rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima kumwakilisha Rais Samia kwenye Kongamano Nchini Urusi

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Kongamano la tatu la Kimataifa la Wanawake litakalofanyika nchini Urusi kwa siku tatu kuanzia Oktoba 13-15, 2021...
  2. Rais Samia Suluhu atoa Scan za CT kwenye kila mkoa Bara na Visiwani

    Habari njema ni kwamba mikoa yote Bara na Visiwani kupatiwa mashine moja mpya ya Scan CT || Rais Samia Suluhu Hassan anaongeza mashine mpya 29 toka mashine mbili zilizokuwepo tangu uhuru| === Tangu Tanganyika ipate uhuru na tangu iwe JMT imefanikiwa kupata mashine mbili ( 2 ) tu za Scan za CT...
  3. Serikali: Chaguo la pili na tatu kidato cha kwanza kuwa historia, wanafunzi kuanza masomo kwa pamoja

    Leo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameeleza kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu inakwenda kuandika historia kwa kufuta suala la wanafunzi wanaoingia kama changuo la pili na la tatu (Second and Third Selection) kutokana na upungufu wa madarasa...
  4. Je, Rais Samia huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma ya hii Timu ya DTB ya Championship hizi Pesa anazoweka huko siyo kwamba huwa anakuibia?

    Mama ni Waziri aliye na tabia ya kupenda Kukurupuka na Kuanzisha au Kuzinunua Timu, anawekeza huko na akishazitumia kwa Maslahi yake huja Kuzitelekeza mbele ya Safari kisha anabakia na Timu yake moja Kubwa ambayo hudiriki hata Kunyofoa Wachezaji wazuri huko na Kuwapeleka bure katika hiyo Klabu...
  5. Rais Samia bado anapotoshwa, hajapata washauri wenye weledi

    Rais bado ananua ndege cash wakati uchumi unapumlia mashine? Rais anakopa kujenga madarasa ambayo hayalipi Kodi Wala kulipia mikopo. Unakopa pesa ili kununua barakoa seriously pesa za kulipa huo mkopo zitatoka wapi? Unatakiwa kukopa kutengeneza project kubwa kama SGR na Bwawa la umeme Rufiji...
  6. Rais Samia, viatu vya Magufuli vimekufaa

    Rais Samia, wala usihofu, hatuoni wapi ambako viatu vya Hayati Magufuli vimekupwaya, unapodai eti havijakufaa hivyo viatu wakati tangu Mungu alipomtwaa Magufuli kila kitu kipo vile vile ndo kwanza unaboresha. Wakati Magufuli akiwa madarakani,Sukari kg moja ilikuwa Tsh3,000,na haijashuka hadi...
  7. Rais Samia Suluhu atunukiwa tuzo ya Utalii Barani Afrika

    Mama, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wewe ni alama ya uongozi kwa vitendo ndani ya Taifa letu, wengi sana watakubaliana nami katika hili akiwemo ndugu yangu Jumbe Brown . Umekuwa ni chachu ya fikra mbadala kwa sisi tulio katika nafasi za uongozi sehemu mbali mbali...
  8. Dodoma: Rais Samia awaapishwa viongozi wateule leo Oktoba 11, 2021

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwaapisha Viongozi Wateule watatu walioteuliwa Oktoba 08, 2021. Jaji Mustapha Siyani ameteuliwa kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Jaji Omar Othman Makungu ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Pia, Sophia Edward...
  9. Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

    Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa $1.5BL sasa imefikia $6.253BL toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu au kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi 7, === Namba hazijawahi kudanganya na...
  10. Rais Samia kama kweli uko makini na lugha ya Kiswashili basi anzia nyumbani - Tanzania ndio inaongoza kwa kuharibu lugha ya Kiswahili

    Mimi kama Mtanzania nipendaye lugha yangu ya Kiswahili nasikitika sana kuona lugha hii ikiharibika. Chakusikitisha zaidi ni kwamba hakuna kiongozi yeyote wa juu kuanzia Rais, waziri wa utamaduni n.k. anayefanya jitihada madhubuti ya kukienzi Kiswahili. Kwenye hotuba yake ya Mpango wa Maendeleo...
  11. Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanaelekea Ukerewe, washindwa kupata huduma ya kivuko

    Viongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu . Jambo hili la kishamba ni marudio ya ukakasi uliofanyika wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2020 , ambapo Mgombea aliyependwa kuliko wote Tundu Lissu alifanyiwa...
  12. Rais Samia awapigia simu wasanii kwenyekusanyiko la 'Ongea na Mama'

    Rais Samia amewapigia simu Wasanii wa Dance, Waigizaji na wengine kuzungumza nao live kupitia Mwigizaji @SteveNyerere2 usiku Dar es Salaam kwenye kusanyiko la ‘Ongea na Mama’ na kuwaahidi kujumuika nao siku moja kwa ajili ya chakula cha jioni.
  13. Video: Kumbe kabla Rais Samia kwenda kwenye UNGA - New York , waziri Liberata Mulamula alitangulia mwezi mmoja kabla. Why..?

    You may not like this. But it happened... Kumbe bwana, kabla ya Rais Samia Hassan kuhudhuria summit ya kikao cha UNGA, NewYork wiki kadhaa zilizopita, balozi Liberata Mulamula, waziri wa mambo ya kigeni alitangulia mwezi mmoja kabla.... Shida siyo Balozi Mulamula kuwahi kutangulia mwezi mmoja...
  14. Waziri Mkuu Majaliwa ana maana gani kusema Rais Samia atakuwa Rais hadi 2030?

    Kauli hii kutoka kwa Waziri Mkuu akiwa kwenye uzinduzi wa mpango wa maendeleo na kampeni ya UVIKO ni ya kufikirisha sana sana, ametangaza kuwa Rais Samia atakuwa Rais wa Tanzania mpaka 2030, binafsi na laani kauli hii na inafanya wapenda Democrasia na Maendeleo wawe na maswali mengi sana ya...
  15. Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

    Ujenzi wa bwawa la JN-HPP pamoja na Usambazaji wa umeme vijijini Rais Samia ameongeza bajeti kwa 230% kutoka TZS 1.01T FY2020|21 hadi TZS 2.34T FY2021|22, === Tufahamu lengo la Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ni ifikapo mwaka 2026 Tanzania iwe na umeme wa Uhakika unaofikia...
  16. TEUZI: Rais Samia amteua Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi, Sophia Mjema kuwa RC Shinyanga

    Wadau maoni yenu please Jaji za Zenji anafit kuja Tz? Maana zamani hata wakuu wa mikoa znz walikuwa wanateuliwa na Rais wa JMT baada ya mabadiliko ya katiba ta SMZ madaraka ya uteuzi wakawa chini ya Rais wa ZNZ na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, sasa kumtoa Jaji aliteuliwa na Rais wa SMZ sio...
  17. M

    Asante Rais Samia kwa kumteua Sofia Mjema kuwa RC mpya wa Shinyanga

    Ni Dada ( Mama ) ambaye kuanzia ndani ya Chama Tawala (CCM) alikuwa amepikwa vyema ila alipokuwa DC wa Ilala kila alipotakiwa Kupandishwa kuwa Mkiu wa Mkoa kuna Mtu Mmoja (sasa amenyamaza sana) japo huko nyuma alikuwa ndiyo kila Kitu Tanzania alikuwa akimfitinisha kwa Baba yake wa Hiari na...
  18. U

    Mariam Ditopile: Tegeni sikio Jumapili Rais Samia ana jambo zito sana

    TEGENI SIKIO JUMAPILI RAIS SAMIA ANA JAMBO ZITO SANA-MBUNGE DITOPILE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile leo amejumuika na wanaCCM wenzake katika Kata ya Bulungwa kumuombea kura Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga, Emmanuel Cherehani huku akiwataka...
  19. Rais Samia Hassan anamwambia nani kazi iendelee na ni kazi gani hiyo?

    Mara tu baada ya kushika kiti cha Urais kwa kula kiapo, Mhe. Rais Samia Hassan Suluhu alisema 'kazi iendelee'. Na kufanya msemo huo kuwa mwitikio wa salamu ili msemo huo udumu na kusikiksa mara kwa mara. Sasa kuna maswali yafuatayo: Kwa kuzingatia lugha ni kwamba kazi hiyo si zaidi ya moja...
  20. M

    Bashe: Rais Samia ametoa Sh700 milioni ujenzi skimu ya Usense mkoani Katavi yenye urefu wa 7.5km

    Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Samia ametoa Sh700 milioni kwa ajili ya ujenzi wa skimu ya Usense na kuboresha uzalishaji wa zao la mpunga linalolimwa katika skimu hiyo iliyopo Kata ya Uruwira Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi. Naibu Waziri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…