rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Hongereni CHADEMA kwa kujimaliza wenyewe. Sasa mmefutika rasmi

    Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu. Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki hawaji. Sasa mmeamua kujimaliza wengenye. Hongereni kwa hilo i appreciate you Nchi za maharibu...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Muda rasmi kwa wanaufufuo na watu wote tutenge siku ya kufanya karamu ya kuchinja na tuachilie sadaka maalum kwa wana wa anaki waliofunga kanisa

    Majeshi majeshi! VAENI SILAHA ZOTE ZA IMANI KUPIGANA NA YULE MUOVU! Elewa neno SILAHA ZOTE (MASHINE mpya yesu na analogi za maombi ya sadaka na karamu za zamani katika agano la kale hatuwezi kuzipuuza) Kama mulivyoona ibada iliyopita wana wa anaki bado wapo na sisi kutufuata fuata! Muda wa...
  3. JamiiForums Tanzania Rasmi USAID imevunjwa leo na Bunge la Marekani,serikali imejipangaji?

    Bunge la Marekani hii leo limekamilisha mchakato wa kulivunja shirika la misaida la nchi yake liitwalo USAID. USAID likikuwa likitoa misaasa nchi mbalimbali za Afrika ikiwepo Tanzania katika sekta mbalimbali hasa Afya kama vile kupambana na magonjwa yanayo ambukiza kam vile ukimwi na afya ya...
  4. JamiiForums Tanzania Vita ya kuliua kanisa sasa rasmi imehamia katika Elimu

    Je kwanini target iwe Chuo cha SAUT . Je mtaweza, ebu tusubiri ? No time no space that will erase God's Spirit.
  5. JamiiForums Tanzania Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa iliyoundwa na Ben Mkapa rasmi imeshajifia. Rushwa sasa haimshitui mtoaji wala mpokeaji

    Hiki ndicho kilichopo kwa sasa TAKUKURU haina meno yake, zamani maofisa wa serikali na sekta binafsi walikuwa wakisikia TAKUKURU inawafuatilia walikuwa wanaingia ubaridi lakini kwa sasa mambo ni tofauti. Kinara wa rushwa ni Taasisi za umma ili kuziba madhaifu yao. Yaani TAKUKURU imekufa na...
  6. JamiiForums Tanzania Maandamano rasmi Kwa wananchi haihusiani na chama chochote ni sisi wananchi tumeamua

    Kama sio Leo Ni lini twendeni ikulu Dodoma hamna kusubiri Hawa watawala watatumaliza tarehe 28 tupo ikulu
  7. JamiiForums Tanzania Nimehama Simba rasmi

    Nikiwa na akili zangu timamu natangaza kuihama hii timu isiyojielewa naepuka kuwa mjinga Kwa kuishabikia hii timu wakati wenzetu Yanga wanatambulisha vifaa vya kazi sisi tunahesabu hasara za msimu uliopita nimegundua timu yetu imejaza mashabiki mbumbumbu waliogeuka kuwa. Chawa wa viongozi na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya ‘Anzia Ulipo’yazinduliwa rasmi Dodoma

    Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Said Idd (katikati), Meneja wa Yas Kanda ya Kati Frank Anthony (kushoto), na Meneja wa Mixx by Yas Kanda ya Kati Charles Gasper (kulia) wakifurahia jambo wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya kitaifa ya “Anzia Ulipo” iliyozinduliwa jijini Dodoma Julai 16 mwaka...
  9. JamiiForums Tanzania Klabu ya Young Africans imemtambulisha rasmi kiungo wa kimataifa wa Guinea, Mussa Bala Conte

    Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi kiungo mkabaji wa zamani wa klaabu ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia ambaye ni raia wa Guinea Moussa Balla Conte. Nyota huyo alikuwa kwenye midomo ya watu wengi hapa nchini baada ya kuonesha kiwango bora kwenye michezo ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rasmi Viongozi wote wa Chadema wapigwa stop kufanya siasa

    GT Wale wahuni waliopeleka kesi ya mali wanasema kupitia mawakili wao Baadhi ya viongozi wa Chadema wanakosea kutafasiri amri ya mahakama. Mawakili hao wanasema kupitia jambo TV hakuna hata kiongozi mmoja wa chadema anapaswa kufanya siasa kuanzia ngazi ya kitongiji aha ha 😄 🤣 😂 😆 Dunia simama...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndio picha Yako rasmi, endelea kurinha, tunakucheka kwa dharau

  12. JamiiForums Tanzania Rasmi Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) aondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba SC kwenye mitandao yake

    Wakuu! Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC. Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba wake na...
  13. JamiiForums Tanzania Aviola part ii inaendelea hukoo USA TRUMP MGENI RASMI WEWE PATAMU

    Chelsea nipeehaha nipeee rahaha bababaaaaa
  14. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

    Ndugu zangu Watanzania, Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya...
  15. JamiiForums Tanzania Pamoja na Clatous Chama juzi tu 'Kuinanga' na 'Kuikoga' Simba SC baada ya Yanga SC kubeba Vikombe lukuki, ila Ndoa yake na Yanga SC imeisha rasmi

    Ila ninavyokujua unavyopapenda Dar es Salaam hasa lile Chimbo lako la Mbezi Beach (BK) ninajua tu utabakia Tanzania.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumbe walikaa kikao rasmi kumfungia Gwajima; Wana ufufuo wenzagu jumapili ijayo tukutane kwa wingi kwa maombi

    Kanisa la Mungu lipo mioyoni mwetu! Sisi tunamwabudu Mungu wetu wala hatujaua Mtu wala hatujaiba cha mtu wala hatujateka mtu. Jumapili ijayo chonde chonde makanisa yote ya ufufuo na uzima kila wilaya tukutane kwa maombi ya mkakati na nguvu zaidi kama majeshi ya bwana!! Wanakaribia kutema bungo!
  17. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Wanaotumia chini ya Tsh. 7,834 kwa siku ni maskini kupindukia

    Benki ya Dunia (WB) imetangaza marekebisho ya kiwango cha kimataifa cha umaskini, ikipandisha kiwango cha chini kutoka Dola 2.15 za Marekani kwa siku (sawa na TSh 5,614) hadi Dola 3.00 (TSh 7,834) kwa siku. Kwa muktadha huo, mtu yeyote anayeishi kwa kutumia kiasi cha chini ya TSh 7,834 kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Azam FC yazindua Jezi mpya za msimu wa 2025/26

    Azam FC imekuwa klabu ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kuzindua jezi mpya za msimu ujao (2025/26). Azam FC imezidua jezi ya nyumbani, ugenini na chaguo la tatu. Unatoa asilimia ngapi kwa jezi za chama hili la Chamazi?
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya Bunge kuvunjwa rasmi, Je Dkt. Bashiru Ally anarudi UDSM kufundisha siasa na kuishi kwake pale Ubungo Maziwa?

    Bashiru Ally Kakurwa sijamuona akichukua Form Na sioni Kama akiteuliwa tena kwa Sababu alipopewa nafasi ya kutawala kosa kubwa alilofanya alitumia nguvu kubwa kutengeneza maadui . Je, atarudi Ubungo Maziwa na Udsm kuendelea kufundisha political science. Ushauri, mitaala imebadika kwa hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Unafungia mtandao wa X, lakini wewe upo na unatuma maudhui! 😳

    Wakuu kuna jambo ambalo nimelitafakari bila kupata majibu toka serikali ilipofungia mtandao wa X almaarufu Twitter. Nimeshindwa kuelewa hii serikali inaendeshwa na wendawazimu ama vichaa kwakuwa kwa yanayoendelea ni udhihirisho tosha kuwa ni watu wasio na weledi, reasoning na hata common sense...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…