rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania Mei mosi ya matumaini: Rais Samia aandika rekodi mpya ya wafanyakazi Tanzania

    Leo hii, taifa zima linaitazama Singida ambako maelfu ya Watanzania wanaadhimisha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi. Lakini kilicho tofauti mwaka huu si tukio lenyewe, bali hisia mpya zinazoambatana nalo: matumaini, faraja, na shukrani kwa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika macho...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Singida: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025

    Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Mkoani Singida kitaifa, leo tarehe 1 May, 2025. https://www.youtube.com/live/MHXv41BdFrI?si=s-YLjva6CvZuccs_
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete atoa taarifa kwa Waziri Mkuu maandalizi mei mosi yamekamilika 100%, Rais Samia mgeni rasmi

    Leo Jumatano Aprili 30, 2025 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Ridhiwani Kikwete ametoa taarifa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ya ukamilifu na utayari wa kilele cha Sherehe za Mei Mosi zinazotarajiwa kufanyika kesho Mei Mosi katika Viwanja vya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupendwa na wananchi hakulazimishwi. Hujachelewa unaweza kubadilika

    Haya ni mahaba niue ya watu na rais wao yasiyokuwa ya kulazimishwa: Haya ndiyo ya TAL na wananchi wakiwamo mapolisi wako unaowatuma kumkamata au kutupiga na kutunyanyasa. Uongo mbaya hapendwi mtu bali matendo! Kwetu nchi imekosa usimamizi. Kila mtu anafanya lake: 1. Polisi anakana kukamata...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia maneno haya ya kuambiwa kumhusu yule Simba wa Kizimkazi, Tundu Antipas Lissu!

    Bila shaka wewe siyo Farao aliyeamua kuziba masikio hata pale busara yote ilipoelekeza vinginevyo: Kwani urais kitu gani kama unachoombwa ni kushinda au kushindwa kupitia tu uchaguzi ulio huru na wa haki? Anasema TX Moshi (Rip): "Sikia maneno ya kuambiwa na wana Ndekule, eeh Moshi weeh! Eeh...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana uwezo kuimarisha Muungano kwa Serikali, Moja muda uliopo unatosha kabisa kufanya Minimum Reforms. Anachohitaji ni utashi wa Kisiasa Tuu

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la mwananchi la leo Muda unatosha mabadiliko madogo ni utashi tu wa kisiasa! Jumatano, Aprili 30, 2025 By Paschal Mayalla Jumamosi iliyopita tulisherehekea miaka 61 ya Muungano wetu huu adhimu na wa kipekee. Kwa hakika, Muungano wetu umeimarika...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UWT Geita wasema wapo tayari kumpigia Rais Samia Kura za 'Ndio'

    Umoja Wanawake ya Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Geita umeridhia kwa kauli moja kumpatia kura za Ndio na za kishindo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 . Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ndumbaro amshukuru Rais Samia kuisaidia Simba kufika fainali CAFCC, awaombea ruhusa wabunge wakaishabikie Simba Morocco

    Waziri wa katiba na sheria Damas Ndumbaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuisaidia timu ya Simba kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika huku akiwaombea ruhusa kwa naibu spika wabunge kadha kwenda nchini Morocco...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Kibamba: Watanzania wengi wanatamani kuona sura ya Rais Samia kwenye fedha zetu

    “Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa mageuzi makubwa sekta ya umeme nchini

    Hali ya uzalishaji wa umeme nchini kutoka vyanzo mbalimbali na kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa imeongezeka toka megawati 1,601.84 mwaka 2020/21 hadi megawati 4,031.71 April, 2025. Hivyo tuna umeme wa kutosha na ziada. Pamoja na juhudi za kuongeza uzalishaji, serikali imekua ikitekeleza mradi...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiliba: Kuna watu wakikusikia unamtaja rais samia wanakereka, yeye ndiye anayetuletea maendeleo

    Kuna watu wakikusikia unamtaja rais samia wanakereka, hakuna namna yeye ndiye anayetuletea maendeleo katika taifa letu" - Kiliba, Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe.
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Aprili, 2025.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia afanya uteuzi Wenyeviti wa Bodi Mbalimbali

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya matumaini. Amefanya uteuzi wa...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nini hasa falsafa ya Rais Samia

    Kila awamu za utawala wa Rais una falsafa zake za kiuchumi Ila Kwa Sasa naona tunajiendea kama ng'ombe anapelekwa Vingunguti machinjioni 1 Mwalimu JK Nyerere_ Ujamaa na kujitegemea Nyerere ndo Rais wa awamu ya Kwa kwanza alipokea Taifa likiwa changa kutoka Kwa mkoloni Falsafa yake ilikuwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Ikulu Ya Chamwino

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Hii Leo ameongoza...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli: Wadogo zetu wanalipiwa ada ya chuo na Rais Samia

    Wakati akifanya mahojiano na Millard Ayo hivi karibuni, Jesca Magufuli ameeleza kuwa Rais Samia Hassan ameendelea kuwa na mchango mkubwa katika familia yao. Ameeleza kuwa bado anaendeleza matibabu ya bibi yao ambaye amekuwa akiugua hata kabla John Magufuli hajafariki. Aidha wadogo zao waliokuwa...
  17. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Nabii Rolinga: Madhara ya kumwaga damu, suluhisho ni kukaa pamoja

    https://youtu.be/gRFTQaTOCUg?si=7yOQzFaQ7gsU5Y8a Rais wetu na mama yetu mpendwa, Dr. Samia Suluhu Hassan, kama Serikali yako ni sikivu na wewe mwenyewe ni msikivu, hebu sikiliza sauti hii ya mtume wa Mungu. Kwa imani yako kama Mwislamu unaye mwabudu Allah, naomba utafakari ushauri huu wa...
  18. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Kuku wako manati ya nini?

    Ni ukweli utakaopokelewa kwa hisia tofauti, lakini ndio uhalisia wa hali ya kisiasa ya nchi yetu ulivyo sasa, uchaguzi wa rais 2025, uliisha Aprili 12, 2025 kanuni za uchaguzi ziliposainiwa. Hii ni tarehe ambayo itakumbukwa kwa CHADEMA kuwa ilikuwa "kusimama nchale, kukaa nchale." Kama...
  19. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nyamuhokya: Mwaka huu Tucta hatuna madai kwa Rais labda yeye kama mama akiona ana cha kufanya

    Hii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake. Kama kweli ndio msimamo wa wafanyakazi wetu basi taifa letu lina hali ngumu sana kupigania...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia apandisha dau: Kila goli ni milioni 30 baada ya Simba kufika fainali Kombe la shirikisho Afrika (CAFCC)

    Katika hatua ya fainali mechi mtakayoshinda, goli moja, goli la mama ni shilingi milioni 30” maneno ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitangaza dau jipya ambalo mnyama atajinyakulia katika kila goli...
Back
Top Bottom