rais william ruto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais William Ruto wa Kenya ni kiongozi wa kipekee sana barani Africa, waafrica tunafaa kummpa mau yake, anafanya kazi nzuri na kubwa kwajili ya Africa

    Hebu ukipata nguvu, msikilize na kutazama facial expressions na body language za hao wazungu anaowapiga lecture, unaweza kuobserve kitu na kujifunza pia. well done Dr.William Somoe Ruto, very able President of THE republic of Kenya for speaking for Africa. :1Head: Mungu Ibariki Tanzania, Mungu...
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa Zimbabwe Wicknell akiendeshwa kwenye gari na Rais wa Kenya, William Ruto

    Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, hakuweza kuficha furaha yake baada ya Rais wa Kenya, William Ruto, kumwendesha binafsi kwa gari kuelekea eneo la kutua helikopta (helipad) katika shamba lake lililoko Kilgoris. Chivayo alirekodi video ya wakati huo akionyesha kushangazwa...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto na Oburu waongoza mkutano wa broad-based Naivasha kabla ya Uchaguzi wa 2027

    Rais William Ruto na Kiongozi wa Chama cha ODM, Oburu Oginga, wameongoza mkutano wa viongozi wa kisiasa unaohusishwa na mfumo wa Broad-Based Government mjini Naivasha, huku Kenya ikielekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2027. Mkutano huo unawaleta pamoja viongozi kutoka vyama vya UDA na ODM kwa ajili...
  4. JamiiForums Tanzania Mfahamu Isaya Yunge, kijana wa Kisukuma aliyemposa binti wa Rais Ruto wa Kenya

    ISAYA Yunge, kijana Mtanzania mwenye asili ya jamii ya Wasukuma, ameingia katika hatua mpya ya maisha baada ya kutambulishwa kama mchumba wa Charlene Ruto, binti wa Rais wa Kenya, William Ruto. Uhusiano huo umefahamika zaidi baada ya hafla ya uchumba iliyofanyika nchini Kenya Agosti 8, ambapo...
  5. JamiiForums Tanzania Mtanzania Isaya amchumbia mtoto wa Rais Ruto wa Kenya, Charlene Ruto

    Mfanyabiashara na mjasiriamali wa teknolojia kutoka Tanzania, Isaya Yunge, amefunga ndoa ya kimila na Charlene Ruto, binti wa Rais wa Kenya William Ruto. Sherehe hiyo ilifanyika Kilgoris, Kaunti ya Narok nchini Kenya, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na wageni mashuhuri
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto anahutubia Bunge la Tanzania leo Machi 5, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=WEGofJlMUxU Leo saa tano asubuhi, Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Kipchirchir Samoei Arap Ruto, anatarajiwa kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni mara ya kwanza katika historia kwa Rais wa Kenya kufanya hivyo. Kwa upande mwingine...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hivi battle ya Rais wa Kenya, William Ruto na aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua kwa hapa Tanzania tunaweza kuwapa kina nani?

    Wakuu, Nimeona battle inayoendelea kati ya Rais wa Kenya na aliyekuwa Naibu Rais wake Rigathi Gachagua ambapo kwa Tanzania nafasi yake ni sawa na Makamu wa Rais. Gachagua alichagulia kuwa Naibu Rais Agosti 2022 lakini Oktoba 2024 aliondolewa madarakani akikabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo...
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Yeyote atakayeshambulia Polisi au kituo cha Polisi atakuwa amepigwa risasi

    Mungu wa mbinguni ni mwema wakati wote Kwani anatuletea mifano ya wazi ya kule kunakopigiwa kama mfano bora wa Katiba mpya na Chadema Pamoja na Katiba mpya lakini Rais wao anasema enough is enough Kwako Lucas Mwashambwa 🥷Subaru
  9. JamiiForums Tanzania Duuh, Kumbe Rais William Ruto wa Kenya ni mlokole kama alivyo Askofu Josephat Gwajima?

    Hapa Rais William Ruto anaimbisha wimbo wa TENZI ZA ROHONI Na. 116 "Bwana u Sehemu yangu" Ikulu kabla ya kuanza kikao... Ni katika kikao hiki alitamka rasmi kusema; "...Watanzania, kama kuna mahali tumewakosea, mtusamehe maana si majirani na Biblia - Neno la Mungu Tazama ilivyo vyema ndugu...
  10. JamiiForums Tanzania Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

    https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7 #Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu watatu wamekamatwa baada ya Rais William Ruto kurushiwa kiatu katika Kaunti ya Migori

    Takriban watu watatu wamekamatwa kufuatia tukio la kutupwa kiatu kuelekea kwa Rais William Ruto katika eneo la Kuria Magharibi, Kaunti ya Migori. Soma Pia: VIDEO: Rais Ruto apigwa na kiatu usoni akihutubia Wananchi wa Kehancha Tukio hilo lilitokea Jumapili jioni wakati Rais Ruto alikuwa...
  12. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga Leo amekaribishwa kwa furaha na heshima kubwa na rais William Ruto ikulu ya Nairobi

    Rais William Ruto ametangaza kuwa atashirikiana na Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, ili kufanikisha ajenda za maendeleo za serikali. Akimpokea Raila Odinga katika Ikulu ya Mombasa siku ya Jumatatu, baada ya kushindwa kwenye kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), Rais...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto: Nyie endeleeni kuniita "Kasongo" tu!

    Rais wa Kenya, William Ruto, amesema hana shida na baadhi ya Wakenya wanaomuita "Kasongo," jina la wimbo maarufu, ambalo limekuwa likitumika kama utani kwa baadhi ya watu wanaomwona kama mtu wa kawaida licha ya nafasi yake ya juu serikalini. Pia, Soma; - Rais William Ruto ameorodheshwa kama...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na (OCCRP)

    Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na "Organized Crime and Corruption Reporting Project" (OCCRP). Nafasi ya kwanza imechukuliwa na rais wa 19 wa Syria's Bashar al-Assad kulingana na OCCRP. "Zaidi ya watu 40,000 walimteua Rais wa Kenya William...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto aipongeza Tanzania kwa kuongoza na kuipiku Kenya kwenye sekta ya biashara Afrika Mashariki

    Rais wa Kenya, William Ruto, ameisifu Tanzania kwa kuwa nchi inayoongoza kwa kufanya biashara kwa ukubwa zaidi Afrika Mashariki ikiizidi Kenya ambayo zamani ilikuwa ndio nchi kinara kwa kufanya biashara Afrika Mashariki Akizungumza mjini Arusha, Tanzania, Ijumaa, Novemba 29, 2024, wakati wa...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto atashinda muhula wa pili 2027 kirahisi sana, ikiwa atafanikisha ajira ya Raila African Union (AU)

    hii ni kutokana na namna alivyofanikiwa kushughulikia na kuzima hasira za vijana wa gen z na kuwanyakua baadhi waandamizi machachari wa Raila Odinga na kuwapa kazi ndani ya serikali yake ya muungano wa Kenya Kwanza, huku nje akiwaacha viongozi wa upinzani ambao ni dhaifu, wepesi na wasio na...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Falsafa na mbinu ya Uongozi anayoitumia Rais William Ruto itamuwezesha kushinda muhula wa pili Uongozini kirahisi sana 2027

    Kukubali kuondoa muswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024/2025, uliolalamikiwa na kuibua maandamano ya Gen Z, kuvunjwa kwa baraza la Mawaziri na kuwafuta kazi Mawaziri wote waandamizi Serikalini, kusitisha nyongeza ya mishahara kwa Watumishi wa Umma na kupunguza safari za nje, posho, marupurupu...
  18. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto atangaza Baraza Jipya la Mawaziri 11 na Mwanasheria Mkuu mpya

    Wiki moja tu baada ya kuvunja Baraza lake la Mawaziri na kumfukuza Kazi Mwanasheria Mkuu, Rais William Ruto ametangaza Baraza Jipya la Mawaziri na kumteua Mwanasheria Mkuu mpya. ✓ Ni Mawaziri 6 tu wamerejeshwa kazini: • Waziri wa Ulinzi Adan Duale • Waziri wa mambo ya ndani Professor Kithure...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uteuzi mpya wa Baraza la Mawaziri uliofanywa na Rais William Ruto

    President William Ruto nominates first batch of CSs- comprising of 11 names, to be vetted by the National Assembly for confirmation Ameteua Mawaziri 11 wapya pekee na Mwanasheria Mkuu mpya. Mwanasheria Mkuu - Rebecca Miano ( kabla ya kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri alikuwa waziri wa Biashara)...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto wa Kenya afanyia kazi ushauri aliopewa JF ili kujinusuru

    Na hii ndio mbinu aliyoitumia JPM, badala ya kuwabebesha wananchi mzigi mkubwa wa kodi, serikali zinapswa kuacha kununua mashangingi mapya na fenicha za maofisini kila mwaka, badala yake yafanyiwe tu ukarabati.., pia kubana uchezeaji pesa kwenye warsha, semina na safari za nje zisizo na tija..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…