Hii ndiyo Taarifa iliyoripotiwa na Gazeti la Raia Mwema kwa siku ya leo, Agosti 31, 2022 kwamba yuko Mtanzania mwenzetu ambaye amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan, ili atie mkono wake kutokana na dhuluma aliyofanyiwa na Makonda aliyekuwa RC wa Dar es Salaam ya kuporwa gari lake la kisasa aina...