rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia hahujumiwi. Angekuwa anahujumiwa angekuwa mstari wa mbeli kukemea maovu na utekaji hadharani

    Rais wala hahujumiwi kuhusu utekaji na maovu. Haya matendo anayalea na upo uwezekano kuwa watu wake wa karibi wanaguswa kwenye matukio. Rais Samia angekuwa anatoka hadharani kukemea mambo haya na kuchukua hatua vilivyo basi tungesema anahujumiwa. Lakini hasemi wala hakemei na watu wanafanyiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Wazee wetu wa CCM tunaomba mumfuate na kumsihi rais atoe kauli ya kukabidhi kijiti kwa mwingine ili taifa lipone

    Tunampenda ila itoshe kusema ahsante . Kuwa kiongozi nikuwa sauti ya Mungu , naona sauti ya umungu kwake nikama imekaushwa na vilio vya kila pembe ya Tanzania. Sisi kama wanaccm kunawakati huwa tunajilazimisha tu tuwe na vichwa ngumu pale tunapowaona wapinzani wakilia ,ila ukweli hata nasi...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: "na kama wanataka kuchukua nje wachukue lakini kwanza tufaidike ndani ya nchi" Nani kaelewa hii kauli?

  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunamhujumu Rais wetu kwa faida ya nani?

    Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 . Yeah, hii ni hujma. Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

    https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7 #Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mussa Zungu: Rais Samia amejivua mamlaka ya kupendekeza Mwenyekiti wa Tume, amewarudisha Wapinzani wote waliokimbia Nchi

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu akiongea na wananchi wa Dar es Salaam katika Hagla ya uzinduzi wa soko la Nyama choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti jijini hapo amesema: "Rais Samia amejivua mamlaka ya kupendekeza Mwenyekiti wa Tume, hayo...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Walemavu wamchangia fedha Rais Samia na kuahidi kumpa Kura zote Oktoba

    Wakuu! Drama za Uchaguzi zinaendelea...Series hii ni ya Watu wenye Ulemavu Katila Hafla ya uzinduzi wa soko la Nyama Choma la Kumbilamoto wananchi wenye ulemavu wamemchangia Fedha Rais Samia Suluhu Hassan na kumuahidi kumpa kura zote katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ataka Tanzania ianze kuzalisha umeme wa Uranium, asema rasilimali hiyo itumike kuinufaisha nchi kabla ya kuuzwa nje

    Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watumishi wa Umma wanakosa uzalendo, unateua mtu anakwenda kupiga picha nyaraka za siri na kusambaza

    Rais Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi wateule ikiwemo wa Tume ya Maadili leo Mei 24, amewataka kusimamia maadili kwa watumishi wa umma kwa nguvu na uadilifu. "Sisi viongozi ni watu na wanadamu, kuna miiko tumewekewa. Ukitufanyia tathmini leo unaweza ukatukuta asilimia 30 tu kweli...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa maneno ya Rais Samia nyaraka zilizovuja mtandaoni kuhusu tuhuma za Ufisadi ni za kweli

    Akiwaapisha Viongozi mbalimbali leo, Rais Samia ameelezea kushuka kwa maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi hadi kufikia nyaraka za Serikali kupigiwa picha na Watumishi na kurushwa kwenye Mitandao ya Kijamii. Kwa maneno haya aliyotamka Rais leo hii, ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma nzito za...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Wasaidizi wa Rais Samia Ni Washauri au Wasifiaji Tu?"

    Katika historia ya nchi yetu, viongozi wengi wa juu wamekuwa wakitegemea sana ushauri wa watu wa karibu — wasaidizi wao wa kisiasa, wataalamu, na washauri wa kila aina. Ushauri huu unapaswa kuwa dira ya kiongozi kuelekea kwenye maamuzi bora kwa taifa. Lakini swali kubwa linabaki: Je, wasaidizi...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Umeme ni Usalama wa Taifa, TANESCO isimamie vema; watumishi wa umma wazingatie maadili na uzalendo

    Rais Samia akiwaapisha viongozi wateule Ikulu Mei 24, 2024 https://www.youtube.com/live/oLtxqqshl1k?si=wTKjKGUbd7HEcD2Y Maagizo kwa Lazaro Jacob Twange Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) "Nimekupeleka kwenye Shirika ambalo ni security ya nchi yetu na hii ni baada ya...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia "umetuangusha sisi Wana wake"

    Haya maneno yanasemwa na mwanamke mmoja ambae ni rafiki mkubwa sana wa mke wangu tukiwa sebuleni mama huyo pia ni mtu mkubwa ngazi ya halmashauri. Kwakweli haikutegemewa Samia amfunike magufuli kwa maovu. Sasa tusubiri je nayeye ataiba kura amfunike magufuli? Mama unasalitiwa.
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia amechukua negative za Kikwete na Negative za Magufuli akaziweka pamoja na ndiyo mpango wake wa utekelezaji

    Negative za Kikwete ni kwenye kuruhusu ufisadi wa wazi wazi. Kwenye demokrasia alikuwa na uafadhali. Huyu mama Samia akaamua kubeba hilo la kuruhusu ufisadi wa wazi wazi akaamua kwenda nalo na kuacha hilo la demokrasia. Hilo ameona siyo kipaumbele chake. Hayati Magufuli yeye hakuruhusu ufisadi...
  15. JamiiForums Tanzania Al Jazeera yazidi kuikalia kooni serikali ya Rais Samia

    Heko tele ziende kwenye kituo cha Al Jazeera kwa kuendelea kuyamulika yanayoendelea Tanzania. Jana/ leo wamerusha habari za Boniface Mwangi kutekwa na kuteswa na vyombo vya usalama vya Tanzania. Kama bado haijatokew basi muda si mrefu itatokea. Serikali ya Samia itakuja kukifungia kituo cha...
  16. JamiiForums Tanzania Ipo Siku Rais Samia Atandika nae kitabu.

    Habari wanajukwaa. Binadamu alie na madaraka au mamlaka au Nguvu hua anataka kukumbukwa vizazi na vizazi hata baada ya Mamlaka aliyonayo kuisha hii hulka ni toka enzi na enzi. Sa anakumbukwa vipi maana kama Nguvu anakua hana Tena za kutoa Amri so hapo njia pekee hua ni kuandika kitabu au...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Dodoma: Kauli ya Rais Samia dhidi ya Wanaharakati ilikuwa sahihi na ilipaswa kuwa Kali zaidi

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema matamshi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, dhidi ya wanaharakati yalikuwa sahihi kwa kuwa, kama kiongozi, ni jukumu lake kuhakikisha tunu za taifa zinalindwa. Jawadu ameyasema...
  18. JamiiForums Tanzania UBIATANZANIA: Mliosema Bandari imeuzwa mmesikia hao walionunua wamepunguza matumizi kutoka bilioni 975 hadi bilioni 685, Tumwombe radhi Rais Samia

    Ndg zangu Watanzania, Hivi mmesikia maajabu ya Ubia (PPP) yanayotokea kule Bandarini?!! Mmesikia leo kutoa mzigo Bandarini ni siku tatu tu wala sio siku kumi (10) tena?!! Lakini sihivyo tu kwani hamjasikia leo meli hazichukui tena siku 46 ili kutia nanga Bandarini badala yake zinachukua...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maagizo aliyotoa Rais Samia kwa vyombo vya dola kuhusu wanaharakati ni 'Call to Action', je, tutegemee wasiojulikana kuongezeka?

    Wakuu, Majuzi Rais Samia alivyochamba 'wanaharakati' waliokuja kwaajili ya uangalizi wa kesi ya Lissu, aliviambia vyombo vya dola vichangamke katika kutoa majibu pale madai yanapozuka lakini pia aliwaambia vyombo hivyo viwadhibiti hawa watovu wa nidhamu, waishia kutovuka huko walipotokea na si...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia kapunguza safari za nje au ni mimi tu?

    Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje? Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu. Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu. Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli. Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani. Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…