rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. DKT. Mollel: Rais Samia ametoa bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)

    "Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
  2. Rais Samia awahakikishia Umoja wa Ulaya kuwa na utawala wa kidemokrasia

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezungumza na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya(EU), Charles Michel ambapo amemsifu Rais Samia kwa hatua anazochukua kukabiliana na #COVID19. EU wamesema wako tayari kushirikiana na viwanda mbalimbali vinavyozalisha chanjo ya #COVID19 barani Afrika ikiwemo...
  3. Rais Samia atoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Wafanyabiashara kufuatia kuungua kwa soko la Kariakoo

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo kufuatia hasara kubwa waliyoipata kutokana na kuungua moto kwa soko hilo. Kufuatia hasara kubwa iliyotokana na moto huo, Rais Samia ameviagiza vyombo vya ulinzi na...
  4. R

    Siku 100 za Rais Samia Suluhu, Tundu Lissu Amsifia sana, ataka maboresho zaidi ya kimfumo

    Akiwa katik maahijiono ya maswala mbali mbali ya kisaisa, kijamii na uchumi nguli huyo wa sheria na siasa za afrika mashariki amejikita ktk maswala ya 1. Haki 2. Ukweli na usuluhishi 3. Mabadiliko ya katiba 4. Harakati za kisiasa 5. Mageuzi katika uchumi wa Tanzania 6. Maendeleo endelevu. Tundu...
  5. TANZIA Kaka wa Freeman Mbowe, Charles Mbowe afariki Dunia

    Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe. Pia soma > Mbowe awataka wananchi...
  6. Serikali ya Rais Samia ndiyo itakayoumiza sana Wanyonge. Hili tuendelee kukumbushana

    Ndani ya miezi yake michache ameendelea kunyonya watu wenye kipato cha chini na kufaidisha Matajiri. Kodi iliyooongezeka kwenye mafuta si rafiki kwa maskini. Ni kodi ya kinyonyaji,wizi na ulaghai mkubwa. Kodi kwenye miamala ni kodi hiyo hiyo endelevu ya kunyonya watanzania maskini. Bado kodi...
  7. Mambo matano yanayombeba Rais Samia Suluhu madarakani

    Wakati Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan ameshatimiza siku 100 akiwa madarakani, wachambuzi wa masuala ya diplomasia, siasa uchumi na wananchi wa kawaida wamesema ndani ya kipindi hicho yapo mengi ya kuigwa ambayo ameyafanya. Katika kipindi hicho ametajwa kufanya mambo mbalimbali ya...
  8. N

    Rais Samia hatuhitaji tena ziara zako za barabarani, hazina msaada wowote kwetu

    Kwanza kabisa napenda kukupa pole na majukumu ya kitaifa. Vile vile tunakuombea wewe na Serikali yetu katika utekelezaji mwema wa majukumu ya nchi ili kuinua uchumi. Mweshmiwa Rais katika muda mchache huu umeonuesha matumaini ya watanzania kupata maisha bora, Ajira na uchumi kuinuka tena...
  9. Kusema ukweli VPL ni kama iliisha tarehe 3 Julai 2021 mbele ya Rais Samia

    Timu zetu 4 kufanikiwa kwenda kushiriki mashindano ya CAF msimu ujao ni kama vile yamemaliza kiu ya kuwa bingwa kwa msimu huu. Mshindi wa kwanza na wapili wa VPL hawana tofauti kubwa maana tofauti kati ya zawadi ya mashindi wa kwanza na pili hairushi roho washindi wa pili, ni ndogo sana...
  10. Rais Samia: Siyo vibaya viongozi wa dini kuwa wanasiasa

    Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda sambamba. Amesema licha ya kuwa unaweza kutumikia dini na kuwa mwanasiasa, lakini vibaya unapotumia...
  11. Ushauri: Rais Samia na wapinzani, kubalini kuelewana kwenye hili la Katiba Mpya

    Facts - Ni wazi kuwa wapinzani (wa kweli), wanaharakati, CCM Zanzibar, CCM wapenda mabadiliko bara na watanzania wengi kwa ujumla wao wanataka mabadiliko ya katiba ili kuondoa changamoto nyingi za kisheria na kiutawala zilizopo sasa. - Ni wazi kuwa wazanzibari wengi (Mh. Rais akiwemo)...
  12. Rais Samia asifikiri kuwa mwanamke itavutia wawekezaji

    Nilimsikia Rais wetu Samia Suluhu akithamanisha uwepo wake kama Rais Mwanamke katika kuvutia vitega uchumi toka nje. Hiki ni kiinimacho tusije ruhusu uwekezaji usio na tija kwa maendeleo ya nchi. Lengo letu sio kua na wawekezaji wengi tu. Samia asije legeza kamba akaanza kutoka kwenye misingi...
  13. W

    Kinachowauma CHADEMA sio Katiba Mpya bali ni Mbowe na Lissu kutoalikwa Ikulu

    Ndugu zangu, Kwa wataalamu wa Saikolojia wanaelewa, Chadema walifurahia SSH kuwa Rais na haikupita wiki wakaandika barua kuomba kwenda Ikulu bila kusema dhumuni la kwenda Ikulu. Waliamini wao ni muhimu kuliko yeyote hapa nchini. Muda umepita sasa, hawajaalikwa, wamekasirika, wana hasira...
  14. Awamu ya 5 na woga wa Katiba Mpya

    Binafsi sitashangaa kuona Rais Samia hayuko tayari kuanzisha mchakato wa katiba mpya kutoka na jinsi Serikali ya awamu ya 5 pamoja na ilani yake ya 2015 Kuwa na ajenda ya katiba lakini haikutaka kabisa kuitekeleza kwa kuwa na visingizio kibao kutoka kwa Magufuli kama Rais na mama samia kama...
  15. Rais Samia kutoka nia ya kukutana na vyama vya upinzani hadi "Ngoja tuimarishe uchumi kwanza"

    Moja ya kauli za mwanzo kabisa za Rais Samia ambazo zilileta msisimko nchini ni kusudio lake la kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani. Msisimko ulitokana na ukweli kwamba Rais Magufuli hakuwa na mpango wa aina hiyo kabisa, badala yake mkakati wake ulikuwa kuviua kabisa vyama vya upinzani...
  16. M

    DC Abdallah Mwaipaya, nakushauri uende taratibu

    Hongera sana DC wa Mwanga Abdallah Musa Mwaipaya kwa Kuja na Moto Mkali huko Mwanga ila Krav Maga nakushauri ipunguze hiyo Spidi yako ya kutaka Sifa za haraka kwa Mama zitakuponza na utaharibikiwa mapema sana tu.
  17. Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

    Rais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu. Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara. Amewataka wananchi kutokubali na kutunza amani iliyopo. Amesema hayo akiwa Morogoro kwa...
  18. Rais Samia, angalia viwanda hivi vilivyofungwa hapa Morogoro

    RAIS Samia. Morogoro tunashida hizi; KIWANDA CHA MAZAVA KUFUNGWA Kiwanda hiki kilikuwa kinatengeneza nguo(jezi), kiliajiri zaidi ya watu elfu kumi(10000) Kwa sasa kimefungwa kwa kile kinachoelezwa kuwa kutokuelewana na serikali ya awamu ya tano katika suala la ulipaji kodi. Kimsingi hakuna...
  19. Yaliyojiri katika Ziara ya Rais Samia Mkoani Morogoro

    Wakuu salaam, Leo Julai, 7 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili katika maeneo ya Msamvu manispaa ya Morogoro, Dumila wilayani Kilosa na wilaya ya Gairo. Aidha Mkuu wa mkoa wa Morogoro...
  20. S

    Je, wajua kwamba Katiba hii mbovu inamruhusu Rais kuteua Watu wa familia yake kushika vyeo mbalimbali?

    Kwa katiba tuliyo nayo mhe Samia anaweza kuteua familia yake yote na kuipa vyeo tofauti tofauti. Anaweza kumpa mtu yeyote cheo cha aina yeyote muda wowote. Uwe unataka ama hutaki. Kwa mfano anaweza kuamua kumteua:- - Mumewe kuwa waziri wa fedha. - Mwanawe kuwa mhazini mkuu wa serikali -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…