rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais samia amemzidi Magufuli, Tume imeweka usawa, hatukupaswa kuwa masikini- mzee Paschal Mayala

    19 September 2025 RAIS SAMIA AMEMZIDI MAGUFULI, TUME INEC IMEWEKA USAWA, HATUKUPASWA KUWA MASIKINI - MZEE PASCHAL MAYALA https://m.youtube.com/watch?v=oftPkSsFP4I Mwandishi mkongwe mzee Paschal Mayala akiwa studio. Nguli huyu wa tasnia ya habari pia ni mwanachama hai /active katika mijadala...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Ahadi ya CCM Miaka 5 ijayo ni kudumisha Demokrasia, Utawala Bora na kujenga Taifa linalojitegemea

    Mgombea wa nafasi ya rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassana akizungumza na Wananchi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo, tarehe 18 Septemba, 2025, katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar amesema ahadi za Chama cha Mapinduzi...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Felista Njau abadili mkakati, aingia masokoni kumnadi Rais Samia

    Felista Njau, ameibua mbinu mpya kwa kuacha mikutano ya hadhara na badala yake kuingia moja kwa moja masokoni, akiwafikia wakina mama na wafanyabiashara wadogo. Njau, ambaye sasa ni sehemu ya timu ya kampeni za CCM, anasema mkakati huo unalenga kuwafikia makundi ambayo mara nyingi hayapati...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wa Zanzibar: Rais Samia anatosha kuendelea kuwa Rais wa Tanzania kutokana na maendeleo aliyoyaleta

    Kuna baadhi ya vijana wanachokizungumza hakileti maana yoyote kwenye maendeleo yao binafsi, wanaishia kufanya uchawa usio na manufaa kwao ================= Baadhi ya Vijana kutoka Visiwani Zanzibar wameeleza namna ambavyo Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt Samia Suluhu Hassan...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Hakuna maendeleo yanayomalizika katika awamu moja

    Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema maendeleo ni mchakato wa hatua endelevu na hakuna awamu inayoweza kuyakamilisha yote. Akizungumza leo kwenye mkutano wa kampeni Makunduchi, visiwani Zanzibar, Dkt. Samia...
  6. JamiiForums Tanzania Apostle Fadhili Kemuel: Ni laana kumtukana rais wa nchi

    Hekima ni ulinzi Usiruhusu itikadi Yako ikufanye kukosa adabu. Usimtukane RAIS wa nchi. Hekima ni ulinzi"- Apostle Fadhili Kemuel
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Kwa sasa ni Rais Samia, atakayekuja baada yake Mungu ndiye atakayeamua

    Wasira: Kwa sasa ni Dk Samia, atakayekuja baada yake Mungu ndiye atakayeamua.
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Shilole: Uwezo wa Mama kwenye siasa ni mkubwa mno. Kwa kweli ni Role Model

    TATHMINI YANGU MIKOA 10. . Mimi kama msanii, Namshukuru Mungu, naishukuru CCM kupitia Mwenyekiti wake na Mgombea Urais, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa nafasi ya kwenda mikoani kwenye kampeni. Kama msanii, mimi na wenzangu tulikuwa na jukumu la kuburudisha...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi wa dini Kigoma aeleza sababu za kumchagua Rais Samia uchaguzi mkuu 2025

    Mmoja wa Viongozi wa Dini kutoka Manispaa ya Kigoma amesema wameshuhudua mabadiliko makubwa Mkoani humo tangu Rais Samia Suluhu ashike madaraka. Ametaja miradi mbalimbali iliyotekelezwa na kuwaasa wananchi kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuendelea na uongozi wake katika nafasi ya Rais wa...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Nafanya biashara kwa sababu ya mama Samia

    Naona machawa wanaendelea kukichufua na kumkingia kifua Rais Samia Lakini nikiitizama hii video ya hawa wafanyabiashara naona walilamba asali kwanza ndio wakapata nguvu ya kuongea yote
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Rc Ruvuma atoa shukrani kwa rais Samia kutoa magari mapya 24 kwa ajili ya shughuli za jeshi la polisi

    Rc Ruvuma atoa shukrani kwa rais Samia kutoa magari mapya 24 kwa ajili ya shughuli za jeshi la polisi
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Leo nimepata nafasi, naitazama mechi ya Simba na Yanga

    Bi Mkubwa leo kaamua kumpumzika kuwacheki Yanga na Simba mechi ambayo inaendelea kwa sasa uwanja wa Mkapa. Anawatazama moja ya wapiga kura na wanufaika wa goli la mama
  13. O

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mange: Serikali yatoa maagizo ya kuwatambua Viongozi wa Dini wasiomuunga mkono Rais Samia

    Ameandika Mangekimambi "Amkeniiiiiii, mnalala mna raha gani na huku Mchengerwa, mkwe wa Rais katuma barua kwa wakuu wa mikoa wote wapeleke listi ya wachungaji ambao hawapo na Samia. Yani ni hivi Mchengerwa anataka listi ya majina ya wachungaji ambao hawapo upande wa Samia na list itaenda ikulu...
  14. JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi akataa kuvuruga amani ya nchi, asema Rais hafokewi

    Rais wa Chama cha wanasheria Nchini (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayupo tayari kuwa mmoja wa watanzania watakaohamasisha vurugu au kulazimisha wananchi kutojitokezakupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwani yeye hawezi kutumika wakati Maisha yake na familia...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ili kuongeza fursa za kusoma Post Graduate, Je wagombea urais mtairudisha AIMS?

    Ili kuboresha elimu Africa washirika mbalimbali wanatoa hela zao kufadhili masomo ya wanafunzi wa post graduate wa hesabu kwa taasisi inayojulikana kama African Institute of Mathematical Sciences (AIMS). Chuo hiki kiko nchi mbalimbali kikichukua wanafunzi wa hesabu na engineering na kuwasomesha...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia alivyokwepa kumrushia vijembe Zitto Kabwe kufuatia maneno ya Baba Levo

    Mgombea Urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan amesema kwa Jimbo la Kigoma Mjini Wagombea Ubunge wa mwaka huu wa CCM Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Babalevo na Zitto Zubeir Kabwe wa Chama cha ACT Wazalendo wote ni wanae na wananchi ndio watakaoamua nani awaongoze. Dkt. Samia ameyasema...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Rais Samia unaombaje kura wakati umeshindwa kumaliza ugonjwa la Maralia, na uwezo ulikuwa nao?

    Tanzania Zanzibar hakuna maralia lakini Tanzania Bara kuna maralia ambapo inauwa watoto, wa mama wajawazito na hata wazee, lakini ulikuwa unawezo wa kumaliza ugonjwa la Maralia, na uwezo ulikuwa nao hiyo ni kulinda maslai ya watu fulani kwa sababu ya bishara ya dawa
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wa kwenda kumtoa mgombea mwenza (Nchimbi)

    Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wakwenda kumtoa mgombea mwenza( Nchimbi) ila kwa sababu mgombea mwenza ni mjanja tu, na ndio maana ile siku Kikwete pale Kawe alisema Nchimbi anajua. Wakamkaba mama Samia huku na huku, akaogopa wakamtisha kwamba mama kama unachoma betri...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tutahakikisha barabara za vijijini inajengwa kwa changarawe na umeme katika vitongoji Kigoma

    Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika kampeni kunadi sera Kigoma Mjini amewaahidi wananchi kuwa watahakikiha barabara zote za vijijini ambazo hazipo kwenye mpango wa kujengwa kwa lami inajengwa kwa changarawe ili kupitika misimu yote mwaka mzima Pia...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tumejidhatiti Kuungasisha Kigoma kwa njia zote barabara, reli na njia ya maji

    Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kigoma Mjini leo Septemba 14, 2025 akiendelea na kampeni za CCM amesema serikali yake imejidhatititi kukuza uchumi wa Mkoa wa Kigoma kwa kuboresha na kukamilisja ujenzi wa barabara, anga, reli na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…