Ukiondoa Wizara zinazoongozwa na Nape na Makamba, hakuna Waziri mwingine anayesikika popote akiongelea chochote tofauti na tulivyozoea atleast.
Sisikii Waziri wa Viwanda, Elimu, Miundombinu hata WM mwenyewe ni nadra kumsikia, kwa nini ? Je, hawana morali ya kazi ? Hata Wizara ya Maji au ardhi...