rais wa finland

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Pamoja na janjajanja za CCM, Rais wa Finland amfikishia Rais Samia Ujumbe Mzito wa EU na kumtaka Lissu aachiliwe huru bila mashariti, Haki na Uchaguzi

    Duru zimethibitisha kua , Umoja wa Ulaya umechukizwa na Matendo ya kihalifu yanayoendelea Nchini huku wakiwa ni wahisani na wafadhili Wakubwa wa miradi ya Maendeleo Nchini Tanzania . Taarifa za Uhakika ni kua, Rais wa Finland, ameitaka Serikali ya Tanzania 👉Kumuachia TUNDU LISSU bila...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Finland atembelea mradi kuwezesha wanawake Machinga Complex

    RAIS WA FINLAND ATEMBELEA MRADI KUWEZESHA WANAWAKE MACHINGA COMPLEX Rais wa Jamhuri ya Finland, Mheshimiwa Alexander Stubb, ametembelea mradi maalum wa kuwawezesha wanawake wafanyabiashara wadogo unaofadhili na nchi hiyo kupitia shirika la Umoja wa Mataifa linashughulikia masuala ya Wanawake...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Finland azindua mradi wa kuongeza thamani bidhaa za misitu

    RAIS WA FINLAND AZINDUA MRADI WA KUONGEZA THAMANI BIDHAA ZA MISITU Rais wa Jamhuri ya Finland Mheshimiwa Alexander Stubb amezindua mradi unaolenga kufadhili shughuli za ubunifu wa kuongeza thamani bidhaa za misitu utakaotekelezwa nchini kupitia Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais wa Finland, Alexander Stubb kufanya ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia leo Mei 14 hadi Mei 16, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia tarehe 14 hadi 16 Mei, 2025 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Finland na Tanzania zina mahusiano ya miaka 60 na zimekuwa zikishirikiana...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Philip Mpango akiwa na Rais wa Finland Aleksander Stubb katika mazishi ya papa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt. Philip Isidor Mpango akiwa pamoja na Rais wa Finland Aleksander Stubb katika Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Hayati Baba Mtakatifu Francisko ambapo Rais Stubb aligusia pia ziara yake ya nchini Tanzania kuanzia 14 Mei...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Finland

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Finland, Mhe. Alexander Stubb yaliyofanyika kwenye makazi ya Rais jijini Helsinki Oktoba 10, 2024. Wakati wa mazungumzo hayo, viongozi hao walijadiliana masuala...
Back
Top Bottom