rais trump

Sanjiv Rai is a first-generation Indian innovator and serial entrepreneur. He is the founder, chairperson and chief solver of multiple startups under Billion Innovators and Chairperson at ARE Technologies and his venture initiatives AceWP Innovation Labs and Billion Innovators intend to promote innovation in India and abroad. As a serial entrepreneur or innovator he has worked on AI based convergence and design algorithms, on a variety of products and solutions such as network convergence enabling D5 chip, AceWP, PlasmaPHI, innovate2learn, agniie devices, ChazeMe, SmartSAPS (Smart Secured Automated Payment Solutions), coolATM and Rosenbridges Future Cities/Smart Buildings and CHANDRA project for NASA towards permanent human inhabitancy on outer planets.

View More On Wikipedia.org
  1. Traxtion

    Marekani: Makelele yazuka wakati wa hotuba ya Trump

    Rais wa Marekani Donald Trump amekosolewa kwa sauti na kelele alipokuwa akitoa hotuba ya Hali ya Taifa. Wakati Warepublican wakimpa Trump shangwe za kusimama alipokuwa akizungumzia sera yake ya uhamiaji, aliwakemea wale ambao hawakusimama akisema, “Mnapaswa kuwa na aibu.” Tukio hilo la mvutano...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Rais Trump ametoa tangazo la video yenye ubaguzi wa rangi linaloonyesha Obamas kama tumbili

    Rais Trump ametoa tangazo la video yenye ubaguzi wa rangi linaloonyesha Obamas kama tumbili. Ikulu ya Marekani awali ililinda chapisho hilo, kisha ikaeleza kuwa lilitolewa na mfanyakazi mmoja. ============= President Trump removes a racist video depicting the Obamas as apes. The White House...
  3. Chura

    KIAMA CHA WANAHARAKATI JANJA JANJA: Jinsi Hatua ya Rais Trump Inavyoweza Kukata Mirija ya Fedha kwa Kina Maria Sarungi

    Na Mchambuzi Chura wa Siasa za Kimataifa Januari 7, 2026, itakumbukwa kama siku ya kihistoria katika diplomasia ya ulimwengu baada ya Rais Donald Trump kutangaza rasmi kuiondoa Marekani katika mashirika ya kimataifa 66. Hatua hii, inayokuja chini ya sera ya "America First", si pigo kwa...
  4. K

    Rais wa Colombia, Gustavo Petro aliwahi kumvimbia Trump ' usinitishe, nipo nakusubiri hapa' Je, litamkuta jambo kama Maduro?

    Wakati Donald Trump alipoiondoa Colombia kwenye orodha ya washirika wa Marekani katika ushirikiano wa kudhibiti biashara ya dawa za kulevya tarehe 15 Septemba 2025, ilidhihirika haraka kuwa hatua hiyo ilikuwa ikimlenga zaidi Rais wa Colombia, Gustavo Petro. Hatua hiyo ilitafsiriwa na wachambuzi...
  5. W

    Je, Rais Trump atapata tuzo ya Nobel Prize akifanikiwa kumaliza vita kati ya Gaza?

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amejiweka katikati ya mazungumzo kuhusu amani ya Gaza, akionyesha juhudi binafsi za kuhakikisha makubaliano yanafikiwa haraka. Tofauti kubwa katika mazungumzo haya ni jinsi Trump mwenyewe anavyoshiriki moja kwa moja, akiwashinikiza pande zote mbili – Israel na...
  6. tonicimmobility

    Gavana wa benki kuu agoma kufukuzwa kazi na Trump

    Gavana wa Benki Kuu ya Marekani, Lisa Cook, ameanzisha mvutano na Rais Donald Trump kwa kukataa kuondoka kwenye wadhifa wake baada ya rais huyo kutangaza kumfukuza kazi. Mvutano huo umetokea baada ya jana Jumatatu Agosti 25, 2025 Rais Trump kutangaza amemfukuza kazi Cook kwa sababu maalumu...
  7. M

    Wakati wa kukabidhi kombe kwa Chelsea jana sikuona Rais Trump akiwa na walinzi

    Japo ninaamini walinzi walikuwepo tena ulinzi mkubwa. Lakini hoja yangu ni hii : Jana kule Marekani mara baada ya fainali ya kombe la Dunia kwa vilabu wakati Chelsea wanakabidhiwa kombe , Rais wa Marekani Mhe Donald Trump alijumuika nao pamoja na Rais wa Fifa pale uwanjani ...
  8. DuaZaMama

    Rais Trump: 'Nadhani ni ujinga kuanzisha chama cha tatu'

    Rais wa Marekani Donald Trump, amemkosoa vikali mshirika wake wa zamani Elon Musk kwa kuzindua chama kipya cha kisiasa, hatua ambayo inayozidisha mvutano kati yake na bilionea huyo. Trump amemtaja bilionea huyo na mfanyabiashara wa makampuni ya SpaceX na Tesla, kuwa ni mtu aliyetoka kwenye reli...
  9. Mto wa mbu

    Tetesi: Asante Rais Trump mapendekezo yaliyotolewa na Marekani Kwa Tanzania ni Kilio na kusaga meno kwa CCM

    Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana . Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa. Maazimio yalikuwa. -Vyama...
  10. GENTAMYCINE

    Rais Trump kasema mpaka sasa Uchumi wa Marekani unafanya vyema je, yule niliyemsahau aliyesema kuwa Tanzania sasa ina Uchumi kuwazidi alizitoa wapi?

    Jamani ifike pahala sasa kama tunajijua kuwa ama tumelewa au tumelala nazo tusiwe tunakurupuka kwani tunaaibika!!
  11. R

    Rais Trump amekosoa vyombo vya habari, adai Mashambulizi dhidi ya Iran yaliharibu Vinu vya Nyuklia

    Rais wa Marekani Donald Trump amekosoa kile alichokitaja kuwa upotoshaji wa habari kuhusu taarifa za intelijensia zilizovujishwa na kwanza kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani Rais Trump ameshikilia msimamo wake kwamba mashambulizi ambayo aliamuru kufanywa dhidi ya Iran...
  12. Setfree

    Rais Trump anampenda sana Mungu: Sikiliza alivyohitimisha hotuba yake baada ya kuvisambaratisha vinu vya nyuklia – Iran

    Katika hotuba yake aliyoitoa Ikulu - White House, mara baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya vinu vya nyuklia vya Iran, Rais Donald Trump amehitimisha hotuba hiyo kwa maneno ya kugusa sana moyo, yanayoonesha wazi kuwa anamcha Mungu kwa dhati na kutambua uongozi wake mkuu. Namnukuu...
  13. U

    Nimebubujikwa na machozi ya Raha kusikia kuwa Mwamba Netanyau atazungumza na Rais Trump baadaye Leo

    Wadau hamjamboni nyote/. Hakiki ni Raha kubwa kwangu kujua kuwa Mwamba wa ukweli Benjamin Netanyau yuhai kabisa. Yes indeed he's very much alive. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is set to speak to US President Donald Trump later today, according to an Israeli official. Netanyahu...
  14. E

    Chanzo cha mgogoro kati ya Rais Trump na Elon Musk

    Wiki moja baada ya bilionea wa Marekani, Elon Musk kutangaza kujiondoa katika Serikali ya Rais Donald Trump, uhusiano wao umeendelea kutetereka kiasi cha wawil hao kulumbana mitandaoni. Musk ambaye ni mmiliki wa kampuni za Tesla, Space X na mtandao wa X (zamani Twitter) alitangaza kujiondoa...
  15. Manyanza

    Elon Musk atangaza kuondoka katika utawala wa Rais Trump wa Marekani

    Bilionea wa teknolojia Elon Musk ametangaza kuwa anaondoka katika utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump, ambako aliongoza mradi wa miezi kadhaa wa kupunguza gharama katika serikali ya shirikisho. "Wakati wangu niliopangiwa kama Mfanyakazi Maalum wa Serikali unakamilika, ningependa...
  16. U

    Serikali ya Qatar kumzawadia Rais Trump ndege ya kifahari boeng 747- 8 jumbo jet, yeye adai itatumika kama air force one

    Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Marekani Donald Trump yuko tayari kupokea ndege ya kifahari aina ya Boeing 747-8 kama zawadi kutoka kwa familia tawala ya Qatar wakati wa safari yake ya Mashariki ya Kati wiki hii ijayo, na maafisa wa Marekani wanasema inaweza kubadilishwa na kuwa ndege inayoweza...
  17. U

    Rais Trump asema amepanga kutoa Tangazo kubwa sana kabla ya ziara yake Mashariki ya kati

    Wadau hamjamboni nyote? Hajajulikana Rais huyo atasema nini hasa ila ameahidi ndani ya siku chache kabla haijaanza ziara ya Mashariki ya kati atatoa tangazo kubwa kubwa sana ========================= Trump teases ‘very, very, very big announcement’ ahead of his upcoming Mideast trip US...
  18. The Mongolian Savage

    Nasubiri Kwa hamu ziara ya Rais Trump, Saudi kwasababu tu ya hawa walinzi Katika ikulu ya mfalme wa Saudia wamenikosha

    Kama mjuavyo Rai's Trump atafanya ziara Saudi Arabia hiv Karibuni. Ila hii ziara kwangu naisubiri Kwa hamu Sana na nitaifuatilia Kwa Karibu kwasababu Tu ya hawa walinzi WA ikulu na mfalme wa Saudi Arabia. Ambao walinikosha Sana Trump alipofanya ziara nchini humo 2017. Cha Kwanza wengi wao NI...
Back
Top Bottom