rais wa marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance ana umri wa miaka 42, Makamu mteule wa Tanzania Ndejembi ana miaka 43.

    Nawashangaa wanao dai eti Makamu wa Rais ndg. Ndejembi bado kijana sana hivyo na fasi hiyo angeteuliwa mtu mzima aliye komaa. Sasa tuangalie kwenye Taifa kubwa kama Marekani, Makamu wake wa Rais JD Vance ana umri wa miaka 42 kijana kabisa. Ndugu Ndejembi ni kiongozi makini, mwadilifu na...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Trump asema yuko tayari kukutana ana kwa ana na kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei

    BREAKING: TRUMP ASEMA YUKO TAYARI KUKUTANA ANA KWA ANA NA KIONGOZI MKUU WA IRAN AYATOLLAH KHAMENEI. Rais wa Marekani Donald Trump asema yuko tayari kukutana na Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, huku mazungumzo ya kidiplomasia kati ya Washington na Tehran yakiendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Kila Rais wa Marekani: Lazima aondoke na kichwa kimoja

    KILA RAIS WA MAREKANI LAZIMA AONDOKE NA KICHWA KIMOJA Unapokuwa rais wa nchi yoyote ile ni kwamba unafuata kile ambacho watu fulani wanataka ukifuate, unaweza kuja na mipango yako na isifanye kazi. Unawekewa mkakati kwamba tunakuweka wewe ila tunataka ufanye hili na lile, unatakiwa kufuata...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump afuta Mazungumzo ya Amani na Iran!

    ‼️ MPYA: Trump afuta mazungumzo yaliyopangwa ya Islamabad na Iran, akisema muda unapotea safarini na kutaja "machafuko makubwa ya ndani" ndani ya uongozi wa Iran. "Ikiwa wanataka kuzungumza, wanachotakiwa kufanya ni kupiga simu." "Tuna kadi zote, hawana hata moja!" Endelea kuwasiliana...
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump aagiza boat za Iran zilizoko Mlango bahari wa Hormuz zizamishwe!!

    Baada ya boat za Iran kuonekana zinateka meli na zingine kuonekana kutega mabomu kwenye Mlango bahari wa Hormuz, Rais wa Marekani Donald Trump ameliagiza jeshi la majini na la anga kuzizamisha boat zote zinazofanya uhalifu kwenye mlango bahari wa Hormuz!!
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump aisifu Israel!!

    Trump awasifu Israeli kupitia Mtandao wake wa Truth Social, akiiita "Mshirika MKUBWA wa Marekani" na kuangazia nguvu na uaminifu wake. "Ni Jasiri, Jasiri, Waaminifu, na Werevu... Israeli inapigana vikali, na inajua jinsi ya KUSHINDA!" aliandika. Wafuga Midevu na Majini najua watanuna sana...
  7. JamiiForums Tanzania Trump asema Marekani itaudhibiti kijeshi Mlango-Bahari wa Hormuz

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani itaweka “kizuizi cha kijeshi” na kuudhibiti Mlango Bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani, kufuatia kushindwa kwa mazungumzo kati ya Marekani na Iran. Trump amesema kupitia ujumbe wake katika mtandao wa Truth Social kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania SI KWELI Je ni kweli Rais wa Marekani aionya Tanzania isiwajaribu?

    Kuna hii taarifa inasema Rais wa Marekani aionya Tanzania isiwajaribu? Je ni taarifa ni kweli au
  9. O

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani, Donald Trump Amethibitisha Kifo cha Khamenei

    Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, baada ya mashambulizi ya anga ya pamoja ya Marekani na Israel kulenga makazi yake siku ya Jumamosi. Trump alisema kuwa Khamenei na maafisa wengine wa Iran “hawakuweza kukwepa ujasusi wa Marekani na mifumo...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

    Samia to the World!!!!! Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS. Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais wa Marekani yapata hitilafu ikiwa angani na kutua kwa dharura

    Ndege ya Rais Marekani Air Force One imelazimika kurudi kwenye Joint Base Andrews kutokana na “tatizo dogo la umeme,” kulingana na Afisa wa Ikulu ya White House. Rais wa Marekani Donald Trump bado anatarajiwa kwenda Davos, Uswis na amelazimika kupanda Ndege ya akiba. Kulingana na taarifa za...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Trump amnyooshea mfanyakazi wa kiwanda cha Ford River Rouge kidole cha kati

    Rais wa Marekani Donald Trump amenaswa na kamera akionekana kuinua kidole chake cha kati na kutamka neno lenye maana ya tusi kwa mfanyakazi mmoja wakati wa ziara yake kwenye kiwanda cha Ford River Rouge huko Dearborn, Michigan siku ya Jumanne Januari 14, 2026. Tukio hilo limekuja baada ya...
  13. JamiiForums Tanzania Trump ajiita ‘Kaimu Rais wa Venezuela’ katika chapisho lake kwenye mtandao wake 'Truth Social'

    Rais wa Marekani Donald, ajiita ‘Kaimu Rais wa Venezuela’ baada ya zaidi ya wiki moja tangu jeshi la Marekani kuivamia Venezuela na kumkamata rais wake, Nicolás Maduro. Kupitia mtandao wake wa Truth Social, Trump alichapisha picha iliyofanana na ukurasa wa Wikipedia, ikionyesha picha yake rasmi...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akutana na Rais wa Marekani Donald Trump

    Rais wa Marekani alipoulizwa kama Iran utaendelea na mpango wake wa Nuclear na makombola itazhambuliwa? Trump Ali jibu kwa makombola ndiyo atashambuliwa lakini kwa Nuclear atashambuliwa harakati sana!!!!
  15. U

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Donald Trump, Rais wa Marekani amuwakia Bi Samia Suluhu Hassan

    https://youtu.be/d0zp2chByrs?si=GvUT8x8IEbXPIXTl
  16. JamiiForums Tanzania Trump aingilie kati kushinikiza Uchaguzi mpya hapo ndipo mgogoro utaisha na hali itakuwa shwari

    Suala sio uhusiano mbaya wa Tanzania na USA tatizo ni samia Trump aingilie kati kushinikiza uchaguzi mpya kisha mgogoro utaisha hali itakuwa shwari Marekani ina tathimini uhusiaono na Tanzania, hii yote ni kwasababu ya uongozi usio tokana na watanzania kama unauwa hadi wananchi hauwezi kuwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump awaonya tena Hamas

    Rais wa Marekani Donald Trump ameonya kikundi cha Hamas kwamba kama wataendelea kwenda kinyume na mkubaliano basi ataruhusu IDF irudi tena kufanya mashambulizi
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump awasili Israel

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametua nchini Israel kupitia uwanja wa ndege wa Ben Gurion, ambapo amepokewa na Rais wa Israel, Isaac Herzog, pamoja na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu. Trump amewasili kwa ndege ya rais ya Marekani, Air Force One, katika ziara yake ya kimataifa, huku tukio hilo...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani kulihutubia Bunge la Israel Khenesst

    Spika wa bunge la Israel Knesset amemwalika rasmi rais Trump kuhutubia bunge la Knesset. "Ni heshima yangu kuu na pendeleo kubwa kualika rasmi rafiki mkubwa na mshirika wa Wayahudi katika historia ya kisasa."
  20. M

    JamiiForums Tanzania Qatar wamejifunza somo chungu, walidhani kumpa rais wa Marekani ndege ya shilingi trilioni 1 na mapokezi ya kifalme kutawaepusha na Israel

    Qatar walimpa Rais wa Marekani ndege ya kifahari aina ya Boeing 747 yenye thamani ya milioni 400 sawa na shilingi Trilioni 1 pamoja na mapokezi ya kifalme, lakini Marekani wameamua kurudisha fadhila kwa kuwaruhusu marafiki zao Israel waende kupiga tizi la shabaha katikati ya jiji la Qatar kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…