rais wa marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimeona wakati Trump anaapishwa leo kuwa Rais wa Marekani sikuona akiwa ameshika Biblia. Hii ipoje?

    Donald Trump ameapishwa kuwa Rais wa 47. Lakini sijamuona akiwa ameshika kitabu chochote kile mfano Biblia. Lakini mwishoe kasema Mungu nisaidie. Kwa huku bongo viongozi wakiwa wanaapishwa kama Mkristo atapewa Biblia na Muislamu atapewa Msaafu. Je hii imekaaje kutoka kwenye mataifa mengine?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Netanyahu kukataa mualiko ni Propaganda, Uapisho wa Rais wa Marekani haualiki viongozi wa Israel, Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, n.k

    Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko 😂😂 , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo. Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini...
  3. JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa sana na Rais wa Angola kumtuma Waziri kumpokea Rais Biden wa Marekani

    U.S. President Joe Biden arrived in Luanda Monday and was welcomed by Angola foreign minister Tete Antonio on an official state visit to the southern African nation. This is the first visit by a sitting U.S. president to the oil-producing country. The U.S. President will focus on continuing...
  4. JamiiForums Tanzania Trump bado hajaingia madarakani lakini Impact yake ni kubwa zaidi ya watu wanavofikiri, anatetemesha watu

    List ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi; Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups. Rais Putin kajitokeza na kusema "western civilization is not an enemy" (hii ni ajabu kwa sababu kipindi cha...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia katembelea Marekani zaidi ya mara 2 na Hajafanikiwa kukutana na Rais wa Marekani

    Yani nisawa na kusema Rais wa Marekani aje mara 3 au 4 Tanzania kwa ziara ya kikazi lakini akute rais wetu yuko busy mara zote hizo na ashindwe kuonana licha ya jitihada za balozi. Inauma sana asikwambie mtu. Mbaya zaidi ni kukosekana hata kapicha ka ushahidi ka chakula cha pamoja. Na inauma...
  6. JamiiForums Tanzania Je, wajua wananchi wa Marekani hawaamui matokeo ya Rais wa Marekani?

    Ndio, lile n taifa la vibopa bwana. Sio wazee wa tshirt na vitenge mixer kubebwa kwny vichanja kwenda kuunga mkono juhudi. Yani USA Mchakato wa raisi huamuliwa na vibopa 538 tuu, na bunge la congress ambao n vibopa wenzao ndo umuidhinisha rais mteule. Hii imewekwa ili kulinda maslai y mgombea...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris ndiye Rais wa Marekani 2024. Mashine za kura zimedukuliwa, Maharamia watapiga kura

    Rais anachaguliwa kwenye kura na kwa hali ilivyo computer zinazotumika kupiha kura zimeonyesha kuwa na hirilafu inayompa kura nyingi zaidi Kamala, uwezekano mkubwa zaidi Kamala Harris awe rais wa 47 wa Marekani. Ikumbukwe hata uchaguzi wa 2020 kuna hitilafu zilitokea kwenye computer za kupiga...
  8. JamiiForums Tanzania Donald Trump Hapepesi Macho Kuhusu Ushoga Kama Atafanikiwa Kuwa Rais wa Marekani

    Donald Trump, katika kampeni zake za uchaguzi wa 2024, ameonyesha msimamo mkali zaidi kuhusu masuala ya LGBT kuliko alivyofanya katika kampeni zake za awali. Ingawa wakati wa kampeni zake za mwaka 2016 na urais wake wa awali alijaribu kuepuka kuonyesha upinzani wa wazi kwa haki za LGBT, hivi...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani anapatikana kwa kura za wananchi, sio deep state

    Kuna uzushi mwingi wa vijiweni kwamba raisi wa MAREKANI anapatikana na deep state na kwamba kuna kikundi kidogo cha watu sirini wanamteua raisi. Hii sio kweli. Raisi wa MAREKANI anapatikana kwa kura za Wananchi. Ndiyo maana wagombea wanafanya campaign ili wapigiwe kura Utofauti na huku kwetu ni...
  10. JamiiForums Tanzania Mtu kama Elon Musk anaweza kuamua nani awe Rais wa Marekani

    Media ni hatari sana. Zinaweza wachagulia Rais bila nyie kujua. Huyu jamaa ana nguvu sana baada ya kununua twitter. Inadaiwa kuwa kuna kipindi baada ya kununua twitter alipost tweet yake. Akaudhika sana baada ya kuona tweet ya Rais Biden in engagement kubwa kuliko yake. Akawaita mainjinia wa...
  11. JamiiForums Tanzania Dunia itakuwaje Trump atakapoapishwa kama Rais wa Marekani hapo mwakani?

    Kabla ya mdahalo wa urais wa leo Donald Trump alikuwa ameamuacha Joe Biden kwenye kura za maoni. Lakini mdahalo wa huu umefunga kabisa maneno. Ni wazi kuwa Trump sasa njia ya ikulu ni nyeupe kabisa. Biden alikuwa na hoja nzuri na aliandaliwa vyema ila afya yake na uelewa wake sababu ya uzee...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Joe Biden, ameiteua rasmi Kenya kuwa mshirika mkuu wa taifa hilo asiye mwananchama wa NATO

    Rais wa Marekani Joe Biden, ameiteua rasmi Kenya kuwa mshirika mkuu wa taifa hilo asiye mwananchama wa NATO. Hatua hii ina maana kwamba licha ya Kenya kutokuwa katika sehemu ya Jumuiya ya Kujihami ya NATO, ina ushirikiano wa kina wa kimkakati na usalama na Marekani. Uteuzi huo unafanyika wiki...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Nilishangaa kusikia Rais wa Marekani hukatwa gharama za chakula na mavazi kwenye mshahara wake

    Sikuawahi kulijua hili. Kuna ndugu yangu anaishi USA 🇺🇸 kaniambia Rais wa nchi hiyo hahudumiwi bure labda ulinzi na usafiri na mambo mengine machache. Chakula na mavazi Rais hujinunulia kwa mshahara wake au kuchukua kwa bili na mwisho wa mwezi hukatwa na muuzaji pia hukatwa kodi.
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani akiri Hamas haiwezi kumalizwa.

    John Kirby, akiwa hapo jumba jeupe akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa niaba ya Joe Biden, amekiri moto wa Hamas ni mkali na hawawezi kabisa kuzima, sio leo sio kesho. Kukiri huko kumewashtuwa sana serikali ya israel. Mengine jionee mwenyewe:
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani apaswa kuafikiana na Rais wa China ili mkutano wao upate matokeo ya kunufaishana

    Rais wa China Xi Jinping amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Marekani Joe Biden kabla ya Mkutano wa Viongozi wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasific (APEC) wa mwaka huu, ambayo yamefuatiliwa sana na jamii ya kimataifa.. Mazungumzo yao yanfanyika kwa wakati sahihi kwa upande wa...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani?

    Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani? Viongozi wakuu duniani watasafiri hadi India kwa Mkutano wa nchi 20 zilizoendelea kiviwanda G20, ambapo ulinzi umeimarishwa. Rais wa Marekani Joe Biden atawasili nchini India kushiriki katika...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani, Joe Biden ajikwaa na kuanguka katika hafla ya Colorado

    Rais wa Marekani Joe Biden amejikwaa na kuanguka alipokuwa akikabidhi cheti cha diploma katika sherehe ya kuhitimu kwa Chuo cha Jeshi la Wanahewa la Marekani huko Colorado. Biden, ambaye ndiye Rais mkongwe zaidi wa taifa hilo anayehudumu akiwa na umri wa miaka 80, alisaidiwa kusimama na...
  18. JamiiForums Tanzania Mauaji ya JF Kennedy - rais wa 35 wa USA: Namna yalivyotokea!

    Sehemu ya Kwanza. John Fitzgerald Kennedy, aliyekuwa maarufu kama JFK au Bobby, alikuwa mwanasiasa wa Marekani aliyehudumu kama rais wa 35 wa USA kutoka mwaka 1961 hadi alipouawa mwishoni mwa mwaka wake wa tatu katika ofisi hiyo. Aliuawa huko Dallas, Texas, US na kifo hicho kilitangazwa rasmi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…