabodi! Kupitia Northen Corridor Kenya anataka kuingia DRC, Rwanda, Uganda na Sudan Kusini kwa Reli ya SGR. Sisi Tanzania tunajenga SGR yetu kuingia Burundi na baadae Congo. Kwa hesabu za haraka huko mbeleni SGR ya Kenya ndo itakayoleta faida zaidi kwa Kenya kuliko SGR yetu...
  12. Moto wa volcano

    SGR imetutoa ushamba Wabongo, kila mtu anajipiga picha Station

    Watanzania sisi washamba hilo nimeligundua nilivyopanda usafiri wa Treni ya SGR. Tulivyoruhusiwa kutoka ndani station kwenda kupanda mabehewa ya treni kila mtu alitoa simu akaanza kujipiga ma photo mpaka mimi ni mmojawapo niliyejipiga picha aisee ama kweli Serikali inatutoa ushamba kupitia...
  13. J

    Rais Samia: Serikali tuna Mpango wa Kufungamanisha Reli ya SGR na Reli ya Tazara Ili kurahisisha Usafiri wa Watu na Usafirishaji Bidhaa

    Rais Samia Suluhu Hassan Serikali amesema Serikali ina mpango wa kuzifungamanisha huduma za Usafirishaji wa Treni za Reli ya TAZARA na za Reli ya Kisasa za SGR ili kuongeza ufanisi na kurahisha Usafirishaji nchini. Rais Samia amesema hayo akiwa Mikumi mkoani Morogoro katika muendelezo wa ziara...
  14. M

    Samia Great Railway (SGR): Kichocheo Kipya cha Maendeleo Tanzania

    Chini ya uongozi wa maono wa Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania inaingia katika enzi mpya ya maendeleo na ustawi kwa kuzindua huduma za treni za Reli ya Standard Gauge (SGR). Mafanikio haya makubwa yanaonyesha dhamira thabiti ya serikali kuboresha miundombinu ya taifa, kuongeza uunganishaji, na...
  15. Roving Journalist

    Serikali yalipa fidia ya kupisha Reli ya SGR kwa Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo (Uyui-Tabora) waanza kuhama

    Baada ya JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui mnamo Mei 2024 kuwa Serikali haijawalipa malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR, imeripotiwa wahusika hao wamelipwa. Hoja la malalamiko ya awali...
Back
Top Bottom