rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Rais Samia tenda wema weka sheria bora, achana na machawa, tamaa achana nazo na tenda haki

    Kwa wale wanao amini Magufuli sababu moja wapo ya kuondoka kwake ni ukatili wake kwa wasio kubaliana naye na wanao dhani alikuwa hapendi wapinzani sasa wanajiuliza. Kama Mama Samia anafuata yaleyale ambayo yalikuwa hayampendezi Mungu badala ya kurekebisha anapitia njia ile ile hizi sala za...
  2. L

    Rais Samia ni Nuru na Mwanga wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Huyu Mama Mwenye moyo wa Upendo,huruma, Ukarimu, Unyenyekevu, Uzalendo na Moyo wa kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania katika kuleta matumaini na tabasamu kwa watu wote. Amekuwa ni nuru na Mwanga wa Taifa letu katika mioyo ya...
  3. PreGE2025 Mufti Mkuu Abubakar bin Zuber kuongoza Dua ya Kumuombea Rais Samia

    Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki. Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi...
  4. PreGE2025 Rais Samia anataka mitano tena akafanye nini zaidi?

    Binafsi ningekuwa mshauri wa Rais ningemshauri katika kipindi hiki kifupi awape Watanzania Either Tume huru ya Uchaguzi au Katiba Mpya au vyote halafu asigombee tena Urais. Kwanini? Kwasababu mpaka kufikia October mwaka huu Mungu ajaliapo Bwawa la Nyerere litakuwa na Jina lake, SGR lots zote...
  5. PreGE2025 Rais Samia kuwa mgeni rasmi tuzo za 'Samia Kalamu'

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa tuzo za wanahabari zinazofahamika kama ‘Samia Kalamu Awards’ ambazo zinalengo la kuchochea na kuhamasisha uandishi wa habari za maendeleo katika nyanja mbalimbali. Tuzo hizo...
  6. PreGE2025 Rais Samia Amwaga Bilioni 45 Kutatua Tatizo la Maji Jijini la Dodoma

    ▪️Mradi wa visima 10 Nzuguni A kuzalisha lita 20m kwa siku ▪️Visima zaidi kuchimbwa maeneo ya pembezoni ya Jiji kupunguza Mgao ▪️Waziri Aweso aweka kambi Dodoma kushughulikia suala la Maji ▪️Mbunge Mavunde apongeza jitahada za serikali kutatua kero ya maji Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso...
  7. PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA Singida Wamlilia Rais Samia Kuhusu Kesi ya Mwenyekiti wao"

    Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Singida, wameangua kilio kwa kumwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, atoe tamko la kuachiwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama hicho ambaye anadaiwa kukabiliwa na kesi ya uhani...
  8. S

    Wakulima wa Tumbaku Tabora wasema Bashe hafai kuwa Waziri anamharibia Rais Samia

    WAKULIMA wa Tumbaku Tabora wamepaza sauti zao kwa Rais Samia kumuondoa kwenye nafasi ya uwaziri wa Kilimo Mheshima Bashe kwani anamharibia sana kwa wananchi kutokana na kushindwa kuisimamia wizara ya Kilimo... Wasikilize kwenye hii link wakulima
  9. M

    Maana ya mnara wa Babeli nchini Tanzania na miaka mitano mingine ya Rais Samia

    Watu wengi mumekuwa mkihusisha maana halisi ya maana ya mnara wa Babeli kama jinsi neno la Mungu linajieleza lenyewe lakini ikitazamia katika upande wa kiroho ukagusia sehemu ndogo tu ya siasa na amani katika nchi hii ya Tanzania utaona kuna ujenzi wa mnara wa Babeli japo si wote ambao...
  10. J

    PreGE2025 Amos Makalla: Rais Samia ametuhakikishia Tanzania ni salama

    •Nchi yetu ni salama, mipaka yetu ni salama chini ya uongozi wa Dr Samia Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa hali ya usalama Tanzania ipo shwari chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye Amiri...
  11. Diaspora Ubelgiji wampongeza Rais Samia kwa miradi ya maendeleo na kudumisha amani

    Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake thabiti unaoendelea kuleta mafanikio makubwa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na kulinda amani na mshikamano wa kitaifa. Pongezi hizo...
  12. B

    PreGE2025 Evance Kamenge: Rais Samia anaweza kugombea na mtu yeyote bila ya usaidizi wa chombo chochote na akashinda uchaguzi

    Vijana wanaotafutaga teuzi bhana huwa wana miyeyusho sana Tlaatlaah njoo umchukue kaka ako === Mchambuzi wa Siasa na Uchumi Evance Kamenge akifanya mahojiano na kituo cha Star Tv kwenye kipindi cha medani za siaza kinachoongozwa na Edwin Odemba, ameeleza kuwa Rais samia kwa mambo aliyoyafanya...
  13. PreGE2025 Mbunge Ulanga: Rais Samia ni tajiri sitoacha kumuomba, tutamlipa kwa kura nyingi 2025

    Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ameeleza yale yote yaliotekelezwa na Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na kusema pamoja na yote bado hatoacha Kumuomba fedha Rais Samia Kwa ajili ya kutekeleza miradi iliobaki. Salim Alaudin aneyasema hayo mara baada...
  14. PreGE2025 Bashe: Rais Samia kuzindua Benki ya Ushirika Tanzania Aprili 28, Ikianza na mtaji bil. 55, matawi manne

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema Rais Samia anatarajiwa kuzindua rasmi Benki ya Ushirika Tanzania tarehe 28 Aprili 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  15. Rais Samia kuwa mgeni rasmi katika kongamano la wafugaji litakalofanyika mkoani Simiyu

    Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la wafugaji nchini litakalofanyika kitaifa mkoani Simiyu mwezi ujao. Mwenyekiti wa Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT), Mrida Mshota, alisema kongamano hilo, litafanyika kuanzia Mei 15 hadi 18, mwaka huu katika...
  16. P

    PreGE2025 Rais Samia azidi kutrend kimataifa kutokana na suala la Lissu, afananishwa na kina Museveni na Kagame

    Salaam, Rais Samia anazidi kutrend kimataifa, suala la Lissu limezidi kutrend na kumuweka kwenye spot Rais Samia. Sasa anaanza kufafanishwa na kina Museveni na Kagame. Kwenye hiyo video wanakwambia alisifiwa kweli alipoenda kumtembelea Lissu lakini kinachotokea sasa ni kama mtu mwingine kabisa...
  17. Rais Samia toa maagizo kwa NIDA wawapigie watu simu wawaletee vitambulisho kwenye halimashauri walizopo!!

    Nasikitishwa na hii tabia ya nida kutaka kufuta vitambulisho ambavyo havijachukuliwa unakuta mtu alijiandikisha Tarime halafu yupo Dar kitambulisho kinachapwa Dar halafu kinapelekwa tarime wakati mhusika yupo dar!! Yaani nichukue laki2 kufatilia kitambulisho kweli kichekesho!! Hivi nida ni...
  18. B

    PreGE2025 Ndumbaro anaposema Samia Legal Aid siyo bure ni kwamba wote tumelipiwa na Rais anamaanisha hizo hela zinatoka mfukoni mwake ama?

    Akizungumza katika Uzinduzi wa msaada wa Kisheria wa mama Samia, waziri wa katiba na sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa kampeni hiyo inaonekana ni bure na inatolewa bure kwa wananchi lakini ki uhalisia huduma hiyo imelipiwa na Rais Samia.
  19. B

    PreGE2025 Ndumbaro: Samia Legal Aid siyo bure ni kwamba wote mmelipiwa na Rais Samia

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…