regime

In politics, a regime (also "régime") is the form of government or the set of rules, cultural or social norms, etc. that regulate the operation of a government or institution and its interactions with society.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Tunapoendelea kupambana na hii regime ya kihuni ya kuteka na kuua raia hutuwezi kumtoa MAGUFULI kwenye hili mazuri yake hayawezi kumuondoa kwenye hii

    Laiti watanzania wangetambua tusipopambana na hii regime Ovu iliyopo kwenye nchi yetu hakuna aliye salama Hakuna ubishi kwamba Enzi za Magufuli matendo haya ndipo yaliposhamiri Kwa wingi na Kwa wazi kabisa Mazuri yaMagufuli ya KUSIMAMIA Rasilimali za nchi Kwa kiasi Fulani hayawezi kumtoa...
  2. Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika-survive kwa saa 48 zijazo kutoka sasa. Polisi wamegoma kupokea orders

    Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa. Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC. Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
  3. M

    Sisi vijana wa Nyerere tunafahamu maana ya Kufanya regime change kila baada ya miaka 10

    Iwe ndani ya CCM, au kwa Tanzania yote miaka 10 lazima Oil chafu imwage, hata kwa mbinu za Kivita. Wana CCM anzeni sasa kutoka, kukiokoa chama chenu kutoka mikomononi mwa wana mtandao ¡Hasta la victoria siempre!
  4. "Regime Change" kwa Tanzania haiepukiki tena!

    Na wanaoipalilia ikue kwa kasi ni hao hao CCM wenyewe. Uchaguzi wa mwaka huu hauna tofauti na wa miaka ya 1970, kipindi tunapiga kura za ndiyo na hapana. Huyo mwanamtandao mkuu ndiye atafanikisha hili, maana mabosi zake huwa wanaangalia zaidi "People's Opinions" kuliko mambo mengine. Tukumbuke...
  5. How North Korean IT Workers Use Fake Identities to Get Remote Jobs and Fund the Regime

    How North Korean IT Workers Use Fake Identities to Get Remote Jobs and Fund the Regime In the era of remote work and global freelancing, a hidden cyber operation is quietly thriving — one in which North Korea has strategically positioned IT workers around the world to earn foreign income using...
  6. Tanzania Roadmap to 2050: A Monarch regime?

    Hali ni mbaya sana kuliko tunavyoweza kudhani Mabadiliko ya katiba ya ccm kumpa "mighty powers" mwenyekiti wa chama sio ya bahati mbaya. Kupitishwa kugombea ubunge kwa wanafamilia ambao wazazi wao walishawahi kuwa marais na wengine bado wakiwa madarakani ni mpango mkakati uliosukwa vema...
  7. Nguvu ya intelijensia ya Kanisa Katoliki(Roman Catholic Church)Je Ni Tishio kwa "Regime"

    Roman Catholic Church (RC) ni zaidi ya taasisi ya kiroho Kama tunavyoona au kufahamu,ushawishi wake katika nchi yetu ulianza zamani Sana kabla ya Uhuru,kulikua na Parallel state structure,.Walijenga shule nyingi, Hospitals na majengo ya mahakama..Kama umepitia kitabu Cha Sir Andy Chande A knight...
  8. The Struggle for Truth: Political Boycotts and Repression Under President Samia Suluhu Hassan

    The Struggle for Truth: Political Boycotts and Repression Under President Samia Suluhu Hassan When President Samia Suluhu Hassan took over leadership in 2021, there was a wave of hope among many Tanzanians. Her promises of reconciliation, democratic reforms, and respect for human rights were...
  9. R

    Lissu, do you think you are that much of a threat to Samia regime/Government to the extent of silencing you by bribing you, tena kupitia Abdul!

    Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul! Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
  10. In The regime of the Dumbest, the court always decide for the fate of the rulers

    Wondering on the decision of the high court in Mbeya concerning IGA filed case, its a deformity, how would it possible for the judges who are into position by presidential power to decide differently as it is? Our courts are not free as judges and other highest magistrate officers are appointed...
  11. "Double Standards" ya TEC na Kardinali Pengo linapokuja suala la ukosoaji wa utawala

    Friends and Enemies, In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation. Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo...
  12. Tanzania Tax regime inahitaji mabadiliko ya kimawazo, bidhaa zile zile majirani bei ni ndogo kuliko hapa kwetu!

    Msimamo wa Tax regime ya nchi yetu ina matatizo Ya kimtazamo. Tax-kodi inakuwa set for maximum extraction, yaani kodi zetu zinajaribu kufyonza fadha kubwa iwezekanavyo toka kwa mfanyibiashara au any business deal kiasi ambacho bei ya bidhaa zetu zinapanda bei hadi kukosa ushindani. Hili ni...
  13. T

    The regime that does not care of its citizens

    BBC has just notified the World that unknown number of Tanzanian are stranded in Ukraine as the result of on going with Russian unfortunately no any statement made by the Government on how to evacuate and bring them back . As far as i know life a single person matters a lot .
  14. I

    During the Magufuli regime, CCM was about to die, thanks to coercive apparatus

    Everybody saw that CCM was in jeopardy during that dark era of Magufuli. Thanks to coercive apparatus to make it shine irrespective of the brutality to oppositions. When I hear that JPM raised CCM up, I wonder. It is widely known that every person was forced to like or love CCM even though...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…