rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Ethiopia aondolewa, Samia abakia Rais Pekee Mwanamke Afrika

    Aliyekuwa Rais wa Ethipia Sahle-Work Zewde (kushoto) na Rais mpya wa nchi hiyo Taye Atske Selassie (kulia) Taye Atske Selassie, aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje tangu Februari, 2024, ameapishwa mbele ya Bunge kuwa Rais wa Nchi hiyo huku mamlaka ya kisiasa ikiwa kww Waziri Mkuu, Abiy Ahmed...
  2. JamiiForums Tanzania Sisi tuliiga wapi kuwa na vyeo vyote viwili vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais?

    Kwenye nchi nyingi maarufu zenye mfumo wa Urais wenye nguvu ziko hivi 1. Marekani - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais 2.Ufaransa - Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu 3. Africa Kusini - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais 4.Kenya - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais 5.Zambia -...
  3. JamiiForums Tanzania Uraibu wa kamari: Rais wa Brazil atishia kufungia makampuni!

    Rais wa Brazil Lula Da Silva ametishia kuyafungia makampuni yanayojihusisha na michezo ya kubahatisha kupitia michezo mbalimbali mitandaoni ili kuondoa janga la uraibu lililowakumba raia wake! Hela ya chakula mtu anasukia mkeka! Brazil mulls ban on sports betting Brazilian President Lula da...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Simiyu: Mch. Msigwa adai CHADEMA hawana uhalali wa kumkosoa Rais Samia

    Mchungaji Peter Msigwa ametema cheche katika mkutano uliofanyika Simiyu, akitoa kauli kali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amesema kuwa CHADEMA hakina uhalali wa kukikosoa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani chama hicho kimekosa uhai na timu yake imeonekana kuchoka. Msigwa...
  5. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Rais Samia wazidi kumulikwa kimataifa: Deutsche Welle

    Naona Tanzania inazidi kujizolea sifa mbaya kimataifa. Sasa ni zamu ya DW. Yasikilize/ yatazame mahojiano ya Tundu Lissu. Serikali ya Tanzania imesitisha shughuli za mtandaoni za gazeti moja kuu. Hii ni baada ya kutoa matangazo ya kibiashara yaliyomhusisha rais na kurejelea utekaji nyara na...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Rajabu (Katibu wa Rais): Adui Hapigwi Miguuni Anapigwa Kichwani; Adui Anayetokana na Wema Wako Hatakiwi Kusamehewa.

    Hii ni moja ya quotes alizowahi kupost Waziri Rajabu ambaye ni Katibu binafsi wa Rais wa JMT. "Tumeishi maisha ambayo mioyo yetu inapenda sana kusaidia watu ila kwa matukio tuliyo kumbana nayo tukiwa tunasaidia watu yametufunza tusiwe wepesi kusaidia watu na badala yake saidia sana familia yako...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Swahili Subtitles: Netanyahu amcharua Rais wa Ufaransa "Tutashinda vita hata mkikataa kutuuzia silaha aibu inawasubiri"

    Mods tafadhalini msiunge huu uzi, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkosoa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu wito wake wa kuiwekea Israel vikwazo vya kuuziwa silaha (Arms Embargo). Bajeti ya ulinzi ya Israel ni Dola Bilioni 30 (Shilingi Trilioni 82) Marekani huisaidia Dola...
  8. JamiiForums Tanzania Watumishi waagizwa kumtafutia kura Rais Samia 2025

    👇
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Naibu Rais Rigathi Gachagua Aomba Rais Ruto Amsamehe

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amemuomba Rais William Ruto amsamehe iwapo amemkosea kwa namna yoyote. Akihutubia kwenye ibada ya maombi ofisini kwake Karen, Gachagua pia aliwaomba radhi wabunge wote, siku moja kabla ya kuanza kwa mchakato wa kumtimua kwenye Bunge la Taifa la Kenya.
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia, unapotulalamikia sisi kuwa kinachokusanywa kama kodi kinaibiwa, je unataka sisi tufanyaje? Wewe si ndio Rais

    Kuna mambo yanasikitisha kwenye Taifa la TZ Na bila katiba mpya hatutotoboa. Katiba ya mchongo imekupa power ya kufanya chochote yet unasimama mbele za watu na kutuambia kinachokusanywa kinaingia kwenye mifuko ya watu , wengine hawalipi kodi ; wewe kama Rais unalalamika, je wananchi...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, unapotulalamikia sisi kuwa kinachokusanywa kama kodi kinaibiwa, je unataka sisi tufanyaje ? Wewe si ndio Rais

    Kuna mambo yanasikitisha kwenye Taifa la TZ Na bila katiba mpya hatutotoboa. Katiba ya mchongo imekupa power ya kufanya chochote yet unasimama mbele za watu na kutuambia kinachokusanywa kinaingia kwenye mifuko ya watu , wengine hawalipi kodi ; wewe kama Rais unalalamika, je wananchi...
  12. JamiiForums Tanzania Nishati Safi ya Kupikia, Pongezi TotalEnergies Kuongoza Njia, Wengine Wafuate. Rais Samia, Serikali Yako Itie Mkono Kufuta Kodi Zote na Kutoa Ruzuku

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Npashe la leo. Kwa wengi wa waliozaliwa mijini, hawaijui adha ya kupika kwa kuni mamilioni ya akina mama, wanawake, mabibi zetu, mashangazi zetu, wake zetu, watoto wetu, wapenzi wetu, au kwa kifupi wanawake wa Tanzania, wanaoteseka kwa kupikia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania TBC; walimu Arusha hawatumii nishati chafu bali ni kumuunga mkono Rais Samia. Mtutake radhi.

  14. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa Rais Macron wa Ufaransa

    Muda muchache uliopita Waziri mkuu wa Israel ametoa ujumbe mzito kwa Rais wa Ufaransa. Asema Israel haitaji msaada wowote kutoka Ufaransa na itashinda vita. Je Macron kafanya nini ,kilichomfanya Netanyahu kuchukia hivi...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unakwama wapi kuona ubabe haufai kwenye demokrasia kama ambavyo hauifai kwenye kukusanya kodi?

    Hivi majuzi Mheshimiwa Rais Samia amewataka maafisa wa TRA kuacha ubabe wanapofuatilia kodi kwa wananchi. Ni jambo jema. Lakini nashindwa kuelewa kwanini Rais Samia haoni pia si vizuri kutumia ubabe kuzuia maandamano ya amani ya vyama vya siasa? Pia soma: Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Vurugu zaibuka pendekezo la kumwondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua madarakani

    Wakili na mwanaharakati Morara Kebaso wameshambuliwa na baadhi ya wananchi wenye hasira kali katika ukumbi wa ‘Bomas of Kenya’ wakati wa zoezi la ushirikishwaji wa umma kuhusu pendekezo la kumwondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua madarakani nchini Kenya. Soma Pia: Yanayojili hoja ya kumuondoa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Walipa Kodi Wanakubali Faini za Makosa Lakini Si Kulipa Kodi Kwani "Ni jambo gumu na sirahisi kukubalika"

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi leo tarehe 04 Oktoba 2024, jijini Dar es Salaam, amesema kuwa malalamiko ya walipa kodi yanatokana na ukweli kwamba kodi ni jambo gumu na mara nyingi si rahisi kukubalika. Amesema kuwa ni kawaida kwa mtu kuwa tayari...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Risiti hazitoki mpaka kauli ya rais?

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na tabia ya baadhi ya Wananchi kutodai au kutoa risiti kisa yeye Rais hajawaambia wafanye hivyo akisema huo ni wajibu ambao hauhitaji hadi Rais aseme. Akiongea leo October 04,2024 Ikulu Jijini Dar es salaam wakati akizindua Tume ya Rais ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuongeza Tax base, Rais na Wabunge walipe Kodi

    Salaam, Shalom!! Akiongelea Suala la Kodi, Mh Rais amesema kuwa tax Base ya nchini petu ni chini ya milioni mbili. Hili limefika hapa Kwa sababu nyingi ambazo tumekuwa tukizipigia kelele Kila kukicha, Kwa kuwa kiongozi wetu amedhamiria kuongeza Tax base Ili wengi zaidi wapate hamasa ya kulipa...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huenda Gachagua akajiuzulu wakati wowote, maana imethibitika hakuna uwezekano wa muujiza kumnusuru kuondolewa nafasi ya unaibu rais

    Huenda haitazidi ijumaa ya kesho.. Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala, kushikilia nafasi yoyote ya utumishi wa umma nchini Kenya. Kwa lugha nyingine, atakua amajifungia maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…