rais

  1. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais ntaanzaisha mradi wa kuactivate nyota ambazo haziko active (blackholes)

    Moja ya mambo ambayo ntafanya ni kuactivate nyota ambazo hazipo active ambazo kitaalamu zinaitwa blackholes
  2. JamiiForums Tanzania Rais Trump asema: "Lazima tuirudishe Dini"

    Kwanini Rais Trump amesema lazima wairudishe dini katika nchi yao? Jibu la swali hilo utalipata katika hotuba yake aliyoitoa wakati wa maombi ya kitaifa(National Prayer Breakfast) yanayofanyika kila mwaka katika nchi ya Marekani. Kwa kifupi alisema hivi: "Kuanzia siku za mwanzo za Jamhuri yetu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kishindo Cha 4R za Rais Samia, mgogoro baina ya Tanzania na Malawi umemalizika kwa maridhiano.

    Hakika falsafa ya 4R ni msingi wa amani na mshikamano wa kiuchumi si TU kwa Tanzania bali baina ya nchi na nchi na Leo katika kusheherekea matokeo ya 4R ni kwamba mgogoro wa usafirishaji na zuio la mazao baina ya Tanzania na Malawi umemalizika kwa njia ya maridhiano. Hakika vitendo vina nguvu na...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  5. JamiiForums Tanzania Yule anayetoa pole mtu akipata madhila kwenye kurasa za Rais Samia kaenda likizo kwenye tukio la Kitima?

    Wakuu, Ni swali tu nauliza maana kama sijaelewa hivi👀 Tumekuwa tukiona watu mbalimbali maarufu na hata kundi la watu wakipata madhila Rais Samia kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii hutoa pole, na kwengine huenda mbali hata kutoa mkono wa pole, na kwa wengine hufika kabisaaa, kama...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tunamuomba Mhe Rais na sisi wastaafu tuongezewe pensheni ya kila mwezi.

    Mhe. Rais sisi Wastaafu tunakupongeza sana kwa kuwaongezea watumishi wa umma mishahara yoa ya kila mwezi. Mhe Rais tunakuomba sana na sisi WASTAAFU uone namna ya kutuongezea pensheni yetu sisi Wastaafu wa nchi hii. Tumeitumikia nchi hii kwa uadilifu mkubwa. Mhe. Rais kwa niaba ya Wastaafu...
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa TLS anazungumza na Waandishi wa Habari, akosoa Polisi, amtaja Muliro

    https://www.youtube.com/live/jAy-Wo-SPR8
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Ni ujumbe wa kanisa Katoliki kwa Rais Samia na serikali yake?

    Baba Padre anasema hii itume kama inavyotoka. Video inajitosheleza kabisa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais sekta binafsi ni sawa na watoto yatima nchi hii: mafao mkupuo wao 35%, sekta ya umma 40%, kima cha chini ht kikiongezwa hawatekelezi

    Kufanya kazi sekta binafsi nchi hii ni zaidi ya kuwa mtoto yatima hawana mtetezi, kamishna wa kazi yupo tu km bendera. Kuna maeneo km vyuo vikuu binafsi wahadhiri wana mishahara midogo kuliko walimu wa shule za msingi, nendeni vyuo km Chuo Kikuu cha Arusha, walimu tangia waajiriwe wana miaka...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Jemedari Aliyejitoa na kujitolea Utumishi wake Kwa Watanzania Bila Kujibakisha.

    Ndugu zangu Watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Mama huyu anayefanya kazi ya kitume , kazi ya Sadaka ,kazi ya kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kubadilisha maisha ya watanzania na kuleta matumaini kwa watu. Huyu Mama yetu Mpendwa amejitoa na kujitolea Maisha yake...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia fukuza kazi mkuu wa polisi...

    Yeye Muliro na genge lake anadhania anakufanyia favour kuteka na kutesa wapinzani kumbe anakuweka distant na wananchi... Ni mjinga ambae anapaswa kutolewa kabla hajafanya more damage.
  12. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula Afunguka: Shambulio la Fr. Kitima Tunataka Haki, Rais Atanyooshewa Kidole!

    Mwamakula Ametuma salamu za pole huku akilaani tukio hilo huku akieleza kuiwa tukio hilo haliwezi kuwarudisha nyuma katika kudai haki nchini tanzania ameeleza kuwa misimao hiyo intoka na kile ambacho inatokana na fr kitima kutoa tamko kuhusu hali ya demokrasia nchi na kuelezea kuwa tukio...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

    Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema, “Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nyamhokya: Kwa kuwa rais Samia umetusaidia sana, "sisi watumishi tutasimama nawe ktk jambo lako mwaka huu".

    Nyamhokya apuuzwe. Nyamhokya ni kada. Nyamhokya ni chawa.. Nyamhokya anafanyakazi ya Makalla kwenye Mei Mosi.
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mei mosi ya matumaini: Rais Samia aandika rekodi mpya ya wafanyakazi Tanzania

    Leo hii, taifa zima linaitazama Singida ambako maelfu ya Watanzania wanaadhimisha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi. Lakini kilicho tofauti mwaka huu si tukio lenyewe, bali hisia mpya zinazoambatana nalo: matumaini, faraja, na shukrani kwa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika macho...
  16. M

    JamiiForums Tanzania RAIS WA TLS KUJIUZULU?

    Baada ya kushindwa kuiongoza TLS kwa ufanisi? Kutokana mwenendo wa kesi ya Lissu?
  17. JamiiForums Tanzania Tunataka Rais na Tanzania ya kufunga mkanda na kuuma meno

    Ukweli tunaujua, tumechelewa sana, tulizubaa sana, tuliibiwa, tulidanganywa sana na tuliporwa sana. Sasa hivi tunataka kiongozi wa matokeo ya leoleo bila kungojea tena. Tunataka Rais ambae atatuambia ukweli na anaefahamu kuwa tuliibiwa sana, tumechelewa sana na tulizembea sana. Tunataka Rais...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiliba: Kuna watu wakikusikia unamtaja rais samia wanakereka, yeye ndiye anayetuletea maendeleo

    Kuna watu wakikusikia unamtaja rais samia wanakereka, hakuna namna yeye ndiye anayetuletea maendeleo katika taifa letu" - Kiliba, Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe.
  19. JamiiForums Tanzania Nini hasa falsafa ya Rais Samia

    Kila awamu za utawala wa Rais una falsafa zake za kiuchumi Ila Kwa Sasa naona tunajiendea kama ng'ombe anapelekwa Vingunguti machinjioni 1 Mwalimu JK Nyerere_ Ujamaa na kujitegemea Nyerere ndo Rais wa awamu ya Kwa kwanza alipokea Taifa likiwa changa kutoka Kwa mkoloni Falsafa yake ilikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi. Rais wa TEC na Askofu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…