rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia kuhusu 'SU Tv' umekosea, kwakuwa ni mwanzo tunakukumbusha na kukusamehe

    Katika Mkutano wa kikazi kati ya Mh Rais wa AWAMU YA SITA na Waandishi wa habari/wamiliki wa vyombo vya habari na wanahabari, Mh Rais labda kwa kufahamu au kutofahamu alifanya PROMOTION/MARKETING ya biashara yake mwenyewe/binafsi. Promotion nini?? (the publicizing of a product, organization, or...
  2. J

    Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

    Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi. Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia. Chanzo: ITV
  3. M

    Profesa Lipumba ashangazwa na Rais Samia kumuachia mtu aliyekula njama katika wizi wa shilingi zaidi ya bilion 300 za Escrow kwa kutoa bilion 26 tu

    Akiongea na waandishi wa habari leo profesa Lipumba ameonyesha kushangazwa na hatua ya Rais Samia kumuachia huru mtu aliyekula njama za kukwapua zaidi ya shilingi bilion 350 za Escrow kwa kutakiwa kulipa shilingi bilion 26 tu, Profesa anahoji hizo pesa nyingine sasa zinakwenda wapi, na...
  4. B

    Rais Samia maoni ni Haki yake bali Maamuzi na Utekelezaji

    Niwasalimu kwa jina la JMT. Kama binadamu na kama rais, Mama Samia ana haki zake za msingi zikiwamo za kuwa na maoni na mawazo yake. Mtu halaumiwi wala kushutumiwa kwa maoni au mawazo yake bali kwa maamuzi na matendo. Mama anaona kuwa katiba mpya si kipaumbele chetu. Tupo tunaodhani katiba...
  5. Wote wameingia kibahati na kutotarajia, Rais Samia hana jipya tena

    Hayati Magufuli a.k.a mwendazake aliwahi kukiri kuwa hakutarajia kuwa Rais wa awamu ya tano. Wengi tunakumbuka yaliyotokea, mpambano wa Membe na Lowassa ndio uliomzaa Magufuli kama suluhu ya kambi mbili pinzani ndani ya CCM wakati huo. Mwendazake alipata heshima na makofi mengi ndani ya siku...
  6. K

    Kama Rais Samia anaifungua nchi ni nani aliifunga? CCM iombe Radhi

    Siku mia moja za Rais Samia ni pongezi kila kona bila kukoma lakini kuna baadhi ya hiana. CCM inafanya hiana kwa Watanzania na baadhi ya washauri wa Rais wasije kutufanyia hiana. Mama tunamuheshimu sana na kwa kweli kaanza vyema. Tunampongeza kwa hatua alizofanya kwa sasa na hatutonyamaza...
  7. M

    Tunaposhangilia tamu, tukubali na chungu za Rais Samia

    Rais Samia amezungumza juu ya hatima ya Katiba. Rais akaomba apewe muda 'asimamishe nchi' kwanza kabla ya kuingia kwenye masuala ya Katiba. Jibu la Rais Samia limewakera baadhi ya watu. Mijadala kwenye mitandao ya kijamii na vijiweni imekuwa mingi. Wanalalama kwanini hataki kuleta Katiba mpya...
  8. Lawama na laana ziende Ikulu na sio kwa Rais Samia

    Kauli ya Mkuu wa nchi ya kwamba kazi ya Uraisi ni ngumu inaturudisha enzi za mwendazake maana na yeye alikuwa akitamka mara kwa mara kauli hii. RAIS Samia ameweka wazi ya kuwa pamoja na ugumu anaokutana nao, yeye kama yeye anashukuru ya kuwa anapata msaada kutoka kwa idara na taasisi mbalimbali...
  9. M

    Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  10. F

    Samahani Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama Samia Wengi watatoa maoni yao kuhusu hotuba yako na wahariri wa vyombo vya habari lakini leo sitajiunga nao bali nitakupa zawadi ya kutimiza siku 100 kwa Post hii ya kukuomba msamaha. Sio kwa post zangu ambazo zimekuwa critical bali kwa "Kutokukupa Muda". Mheshimiwa Rais wote walio na...
  11. Waziri Kalemani: Siku 100 za rais Samia, Sekta ya nishati imepeleka neema kwa wananchi, Vijiji 400 vimepata Umeme

    SIKU 100 ZA RAIS SAMIA, UMEME VIJIJI 400 Na. Georgina Misama - MAELEZO Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema katika siku 100 za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Sekta ya nishati imepeleka neema kwa wananchi wa maeneno mbalimbali huku akitaja kuwa...
  12. Hivi anavyofanya Rais Samia ndio kuua upinzani

    Tokea Rais Samia aingie madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Naona kila anachofanya anapata sifa kutoka kwa watu wengi hasa wa upinzani. Kwa maono yangu hivi anavyofanya mama ndio kuua upinzani, sio kuwakamata na kuwatisha na kuwabambikia kesi na kuwafunga, mama akiendelea...
  13. Wabunge walifanyiwa Presentation wakasema safi. Rais Samia sasa kaingia line

    Kwanza niulize; Wapi wabunge walikokwenda wasiombe rushwa? Hata kwenye taasisi za serikali ni hivyo hivyo! Mbumbumbu hawa ndo iwe kigezo cha kuwekeza Bagamoyo? NO! Bandari ya Bagamoyo ilibuniwa kuanzia ikulu ya Kikwete. Hakukuwa na faida yoyote ya nchi ila familia yake na baadhi ya wanasiasa...
  14. Rais Samia siyo kila Kitu cha Hayati Rais Dkt. Magufuli ni cha Kuigaiga tu, tulia nawe tengeneza 'Leadership Style' yako tafadhali

    Yaani Mtangulizi wako Hayati Rais Dkt. Magufuli alianzisha tabia ya Kuvizia Wasanii wenye Majina makubwa nchini wakiwa 'on the Stage' wakitumbuiza na Kuwapigia Simu Kuwapongeza nawe Jana umeamua upite mule mule kwa Kumpigia Msanii wa Kike Nandy akiwa anatumbuiza Mkoani Dodoma na Kumpongeza pia...
  15. F

    Kwanini siku 100 za Rais Samia zitimie leo tarehe 27 badala ya 29/06/2021?

    Nimesikia katika vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa kuwa Rais Samia Suluhu ametimiza siku 100 madarakani leo 27/06/2021. Nachokumbuka huyu Rais Samia alikula kiapo cha kuwa Rais wa JMT tarehe 19/03/2021 na hivyo siku 100 ni keshokutwa 29/06/2021. Inakumbukwa Rais John Magufuli...
  16. Rais Samia, Katiba Mpya ndio suluhu ya matatizo ya Watanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan kwanza nakupongeza sana kwa hatua mbalimbali unazochukua baada ya kuondokewa na Magufuli Mhe. Rais kama lilivyo jina lako wewe ndio Suluhu ya suala la Katiba mpya. Haya yote unayohangaika nayo kuyaweka sawa ni kutokana na Mwendazake kuona mapungufu yaliyopo kwenye...
  17. Rais Samia: Corona ipo, chukueni tahadhari

    Nawasihi Watanzania wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Korona (Uviko-19) kama tunavyoelekezwa na wataalamu wetu wa afya. Tunawe mikono kwa maji tiririka na sabuni, tutumie vitakasa mikono, tuvae barakoa na tusigusanegusane. Ugonjwa wa Korona upo.
  18. Rais Samia Kiwanda cha Chibuku/ Darbrew LTD kilifungwa tangu mwaka 2018. Muwekezaji yupo lakini Watendaji wa Jiji la Ilala wanakwamisha

    DARBREW LTD ni kiwanda cha kutengeneza pombe aina ya chibuku,kilianzishwa tangu mwaka 1967 na kampuni binafsi LONRHO corporation. Serikali ilikitaifisha kiwanda hicho mwaka 1978 na kukiendesha kwa mafanikio.Kilianza kuwa na ubia mwaka 1997 ambapo serikali ilikuwa na hisa ya 40% na sekta binafsi...
  19. Ujumbe wa Sheikh Kipozeo kwa Rais Samia huu hapa

    Kimsingi ameahidi kumuunga mkono Mhe. Rais katika uongozi wake kama alivyomuunga Mkono Magufuli Chanzo : Mwananchi
  20. Rais Samia, tujifunze kwenye gesi. Je, manufaa ya gesi yapo wapi kwa Wananchi wa kawaida?

    Wazee. Mnakumbuka zile heka heka za gesi ya Mtwara? Kipindi hicho Kinyerezi kulikuwa busy si kawaida. Haya, Mama yetu tuambie hayo manufaa ya gesi kwa Wananchi wa kawaida ni upi? Wana Mtwara vipi wanafaidika na gesi? Tujifunze kwenye gesi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…