rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia ataka uwekezaji wa sayansi, Teknolojia

    Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Afrika wakiwekeza zaidi katika sayansi na teknolojia kwa vijana, wanaweza kuwa sehemu muhimu ya kustawisha uchumi kama ilivyo China. Ametoa kauli hiyo Dar es Salaam leo, wakati akifungua Mkutano wa Wanawake na Vijana katika Biashara chini ya Mkataba...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru akutana na Rais Mteule Ruto IKulu

    Rais mteule William Ruto saa hii anakutana na Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta na Ikulu, Nairobi. Ruto ameandamana na Mkewe Rais mteule Rachel Ruto. Ripoti zilionyesha kuwa viongozi hao wawili wanafanya mkono wa kibinafsi kabla ya kuapishwa kwa Ruto mnamo Jumanne katika uwanja wa Kasarani...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

    Hii ndio taarifa ya motomoto.. ======= Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani Mara kwenye mkutano wa hadhara amesema Serikali itaendelea kutoza tozo hizo lakini itafanya mabadiliko...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria uapisho wa Rais Mteule William Ruto

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ataungana na Marais 17, Mawaziri Wakuu, Manaibu wa Rais 8 na Mawaziri 7 wa Mambo ya Nje waliothibitisha kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule William Ruto. Samia ataambatana na baadhi ya Viongozi wa Serikali akiwemo Balozi Liberata Mulamula, Waziri wa Mambo...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Multi Choice pekee kuchukua matangazo ya uapisho wa Rais Mteule Ruto na kusambaza kwa wengine

    Timu ya Mawasialiano ya Rais Mteule imezuia vyombo vya habari vya nchini humo kurusha hafla ya kuapishwa kwa William Ruto na kutoa haki za kipekee za utangazaji kwa Multichoice Kenya Ltd. Tangazo hilo limepokelewa kwa hisia tofauti na wanahabari wa ndani na mashirika ya habari, huku gazeti la...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanawake acheni kuwanyanyasa wanaume

    Rais Samia Suluhu Hassan akitoa hotuba yake kwenye Maadhimisho ya miaka 50 ya Utume wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) amesema kuwa wanawake huwanyanyasa pia wanaume. Amesema kuwa jamii huwasikiliza sana wanawake kwa kuwa wao ndiyo hulia sana tofauti na wanaume lakini ukweli ni kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Rais Putin ataenda kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth?

    Hili ni swali najiuliza. Diplomasia na mahusiano ya miaka mingi yataweza kupotezwa kwasababu ya ugomvi kule Ukraine? Pengine muda utatupatia majibu.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

    Ndugu zangu Afande sele kawashangaza Sana mamilioni ya watanzania ambao wanaendelea kuhoji kuwa Ina maana Afande sele hajaona ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani alivyojenga na kuboresha secta ya Elimu hapa nchini? Watanzania wanahoji kuwa Afande sele amesahau Mara hii namna watanzania...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzungumzia Siasa kwenye Chuo cha Kijeshi unataka kutuaminisha nini Watanzania?

    Wasaidizi wa sasa wa Mheshimiwa Rais mnafeli mno, na hata wewe CDF mpya umefeli. Kwanini kuruhusu Mama kuzungumzia Siasa Jeshini? Ni hatari mno, na wenye akili kuwazidi tulidhani mngeliona hili na kumzuia asilijadili huko kwenu. Bali ajikite zaidi katika mada za kimedani (kijeshi), hasa...
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu Victoria Mwanziva: Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa afuatilia maelekezo ya Mhe. Rais kwenye Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Cde. Victoria Mwanziva amefika Wizara ya Mifugo na Uvuvi na kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Mashimba Ndaki (Mb). Ndugu Victoria Mwanziva amefika Wizarani akiwa na lengo...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Rais Uhuru Kenyatta: Nitakabidhi Madaraka nikiwa natabasamu lakini kiongozi wangu ni Raila

    President Kenyatta: I Will Hand Over Power Smiling, But Raila Is My Leader President Uhuru Kenyatta now says that he will gleefully hand over the reins to president-elect William Ruto on September 13, 2022, when his former deputy takes his oath of office. Speaking on Wednesday when he met...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Makala: Kwanini Rais wako hawezi kukuletea maendeleo

    Ninaandika makala hii kwa uchungu mkubwa, na kwa maumivu makubwa ambayo yamenitokea baada ya kukatiza katika mitandao ya kijamii na kusikiliza vyombo vya habari. Mara nyingi nimeona hivi vyombo vya kupasha habari katika jamii yetu hasa katika nchi za Afrika zinapishana. Kila mtu akitetea...
  13. JamiiForums Tanzania Burundi: Rais amfuta kazi Waziri Mkuu, Waziri wa Usalama kuchukua nafasi yake

    Rais Evariste Ndayishimiye amewafuta kazi Waziri Mkuu Alain Bunyoni na Msaidizi wake Mkuu bila ya kutoa sababu za hatua hiyo baada ya hotuba ya kuonya kuhusu njama ya "mapinduzi" dhidi ya Serikali yake hivi karibuni Katika kikao cha dharura, Wabunge waliidhinisha Uteuzi wa Waziri wa Usalama...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia inavyotekeleza huduma za Maji

    Watumiaji wa huduma za Maji nchini moja kati ya kero zao ilikua ni kuhusu ubambikaji wa bili za maji kwa wananchi, Miongoni mwa maagizo aliyowahi kutoa Rais Samia Suluhu ni pamoja na uharakishwaji wa uwepo wa mita za malipo ya kabla kwa watumiaji wa maji nchini. Mkurugenzi wa Mamlaka ya...
  15. JamiiForums Tanzania PSU kuna manahodha wa meli/boti?

    Rais Samia Suluhi Hassan leo alitumia usafiri wa boti kutoka Zanzibar kuja Dar Es Salaam. Je, huko kwenye Idara ya Ulinzi wa Rais kuna ambao ni manahodha wa boti au meli? Ambapo ikitokea Rais anatumia usafiri wa maji basi waweze kumuendesha? Maana safari za namna hizi za Rais kutumia usafiri...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli utakuweka huru Rais Samia

    Bible says “You will know the truth and truth will set you free” Rais Samia Suluhu Hassan ni mcha Mungu ameyasoma haya maneno na kuyashika ndiyo maana alikuwa Mkweli na muwazi kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta alituleza ukweli uliotuumiza, Rais Samia ameusimamia ukweli ambao tulitaka tuufiche...
  17. JamiiForums Tanzania Rais mteule wa Kenya William Ruto ni mtu wa aina gani? Tanzania itegemee nini kutoka kwake?

    Eti wajuzi wa mambo ya kikanda. Rais mteule wa Kenya ni mtu wa aina gani? Tanzania tutegemee nini kutoka kwake?
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kwa utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia naanza kuziona dalili za upinzani kutafuta visingizio vya kumkimbia na kumkwepa katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Ndugu zangu hivyo ndivyo hali halisi ilivyo, kwasasa upinzani umefika hatua hauelewi ushike lipi na uache lipi, uongee nini na usimame na lipi, ubebe lipi na uache lipi, utembee na lipi na usimame na lipi. Imefika hatua hata kuaminiana wao kwa wao wameacha, maana kila mtu anahisi mwenzie...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tsh. Bilioni 3.8 kutumika kwenye uapisho wa Rais Mteule William Ruto

    Mfuko wa Hazina umetenga kiasi hicho cha fedha kwaajili ya hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule inayotarajia kufanyika Jumanne ya Septemba 13, 2022 kwenye uwanja wa Kasarani. Fedha hizo kutoka Hazina ya Serikali zitakuwa chini ya Kamati ya Makabidhiano ya Ofisi (NASC) ambayo inajiandaa kwa...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto: Nina miezi sijazungumza na Rais Kenyatta

    Rais mteule wa Kenya, William Ruto ameweka wazi kuwa hajazungumza na Rais Uhuru Kenyatta kwa miezi sasa huku akiahidi kuwa atampigia simu kuzungumza naye. Ruto amesema hayo muda mfupi baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kutupilia mbali maombi ya kikatiba yalifunguliwa wiki iliyopita na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…