rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania tutamlinda, kumpigania na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile

    Ndugu zangu Watanzania , Watanzania Tutamlinda , Kumpigania,kumsemea na kumtetea kwa gharama yoyote ile Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia hakupita jeshini, Rais Mwinyi hakupita Jeshini. Wabunge wengi pia hawakupita jeshini, nchi ina tatizo

    Sehemu kubwa ya hawa wote niliowataja, ndo wanachochea matumizi ya vyombo ya ulinzi ktk amani ya nchi. Bahati mbaya baadhi yao hawakwenda jeshini kwa kukwepa sheria iliyokuwepo. Yawezekana kabisa hawafahamu matokeo ya maneno yao juu ya vyombo vya ulinzi wa nchi. Huko bungeni pia kuna wabunge...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima aliomba Unaibu Waziri kwa Rais Samia

    Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!! Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!! Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sheikh amshukia aliyewaombea kiharusi wanaomsema vibaya Rais Samia, asema Masheikh wengi wanasumbuliwa na njaa

    "Pana sheikh nimesoma kwenye mitandao anasema wote wanaomsema mama wapate ugonjwa wa kiharusi, huyo ni hseikh huyo. Sasa nikiangalia huyo ni sheikh au shehena? basi hilo shehena hamna sheikh hapo. Tabia ya mtume Mohamed S.A alikuwa anampenda kila mtu"
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa CUF Bara, Othman Dunga: Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais

    Othman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais. Mtu anapanda jukwaani anasema 'Eti Samia'. Huwezi kumuita Samia, huyu kiongozi wa nchi, ni 'icon' ya nchi. "Lazima apewe heshima yake. Tunasema tunamuomba Rais Samia Suluhu Hassan na mtu ukimpa...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Siku sio nyingi Askofu Gwajima atatangazwa kuwa ni MHAINI, Anatishia Usalama wa Rais Samia, Kupanga Njama Ovu!

    Katika ulimwengu wa siasa za Tanzania, jina la Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe na mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, limekuwa likizua mjadala mkali. Hivi karibuni, uvumi umeenea kwamba “muda sio mrefu” Gwajima atatangazwa kuwa mhaini anayetishia usalama wa Rais Samia Suluhu Hassan...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Dodoma: Mkingeni Rais Samia dhidi ya mashambulizi mitandaoni

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma...
  8. JamiiForums Tanzania Mzee aliyesema "CCM hii ni ya Wahuni sio aliyoiacha Mwalimu Nyerere" , tunaomba asitekwe

    Rais Samia ana Kofia mbili, kwanza ni Rais wa Nchi ili ni Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi(CCM). Huwa anaipenda sana CCM kiasi kwamba ukiongea kitu hasi kuhusu chama kilichompa Urais, unawezwa fanywa chochote. Huyu Mzee anawapa Ushuhuda Vijana waliomuuliza kama CCM hii ya sasa 2025 chini ya...
  9. JamiiForums Tanzania Samia hana kosa hata moja, Muliro hana kosa, IGP hana kosa. Kosa liko vichwani mwa Watanganyika

    Muliro ameshasema yeye anasimamia mulichokubaliana ninyi wenyewe Watanganyika, IGP pia anasimamia mulichokubaliana ninyi wenyewe Watanganyika. Yaani wanasimamia sheria zenu mlizozitunga. Ziwe mbaya, ziwe nzuri hilo haliwahusu. Jukumu lao ni kuzisimamia. Watanganyika ndio mliotunga sheria ya...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nilitegemea Magufuli ataacha somo kubwa kwa taifa lakini kumbe mpaka kenge atoke damu!

    Hivi ni kiburi, dharau au upumbavu? Kwanini Magufuli hatoi somo? Hivi dunia hii ya 5G unaweza kweli kuitawala kwa mkono wa chuma ukafanikiwa? Hivi kwanini Samia apitii notes za Magufuli? Hivi hii nchi kuliwai kutokea mwamba na mtu mwenye ushawishi kwa umma Kama Magufuli? What next? Ila...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashughulike na matatizo ya usalama wa wananchi na sio kushughulika na wanaofichua uovu. Sura ya Tanzania kimataifa imekuwa mbaya mno!

    Kinachoendelea ni kwa serikali na vyombo vyake kujaribu kuwaziba midomo wale wote wanaofichua vitendo viovu vya utekaji na upotevu wa wananchi. Lakini la ajabu ni kwamba badala ya serikali kutoa ushirikiano kwa watoa taarifa inaonekana serikali inajikiti zaidi kukana kuwepo kwa vitendo hivi na...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeeni, haki yake mpeni- kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda mrefu zilisikika kama kilio kisicho...
  13. JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni - Kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Na, Kalamu ya Jenerali, Mbalali Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Sauti ya mwenye mamlaka inapobeba haki huponya taifa lote, ikibeba hofu huacha majeraha ya vizazi. Ninakusihi sana, rudisha upanga alani

    Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nakuletea ujumbe huu kama raia mpenda haki na mwenye imani kuwa Tanzania inaweza kuwa bora zaidi, salama zaidi na ya haki zaidi kwa wote. Rais wangu, ulionesha ujasiri mkubwa katika kipindi kifupi ulichoshika hatamu za uongozi ulifungua milango ya majadiliano...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Tafadhali Sikiliza Sauti ya Watu wa Mungu

    1. Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, tunakutambua kama kiongozi wa nchi yetu, mama wa taifa, na muendelezaji wa juhudi za maendeleo. Tunakupa heshima yako kama mkuu wa nchi. 🇹🇿 2. Lakini tunakuomba kwa unyenyekevu, usikilize kilio cha viongozi wa dini ambao kwa nyakati mbalimbali wamekuwa...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usifikiri unaungwa mkono, wanakuangalia tu wakichoka watarudisha mpira kati

    Wanazengo wanasema ushauri si lazima upokelewe ila mjumbe hauwawi. Nimeona na mimi niandike kwasababu uwezo ninao na nia pia juu ya haya yanayoendelea kila mtu anaruhusiwa kuandika lake liwe la kweli au uongo sio kosa. Mimi kama Mtanzania wa kawaida kabisa ninachokiona kinaendelea nchini...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atakapotoka madaraka ataenda kuishi Oman na familia yake?

    Najalibu kutafakali kwa haya yanayotokea huyu Mama baada ya kustaafu sizani kama atabaki Tanzania kama marais wenzake waliomtangulia,namuona yeye na familia yake wakienda kuishi Oman huku nyuma akiwa ametuachia msala wa mavurugano mkubwa wa kivyama,kisiasa na kidini, Kama huko CCM hakuna wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia baadhi ya washauri wako wanataka kuangusha Serikali yako kupitia Wananchi

    Tafadhari kila mmoja asambaze uzi huu Kila mahali kwenye Magroup ya WhatsApp na mitandandao ya Kijamii Nafahau Samia unaweza Kusoma taarifa, Washauri wanaomtakia mema Samia na Washauri wasiomtakia mema Samia. Rais Samia analazimishwa kucheza Karata mbaya za kisiasa, Katika Washauri wa Karibu...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Rais Samia alifungua mlango kuwasikiliza, sasa hivi kimetokea nini?

    Ally Hapi amesema kila jambo linawakati wake, wakati Rais Samia amefungua milango kuwasikiliza kama wananchi wengi wanahaki ya kusikilizwa. Sasa tatizo la wenzetu ni moja tu wanazani wapinzania wa nchi hii wanamilki ukweli, wanamiliki haki, na wanamilki busara, ili upate busara Nchi hii ni yale...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yapeleka bilioni 669 za barabara, madaraja mikoa ya kusini

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi Bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa lengo la kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi. Akizungumza mkoani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…