rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salim Kikeke kutoka BBC Swahili hadi kuwa Chawa mkubwa wa Rais Samia

    Wakuu Katika kusheherekea na kuadhimisha miaka minne ya utumishi wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia tangu alipoingia madarakani Samia 4x4 wakiongozwa na Mtangazaji Salim Kikeke wameandaa ziara ya matembezi ya kiburudani kuelekea Mkoani Tanga Wilayani Pangani kwa ajili ya...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia abubujikwa na machozi kwa salamu za kheri za Watanzania, aomba Umoja na Amani kwa Taifa

    Rais Samia kupitia mitandao yake ya kijamii, amewashukuru wananchi kwa salamu nyingi za kheri na upendo walizozitoa katika kumbukizi ya miaka minne ya Kiapo cha kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Rais. Rais Samia alieleza furaha yake kwa kuwaona Watanzania wakimtakia mafanikio na ustawi...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi ya shangwe mwanafunzi Esther akimshukuru Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa kwenye elimu utakaowasaidia kutimiza ndoto zao

    Wadau hamjamboni nyote? Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ziarani mkoani Tanga hususani wilaya za Muheza na Mkinga alikutana na mwanafunzi wa sekondari ya magila aendaye kwa jina la Esther aliyemshukuru kwa kufanya uwekezaji mkubwa sekta ya elimu. Wadau nimeguswa sana na tukio hili na...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Morogoro yawaita Walimu Wasio na Ajira (NETO) kongamano miaka 4 ya Rais Samia

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Morogoro, wameandaa Kongamano kubwa litakalokuwatanisha Vijana kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Morogoro litakalofanyika leo. Soma, Pia: Hatima ya Walimu Wasio na Ajira (NETO) kujulikana baada ya siku 45, wapongeza 4R za Rais Samia...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wilaya ya Mlele imefanya hafla ya kupongeza miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia

    Wilaya ya Mlele imefanya hafla ya kupongeza miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, iliyofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Ibelamafipa iliyopo Kijiji cha Ilunde Halmashauri ya Mlele mkoani Katavi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa bajaj mpya yenye thamani ya Shilingi milioni 10.5 Kwa Baraza la Wanawake wa Kiislamu Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi Bajaji mpya yenye thamani ya Shilingi milioni 10.5 Kwa Baraza la Wanawake wa Kiislamu Tanzania, Wilaya ya Iringa lengo ni kuunga Mkono Juhudi za Wanawake wa Kiislamu Wilayani humo ikiwa ni sehemu ya utaratibu wake...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA: Ataka Rais Samia kuungwa mkono Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025

    Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anapaswa kuungwa mkono pindi atakapochukua fomu ya kugomea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 baada kukubali kutoa bilioni 6.7 kwaajili ya...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Eric Shigongo: Rais Samia amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaambia wananchi wa Buchosa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo alipowasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Rais wa Zimbabwe Emerson Mnangagwa

    Waziri Kombo alipowasilisha Ujumbe Maalum wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mhe. Dkt. Emerson Mnangagwa, Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shida ni Siasa- Aliyekuwa M.kiti wa Simba amethibitisha Rais Samia ndio aliekeza Mechi ya derb 20/21 isogezwe saa moja

    Kabla Mods hamjakimbilia Kuushusha Uzi naomba msome kwanza , muangalie na Source ya habari Hii , naweka Link. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba msimu wa mwaka 2020/2021 , Bwana Muhina Kaduguda ametoa siri ambayo haijawahi kuongelewa popote, Kaduguda amesema dhahiri kuwa wakati huo yuko mwenyekiti wa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wetu ni shabiki wa timu gani kati ya hizi mbili Simba na Yanga?

    Mwenye kujua ukweli wa Rais wetu ni shabiki wa timu gani kati ya hiz mbili simba na yanga? Plesase atufahamishe
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: Rais Samia amefanya makubwa hata wanaume walikuwa hawaaamini kama angeweza kuyafanya

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Stephen Wasira amesema uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umefanya mambo makubwa ambayo watu wengi hasa wanaume walikuwa hawaaamini kama angeweza kuyafanya kutokana na jinsia. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana wanastahili makazi bora kwa gharama nafuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuonesha dhamira yake ya dhati ya kuboresha maisha ya vijana kwa kutaka kuongezwa kwa uwekezaji katika ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'?

    Wakuu, Karibu wenye kila mkutano wa ndani ambao Rais Samia huwa mgeni rasmi, huwa kunakuwa na vikundi vywa kutumbuiza yaani wasanii wakubwa wa muziki, wa mashaiemri, kuna ngoma nk. Sasa wasanii hawa wakimaliza kufanya shughuli zao huenda moja kwa moja kwa Rais Samia kupokea bahasha zao na...
  15. JamiiForums Tanzania Tathimini: Uzinduzi wa Sera Mpya ya Taifa ya Ardhi na Dhamira ya Rais Samia

    Utangulizi Mnamo Machi 17, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995, Toleo la 2023, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma. Uzinduzi huu unaashiria hatua muhimu katika...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Spika, Mussa Zungu: Yaliyoonekana kuwa magumu yamewezekana kwa Rais Samia

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu kwaniaba ya Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo Machi 17, 2025 amesema ndani ya miezi minne ya Rais Samia Suluhu Hassan mambo mengo yaliyokuwa yameshindikana yamefanyika ikiwemo maandalizi na uzinduzi wa sera ya Ardhi...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania kuchora ramani yake mpya

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo mbioni kuanza mchakato wa kuchora ramani mpya ili kuendana na mabadiliko yaliyojitokeza. Pia, Soma: Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70 Rais Samia amesema mara ya mwisho ramani ya Tanzania ilichorwa mwaka 1978 huku vitu...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizara ya Ardhi yamkabidhi tuzo Rais Samia kwa kutambua mchango wake wa kusimamia mageuzi

    Wakuu Wizara ya Ardhi yamkabidhi tuzo Rais Samia kwa kutambua mchango wake wa kusimamia mageuzi ya mifumo ya usimamizi wa sekta ya Ardhi Tanzania. Pia, Soma Prof. Mkumbo afananisha tuzo aliyopewa Rais Samia na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, asema haya nimafaniko ya CCM
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70

    Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari 70 pamoja na vitendea kazi vingine kwa ajili ya kuimarisha usimamizi wa ardhi nchini. Magari na vitendea kazi hivyo yamekabidhiwa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi mkoani Dodoma, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Sera...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kagera: Wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 "wamshukuru" Rais Samia kwa kutenga Bilioni 4 kwa ajili ya Ujenzi wa shule yao

    Wakuu, Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule za Sekondari za Kagera River na Kituntu Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutenga zaidi ya bilioni nne kujenga shule mpya ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…