rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Mama Kanumba Alengwa Lengwa Na Machozi Mbele Ya Umati Wa Watu Baada Ya Kununuliwa Gari Mpyaaa Na Rais Samia . Amimina Shukurani Nzito Kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na...
  2. Rais Samia amzawadia Gari Mama Kanumba

    Katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba gari jipya aina ya Harrier New Model. Hatua hii imekuja kama ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa marehemu Kanumba katika kukuza...
  3. Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026

    Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026 https://www.youtube.com/live/3RbAlFDqO8o?si=HGGpUx5hggEDEQa6 Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  4. M

    Utafiti unaonyesha serikali ya CCM chini ya rais Samia imesababisha ugumu wa maisha. Wananchi wamegeuza chapati na maarage ndio chakula kikuu

    Hakuna economic measures ambazo zinawekwa kumsaida mtanzania kupata kipato kibachoweza kumsaidia kupata mlo kamili. Mikakati iliyopo ni kusaidia vijana watengeneza maudhui mitandaoni kuwa ndio sera kuu kuikoa CCM ipendwe. Wabeba Zege, wakulima wa Pamba? walima vitunguu huko vijijini? Leo hii...
  5. Rais Samia: Tumuombe Mungu Marekani na Iran wazungumze misukosuko iishe, dunia irudi katika hali ya kawaida

    Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati. Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya...
  6. John Mnyika: Jamii ya Kimataifa isisikilize upotoshaji wa Rais Samia, hali ya kisiasa nchini bado si shwari

    "Jana Samia Suluhu Hassan wakati anazungumza na Rais wa Ghana amesema hali ya kisiasa Tanzania ni shwari, anaiambia dunia hali ya kisiasa Tanzania ni shwari. Nataka kusema kwamba jamii ya kimataifa isisikilize upotoshaji huo, hali ya kisiasa Tanzania haiwezi kuwa shwari wakati kiongozi Mkuu wa...
  7. L

    Padri Charles Kitima ana chuki binafsi na Rais Samia na amekosa adabu na heshima kwa Rais. Rais Alifanya vyema sana kuondoka Kanisani bila kuzungumza

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Padri Ameonyesha waziwazi kuwa na chuki binafsi na Rais wetu Mpendwa,ameonyesha tangia awali kuwa na kinyongo na utawala huu, ameonyesha kuwa na dharau na maneno ya dharau sana awamu hii. Inaonyesha ni mtu mwenye Ubaguzi wa kidini na mtu aliyejaa kiburi moyoni...
  8. L

    Rais Samia ashiriki futari na watoto yatima na makundi mbalimbali jijini Arusha

    Ndugu zangu Watanzania, Tukisema Rais Samia ni Mama wa Taifa na Mfariji Wa Taifa tunakuwa tunamaanisha . Rais Samia ni Mama mwenye moyo wa huruma , upendo na ukarimu mkubwa sana. Ni kiongozi ambaye ni Mlezi na Mzazi mwenye Upendo wa kiwango cha Agape yaani Upendo usio na mipaka wala kikomo. Ni...
  9. L

    Arusha yaendelee kupata Neema. Rais Samia atua kwa ziara ya siku mbili

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka,chuma cha reli ,shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia Ametua na kuingia ndani ya jiji la Arusha Kwa Ajili ya Ziara ya Siku mbili. Ikumbukwe Ya kuwa Arusha ni Mkoa wa kimkakati katika suala...
  10. Rais Samia angejua anamtuma Nchimbi kwenda kuongea na yakwake ambayo ni mazito kuliko yake hasingemtuma

    " Mimi uwa spendi hata maugomvi ya vyama ndio maana wakati nikiwa katibu mkuu nilikuwa nawakemea Wana CCM walioongea mambo ya OVYO dhidi ya wapinzania maana naonaga ni UPUMBAVU TU" Yule Mwenyekiti wa CCM Kagera sijui kajiskiaje maana yeye ndo aliwai kemewa na Dr nchimbi Kusema ukweli Nchimbi...
  11. H

    Nduva aaga, amshukuru Rais Samia kwa ushirikiano na uungaji mkono wa mtangamano wa EAC

    Nduva aaga, amshukuru Rais Samia kwa ushirikiano na uungaji mkono wa mtangamano wa EAC Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Mhe. Veronica Nduva, ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa karibu alioupata...
  12. L

    Rais Samia ,Wanu Hafidhi Katika PICHA Ya Pamoja Na Viongozi Wa Jumuiya Ya Wanafunzi Wa Elimu ya Juu Hii Leo Baada Ya kufanya Nao mazungumzo

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan akiwa Pamoja na Naibu Waziri wa Elimu Mheshimiwa Wanu Hafidhi Wameweza kukutana na kufanya Mazungumzo na Viongozi wa Jumuiya ya wanafunzi wa Elimu ya juu. Ambapo...
  13. Hili "somo la kwanza” la Wakatoliki kwenye msiba wa Kardinali Pengo mbona kama lilikuwa limelenga kufikisha ujumbe flani?

    Wakuu, Jana wakati wa misa ya kumuaga Kardinali Pengo kulikuwa na hili somo maalum lililoandaliwa na likasomwa kwenye misa mbele ya Samia Kwanza picha linaanza tukio ni la msiba lakini somo limesomwa kutoka kwenye kitabu cha WAFALME. Kilichosomwa: "Neno la Bwana likamjia Elia Mtishbi kusema...
  14. Baada ya mauaji ya Oktoba 29, mbona Rais Samia anazidi kuchukiwa pamoja na jitihada za kisiasa kuonesha yupo karibu na Wananchi?

    Kila kada wa CCM sasa hivi utamsikia anajifanya yupo karibu na vijana hasa majenzii. Hii ni suluhu ya rais Samia kujubalika kwa Watanzania? Huku kuna kovu kubwa hasa kuuliwa kwa raia ambao hata hawakuwa karibu na siasa , wengine walikuutwa wakiangalia mpira kwenye vijiwe vya kahawa. Shootong...
  15. Rais Samia angekuwa na washauri wazuri wangejiuliza kwa nini kila analofanya halikubaliki kwenye macho ya Watanzania.?

    Ni kama serikali ya rais Samia haifanyi lolote kwenye macho ya watanzania. Ujumla kila analolifanya ni kama void and null. Nimekuwa na mazungumzo na mmoja wa wakufunzi kwenye chuo cha ualimu sitaki kukitaja. Akaniambia yeye mwenyewe anashangaa sana maana kila analolifanya rais Samia ni kama...
  16. L

    Rais Samia anafanya kazi usiku na mchana mpaka Huruma zinanishika. Tutamkumbuka Sana akimaliza muda wake 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia kajitoa na kujitolea Maisha yake kama Zawadi kwa watanzania. Rais Samia anafanya Kazi usiku na mchana Mpaka Huruma Zinanishika Mimi. Muda na wakati wote unaona yupo kazini. Hana muda wa kupumzika wala kukaa na Familia yake. Kila Saa na Dakika yake ina...
  17. Samia Aweka Historia ya kuwa Rais wa kwanza toka Uhuru kujenga Vyuo Vya Veta 64 kila Wilaya.Ajengewe Sanamu ya Kumbukumbu

    My Take Kuna baadhi ya Nyumbu wa Chadema wataanza kubishq na Kutukana hovyo. Tanzania inasonga mbele. Pia soma hapa PreGE2025 - Prof. Mkenda: Rais Samia aagiza kila Wilaya kujengwa VETA, Ujenzi unaendelea katika Wilaya 64 | JamiiForums PreGE2025 - Prof. Mkenda: Rais Samia aagiza kila Wilaya...
  18. Ziara za Rais Samia kuelekea Ulaya 2025- 2026

    Rais Samia na mwanao andaeni mlio Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu. 1. Kisiasa Kisiasa Rais Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi...
  19. Kwa yaliyofanyika Oktoba 29 ni vyema viongozi wanawake duniani wangejitenga na Samia

    Wakuu, Nimesikia Bi Msumi katengwa na viongozi wenzake huko AU Sasa mi naona hilo suala lingeendelezwa zaidi. Heads of state wote duniani ambao ni wanawake wanatakiwa kumtenga Samia Wanawake ni mama zetu, dada na mashangazi zetu. Hakuna mtu ambaye ana uchungu na maisha ya watu kama mwanamke...
  20. L

    PICHA: Rais Samia Akiwa Na Pistol Mkononi Akiwa Ameishika Kikakamavu na Kikomandoo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tuna Rais Imara ,tuna Rais wa Viwango ,tuna Rais Hodari ,tuna Rais shupavu ,madhubuti na Makini kwelikweli. Tuna Rais Ambaye alistahili na amesitahili kuitwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama. Tuna Rais Mwenye Hadhi ya Uamiri Jeshi Mkuu Wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…