rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hotuba ya Rais Samia huenda kuna watu wanatumbuliwa hivi karibuni; vita ya uchaguzi ni kubwa kuliko tunavyodhani

    Vita ya uchaguzi ni kubwa sana ndani na nje ya CCM . Upo uwezekano wenye nguvu na wanaotaka madaraka wanatumia mbinu nyingi kupata uungwaji mkono. Hasira ya Mhe. Rais siyo ndogo na si yakipuuzwa. Kuna wanadamu wamesambaza sumu au baadhi mchana wapo CCM usiku wanafadhili mipango ya uchaguzi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia inaashiria kuwa CHADEMA hawako salama ndani ya chama hicho wapo vijana wake wa "Kitengo"

    Akihutubia kwenye maazimisho ya miaka 20 ya jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro Septamba 17, 2024 rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa uovu wote uliopangwa kwenye mkutano wa chama kimoja cha upinzani (CHADEMA) anazo taarifa zote Rais amesema kuwa interenjesia ya vijana wake ina uwezo mkubwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Je, wananchi wanaimani kubwa na vyombo vya dola kama alivyo onyesha Rais?

    Rais ameonyesha imani kubwa kwa vyombo vya dola. Ameonyesha wanafanya kazi nzuri na kuwapa motisha wakujielimisha zaidi. Je, wananchi wanaimani na vyombo vya dola kama ilivyo kwake Rais? Soma Pia: Rais Samia aahidi kulipa ushirikiano Jeshi la polisi kutimiza majukumu yake
  4. JamiiForums Tanzania Tathmini hotuba ya Rais Samia miaka 60 ya Jeshi la Polisi: Uzuri, ubaya, utata na mapendekezo mahsusi

    https://youtu.be/BKZ7ifz7408 1. Utangulizi Akiwa katika Chuo cha Polisi Tanzania kilichooko mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro, mnamo tarehe 17 Septemba 2024, Samia Suluhu Hassan, alivaa kofia zake zote kama Rais, Amiri Jeshi Mkuu, na Mkuu wa Nchi katika Jamhuri ya Muungano wa Kidemokrasia ya...
  5. JamiiForums Tanzania Rais anazunguka mbuyu, badala ya kushughulikia kiini Cha tatizo

    Rais kanikatisha tamaa Sana. Kwenye hotuba yake ya leo hajatoa suluhisho la kudumu kuhusu utekaji. Yeye kajikita kwenye kuwatisha mabalozi na chama Cha CHADEMA kwamba anawafuatilia kila kikao wanachofanya . Kwa kifupi Rais hajashughulika na kiini Cha tatizo Bali amejikita kwenye matokeo. Yani...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Inashangaza kifo cha Kibao kimeibua wimbi kubwa, hii sio sawa, kifo ni kifo

    "Siku kadhaa zilizopita ndugu zangu nchi yetu imepata msiba wa kuuawa kwa mmoja wa kiongozi wa CHADEMA, kifo kilichosisimua miili na akili za Watanzania na kuibua hisia kali hasa kwa wawakilishi wa baadhi ya mataifa ya nje wanaowakilisha nchi zao hapa kwetu. Nataka niungane nao na niseme kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili

    Kauli yako kuwa Balozi za Kigeni ambazo zilikemea na kutaka Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao (ukiilenga hasa Marekani) kuwa zilifanya hivyo bila ya Baraka za Marais wao umeikosea mno Kuisema. Na ukaenda mbali zaidi kusema kuwa kama kungekuwa na baya basi hao Marais wenye Uwakilishi wao kupitia...
  8. JamiiForums Tanzania Lema: Nimeisikiliza hotuba ya Rais mara tano, Nitarudi na majibu baada ya tamko la Chama

    Tuko kwenye vikao vya Kamati Kuu vya Chama Dar es salaan. Nimesikiliza hotuba ya Mheshimiwa Rais mara tano. Nashukuru Mungu nilirudi nyumbani nikawakuta wazazi wangu wakiwa hai na walifurahi sana. Nitajibu baadhi ya maeneo baada ya tamko la CHAMA. Soma Pia: Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia aahidi kulipa ushirikiano Jeshi la polisi kutimiza majukumu yake

    MOSHI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameonesha kuridhishwa na kazi wanayoifanya askari wa polisi wa Tanzania katika kulinda amani na utulivu wa nchi huku akiahidi kuendelea kutoa ushirikiano ili kuhakikisha wanatimiza majukumu yao kwa ufanisi zaidi. Kupitia hotuba...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wamesahau Misukosuko Waliyoipata Hapo Nyuma Mpaka wakaikimbia Nchi na Mimi Kuwarejesha kwa 4R Zangu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Samia Suluhu Hasssan,ameongea kwa uchungu sana,kwa maumivu makali sana na kwa hisia kali sana zilizogusa mioyo ya watu wengi sana. Pale alipoelezea juhudi zake kubwa za kuliunganisha Taifa na kuwaleta pamoja watanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Hii kauli ya "Kifo ni Kifo tu" kutoka kwa Rais Samia imekaaje?

    Kwamba kufa ni sawa hata kama ni premature death! Kwamba wale wanaokufa mahospitalini kwa sababu ya uzembe wa serikali kupeleka vifaa na wataalamu waliobobea navyo ni vifo tu! Kwamba vifo vitokanavyo na ajali za barabarani ambavyo vingi ni kutokana na uzembe wa polisi wa usalama barabarani...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hivi karibuni amejibu kuhusu matamko yaliyotolewa na balozi mbalimbali hapa nchini Tanzania kufuatia kifo cha Kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Mara baada ya Ali Kibao kupatikana akiwa amefariki huko Ununio, Dar Es Salaam balozi za nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na Watanzania katika kulaani mauaji ya aliyekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ali Kibao yaliyosababisha mshtuko na hisia kali nchini. Akizungumza Septemba 17, 2024, kwenye maadhimisho ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Rais Samia 'kutowawajibisha' Waziri Masauni na IGP Wambura ni dharau tosha kwa Watanzania

    Nina uhakika haya Matukio yangetokea katika nchi zenye Viongozi wanaojitambua hivi sasa Watu wenye Vyeo kama vya Waziri Masauni na IGP Wambura zamani sana wangekuwa wameshawawajibishwa kwa Kutumbuliwa na kuletwa Watu wapya wenye kujua Majukumu yao ila kamwe si kwa Tanzania.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Gwaride la Watoto lamkosha Rais Samia mpaka kuinuka kwenye kiti na kusimama kwa tabasamu na furaha ya hali ya juu

    Ndugu zangu Watanzania, Tanzania na watanzania tuna kila sababu ya kujivunia utanzania wetu na utaifa wetu,tuna kila sababu ya kujiona fahari ya kuzaliwa Tanzania,tuna kila sababu ya kuona Taifa letu litaendelea kuwa salama na kisiwa cha Amani na kupigiwa mfano Barani Afrika na Duniani Kwote...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia amefunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, Viwanja vya Jeshi la Polisi CCP Mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 17 Septemba, 2024...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili na kupokelewa mkoani Kilimanjaro

    RAIS DKT. SAMIA AWASILI NA KUPOKELEWA MKOANI KILIMANJARO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 16 Septemba, 2024. Rais Samia anatazamiwa kuwa mgeni rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu...
  18. JamiiForums Tanzania Uteuzi Septemba 16, 2024: Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi akiwemo Katibu wa Bunge

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo: (i) Bi. Nenelwa Mwihambi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atua mkoani Kilimanjaro tayari kuzungumza na Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ametua Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo pamoja na Arusha kwa ajili ya shughuli nzito ya hapo kesho . Ambapo Rais wetu mpendwa anatarajiwa kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Prof. Manji wa MUHAS ashinda tuzo ya mhitimu bora wa Harvard University. Rais Samia Ampongeza

    My Take: Ukoo wa kina Manji sio vilaza na Kwa mara nyingine Wahindi wanaonesha jinsi gani ni vipanga kwenye sekta ya Afya na Hesabu. Hongera Prof Karim Manji Kwa kuitangaza Tanzania na Muhimbili University ================ Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempongeza Profesa Karim Manji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…