Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametangaza kuanzisha chama chake cha kisiasa, hatua inayotafsiriwa kama kujitenga na Pastef, chama kilichomfikisha madarakani kwa ushirikiano na mshirika wake wa muda mrefu, Ousmane Sonko.
Akizungumza Ijumaa katika mkutano na mameya kutoka maeneo...
Rais wa Senegal ametoa msamaha kwa mwandishi wa habari, Rene Capain Bassene, aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha maisha jela kuhusiana na mauaji ya watu 14 yaliyotokea mwaka 2018 katika mkoa wa Casamance.
Mnamo Januari 2018, watu 14 waliokuwa wakikata mbao (loggers) walivamiwa na kuuawa katika...
Bunge la Senegal limemchagua Waziri Mkuu wa zamani, Ousmane Sonko, kuwa Spika mpya. Hatua hii inaweza kumpa jukwaa lenye nguvu kubwa la kutoa upinzani kwa Rais Bassirou Diomaye Faye.
Spika wa zamani wa bunge hilo, El Malick Ndiaye, alijiuzulu Mei 24, 2026 hatua ambayo wachambuzi wa mambo...
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amemteua Ahmadou Al Aminou Lo kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo.
Ahmadou Lo, ambaye aliwahi kuwa kiongozi mkuu katika Benki Kuu ya Mataifa ya Afrika Magharibi (BCEAO), ni mtaalamu aliyebobea katika masuala ya uchumi na fedha.
Ofisi ya Rais imesisitiza...
Jana, tarehe 22 Mei 2026, ulimwengu wa siasa za Afrika Magharibi umeshuhudia mtikisiko mzito baada ya Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, kumfuta kazi Waziri Mkuu wake, Ousmane Sonko, na kuivunja Serikali yote. Uamuzi huu, uliosomwa kupitia televisheni ya taifa na Katibu Mkuu wa Kiongozi...
Hii ni picha kutoka Ikulu ya Senegal.
Rais wa nchi hiyo akiwa na wake zake wawili, wakipokea kombe la AFCON baada ya timu ya taifa ya nchi hiyo kutwaa taji hilo.
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametangaza leo Jumatatu, Januari 19, 2026 kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa ili kusherehekea ushindi wa timu ya taifa, Teranga Lions, kwenye fainali ya AFCON 2025.
Tangazo hilo limekuja baada ya Senegal kuibuka mabingwa kwa kuifunga Morocco bao 1-0...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.