rais wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    Watanzania wengi hawana akili timamu, Majaliwa wanayemshangilia leo wanadhani hayuko ndani ya mfumo

    Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla hajapitishwa na Rais. Wengi tunasema kuwa ni rahisi Rais wa Tanzania kupatikana kwa bahati lakini Waziri...
  2. U

    Je, una mshauri nini Dkt. Emmanuel Nchimbi Makamu wa Rais wa Tanzania?

    Wadau nyote karibuni tumshauri Mheshimiwa jambo ambalo unaweza mshauri. Kwangu mimi namshauri adumishe hekima kubwa aliyonayo.
  3. Scared

    PostGE2025 Kwa akili yenu mnafikiri rais wa Tanzania atatoka madarakani Kwa maandamano ya amani

    Yaani unajua Kuna watu wanataka kuponza wenzao huku wao wakiwa chumbani wamejificha huko ulaya. ivHi mtu kama mange alietuaminisha jeshi uchwara lipo na sisi anatuambia tutoke Kwa amani yeye akiwa kajificha chumbani ulaya Yaani kabisa jitu linasema andikeni mabango muandamano ni ya amani...
  4. Waufukweni

    Ian Khama: Simtambui Samia kama Rais wa Tanzania sababu uongozi kaupata kwa mauaji na ukandamizaji wa wananchi

    Katika kongamano la African Renaissance lililofanyika Lukenya University nchini Kenya, Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama, alitoa kauli yenye mguso akisema “hamtambui Rais Samia Suluhu Hassan kama kiongozi halali wa Tanzania.” Alieleza kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 ulitawaliwa na vitisho, vifo...
  5. Joanah

    GE2025 Novemba 3, 2025 Siku ya Kuapishwa kwa Rais wa Tanzania, Sala fupi ya Haki, Faraja na Mabadiliko ya Uongozi

    Ee Mwenyezi Mungu wa rehema na haki, Tunakushukuru kwa zawadi ya uzima na afya kufikia siku ya leo Leo, tumeshuhudia kuapishwa kwa Rais wa Tanzania,,tunaomba umguse kwa hekima na unyenyekevu....kama alifika madarakani bila ridhaa ya wananchi....umfunulie ukweli wa hali ya mioyo ya watu wake...
  6. Doctor Mama Amon

    Siku Nikiwa Rais wa Tanzania: Nitaharakisha Kutungwa kwa Sheria ya Kuwanyonga Watekaji Wote Kama Ifuatavyo

    Innocent Bashungwa anaongoza Wizara ya Mambo ya Ndani Yenye Wajibu wa Kikatiba na Kisgeria Kulinda Uhai, Usalama na Mali za Raia Mtoto wetu yuko wapi? Atarudi lini? Amepatwa na nini? Amefanya kosa gani? Tufanye nini kuhakikisha anarudi nyumbani salama? Nani anayeweza kurusaidia kumpata mtoto...
  7. U

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu,

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu, haya yakijiri baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia dola bilioni 46.5 kufikia mwishoni mwa mwezi Juni, wakati pia ripoti ya hivi punde ya benki ya Tanzania...
  8. Mtoa Taarifa

    KURA HURU: Mgombea yupi ungetamani awe Rais wa Tanzania 2025 - 2035

    ANGALIZO: Kura hizi ni Huru na hazihusishi Mchakato wa Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 nchini Tanzania. Hivyo Wagombea wanaowekwa hapa wengine hawajatangaza nia wazi kuwa watashiriki na wengine wapo katika mchakato. Wewe kama mchangiaji huru piga Kura yako kuchagua Rais unayemtaka.
  9. Dennis Robert Shughuru

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntaifanya miji yetu kuwa mizuri na inayopendeza macho

    Kama umetembelea nchi za Western kwa mara ya kwanza umeshuka uwanja wa ndege kuna beauty flani amazing ambayo ndo mara ya kwanza unaiona na hata kupitia tu picha utaona kabisa wao wana-beauty flani nzuri tu Hata moja ya sababu inayovutia watu wengi kukimbilia nchi za Western ziko nyingi...
  10. Dennis Robert Shughuru

    Mwaka 2022 niliwapekea udsm proposal ya kutengeneza dawa ya Corona wakaikataa- Moja ya sababu iliyoni-inspired kuwa na ndoto za uRais wa Tanzania

    ###Lengo la uzi halina kusudi la kuisema vibaya taasisi ya UDSM bali unaelezea LIFE EXPERIENCE### Corona hiyo inaanza mwaka 2019 mwishoni inaenda weweee zinafanyika jitihada nyingi za kutengeneza dawa mda sisi nchi za afrika tumebakia kama onlookers zinafanikiwa mwaka 2021 Kwanin ilikuwa UDSM...
  11. K

    Kodi chache watakazolipa viwanda nikiwa Rais wa Tanzania

    Kuiondoa ccm madarakani
  12. Tlaatlaah

    Hakuna ushirikina wala ramli za kisiasa za kumzuia Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania hadi 2030

    Ni kujidanganya tu kwa wanasiasa waliopoteza uelekeo na kukosa hoja kuwaza na kupiga mayowe eti kuna mahali kinaweza kutokea hiki au kile ili Dr.Samia Suluhu Hassan asiwe Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanazania kwa muhula wa pili. Hiyo ni ndoto ya mchana my friends, ladies and gentlemen...
  13. DR HAYA LAND

    Baada ya kumsikiliza John Heche nimegundua ndo anafaa kuwa Rais wa Tanzania jamaa ana akili sana.

    John Heche ni hazina kubwa Sana na yupo mbele Sana ya Muda. Huyu ndo anafaa kuwa Rais.
  14. sinza pazuri

    Kassim Majaliwa Rais wa Tanzania 2025-2030

    Huyu ndie Rais wa Tanzania 2025-2030. Tanzania inaenda kuzaliwa upya kwenye siasa.
  15. Dennis Robert Shughuru

    Nikiwa Rais wa Tanzania wote watakaotajwa kwenye Ripoti ya CAG watachukulia hatua kali za kisheria na hata kifungo

    Deni la Taifa linakuwa alafu mda huo huo ukisoma report ya CAG unaona kuna watu wanaiba na bado wanaendelea kubaki kazini sio sawa kwa nchi ambayo inategemea wahisani ilihali tax base ni ndogo Yafuatayo ntafanya baada tu ya report ya CAG kusomwa Wote ambao idara zao zinahusika kwenye...
  16. Mwambawetu

    Kuhusu Kauli ya Rais Samia juu ya uchumi wa Marekani na Tanzania

    Kama una kichwa kibovu pita mbali na huu uzi. Napenda kutumia uzi huu kuunga Mkono kauli ya Mh Dr Samia Suluhu Hassan kuhusu suala zima la ukuaji wa uchumi kama ifuatavyo. Inafaa ieleweke kuwa 📊 Tanzania vs Marekani – Uchumi kwa Mtazamo wa Ukuaji 🇹🇿🇺🇸 Ndiyo, uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi...
  17. L

    Ridhiwani Kikwete Atakuwa Rais wa Tanzania kuanzia Mwaka 2040 Baada ya Kumalizika Kwa Miaka Kumi Ya Urais wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kuanzia 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeota ya kuwa Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Atakuwa Rais Wa Tanzania kuanzia Mwaka 2040. Ambapo Urais wake ataupokea Kutoka Kwa Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi .Ambaye ataanzia 2030 Mpaka hiyo 2040 na kumkabidhi kijiti Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete. Hii itakuwa...
  18. Dennis Robert Shughuru

    Nikiwa Rais wa Tanzania miji mikubwa na midogo itapigwa paving

    Mji wa Florence Italy ndo mji wa kwanza kupiga mji mzima paving mwaka 1339, leo hii ukitembelea nchi zilizoendelea ni nadra sana kukuta miji yao inavumbi, kama wao wameweza na sisi Tanzania tunaweza Miji kama seoul, Beijing, Tokyo ni mikubwa sana, inawatu wengi dar cha mtoto ila ukiambiwa...
  19. Dennis Robert Shughuru

    Tabia ambazo ntazipiga marufuku nikiwa Rais wa Tanzania

    Hizo tabia ni kama zifuatazo ambazo zitapigwa marufuku Vigoma Baikoko Vigodoro Hashtag za ajabu ajabu mfano tunaendeleza tabia mbaya Malaya kujianika barabarani Gesti na bar kujengwa bila utaratibu
  20. Mganguzi

    Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
Back
Top Bottom