rais samia suluhu

Samia Suluhu Hassan
Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

More on WikiPedia
  1. N

    Makosa ya Rais Samia kwenye Baraza la Mawaziri

    Naanza kwa kutanguliza interest zangu kuwa naipenda Tanzania na Samia nakutakia umalize Urais wako salama 2030 utuachie nchi ikiwa salama. 1 . Baraza lako la mawaziri kuna watu umewaacha ambao walikuwa watendaji wazuri sana , hii nchi yetu inahitaji viongozi wakali na katili tu . Mfano wizara...
  2. M

    Boxing day iende kwa Rais Samia Suluhu

    Boxing day leo siku ya zawadi sisi wakristo wakatoliki wa huku Kilimanjaro tuna idedicate kwa gamer changer,kipenzi cha waTanzania,mpenda haki na mbeba maono kwa waTanzania Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupambania sisi waTanzania hadi tone la mwisho ili kuifanya Tanzania kuwa big country in the...
  3. H

    PostGE2025 Sultan Haitham bin Tariq Al Said wa Oman Apokea Ujumbe wa Rais Samia Suluhu uliowasilishwa na Balozi Kombo

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Sultan Haitham bin Tariq Al Said wa Oman.
  4. Damaso

    Serikali ya Tanzania imekuwa kama familia ya Mfalme Christian IX wa Denmark na Malkia Louise wa Hesse-Kassel

    Katika karne ya 19 na mwanzo wa karne ya 20, Ulaya ulikuwa ukielezwa mara kwa mara na wanahistoria kama “familia moja kubwa ya kifalme.” Kwa kweli, majumba ya kifalme ya Uingereza, Urusi, Ujerumani, Norway na Ugiriki yaliunganishwa si kwa siasa tu bali kwa damu ya familia. Ukitazama hiyo picha...
  5. figganigga

    Kumbe na Samia Suluhu akifiwa inamuuma, au anajifanyisha kuumia?

    Nimeshangaa eti Samia naye anaonesha kuumia na kusikitisha kuona Jenista Mhagama kafa. Hivi analia kweli au anajifanyisha? Hahahaaa... 🤣🤣 Dunia🌎 simama nishuke. Msanii wa Royal tour analeta maigizo kwenye misiba ya watu
  6. Kitimoto

    Serikali ya Tanzania Ya Rais Samia Suluhu Haitaki Tarehe 09.12.2025 Watanzania Kusherekea Siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa Tanganyika, ambayo ilitokea tarehe 09 Desemba 1961. Hii ni siku muhimu ambayo inawakumbusha...
  7. funaku

    Itachukua miongo mingi sana kuipata tena hotuba hii iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan

    Hakika Uongozi huwekwa na Mungu. Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na wazee wa Dar Es Salaam. Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole, Ukweli na dhamira njema. Hotuba hii imeonesha kuwa Rais yupo well informed. Hotuba hii imetambulisha adui ni nani...
  8. Sifi Leo

    Kuuliza SI ujinga, mwanahenzi Suluhu Hassa ni mdogo wa Rais Samia Suluhu Hassani?au Samia aliolewa kutoka Kwa Mzee Awadhi?

    Kuuliza sio ujinga, Huyu Mwanahenzi saluhu Hassani aliyeteuliwa nafasi ya ubunge vijana, kutoka zanzibari kuingia Bara ni mdogo wa Rais wetu mpendwa? Au ni miongoni mwa watoto WA Rais ila alimzaa kwa mume mwingine aitwae Suluhu hassani? Kuuliza SI ujinga naomba kuelemishwa
  9. H

    PostGE2025 Je, nini sababu hasa iliyomfanya Rais Samia Suluhu Hassan kuwaweka kando baadhi ya mawaziri waliokuwa kwenye baraza la awamu iliyopita?

    Watu mbalimbali wamekuwa wakijiuliza, ni kwa nini baadhi ya mawaziri maarufu na waliotarajiwa wamewekwa pembeni katika uteuzi wa Baraza jipya la Mawaziri? Je, ni kushindwa kutimiza majukumu yao? Ni mabadiliko ya kimkakati? Au ni nafasi ya kuwapa wengine fursa? Mawaziri walioachwa kando awamu...
  10. Davidmmarista

    Rais Samia ana sifa zipi za kuitwa nahodha wa jahazi hili? Tunatembea kwa taabu mno kwa spidi ya 25-30km/hr

    Kuna mti mkubwa wenye kivuli, lakini mizizi yake inanyonya maji yote ya shamba. Nyuki wanapiga kelele juu ya tunda moja tu, ila mashamba mengine yanakauka. Wazee wa baraza wanapiga mihuri bila kuangalia macho ya watoto wanaocheza uwanjani. Na sisi vijana tumebaki kama watazamaji wa...
  11. Getrude Mollel

    Mtazamo wa Jamii za kiafrika unavyoathiri uongozi wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu

    Tanzania imeweka historia kwa kuwa na Rais wa kwanza mwanamke, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Lakini pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata katika kipindi kifupi cha uongozi wake, bado anakabiliana na changamoto kubwa moja: mtazamo wa kijamii wa Kiafrika kuhusu nafasi ya mwanamke katika...
  12. Getrude Mollel

    GE2025 Hizi ndio sababu kwanini watu wa Morogoro haina sababu za kumnyima kura Samia Suluhu

    Muda mfupi baada ya Rais Samia Suluhu kuingia madarakani 2021, alifanya ziara ndogo mkoani Morogoro, na akaongea na watu pale Msamvu tarehe 7-04-2021. Pale Rais Samia Suluhu aliwatoa watu wa Morogoro hofu na kuwaambia ya kwamba, mambo mengi mazuri yanakuja kwenye mkoa huo, ajira, mikopo...
  13. Ojuolegbha

    Rais Samia Suluhu ni mkarimu kwa wawekezaji

    RAIS SAMIA SULUHU NI MKARIMU KWA WAWEKEZAJI Katika zama hizi za ushindani wa kiuchumi, uongozi wa Rais Samia umejidhihirisha kuwa daraja la matumaini kwa wawekezaji kutoka pande zote za dunia. Kupitia diplomasia ya uchumi, Tanzania imefungua milango kwa uwekezaji wa haki, usawa, na faida kwa...
  14. The Palm Beach

    Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

    https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7 #Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
  15. Dr. Mariposa

    Wanawake wanaweza, ahsante Rais Samia Suluhu umetuheshimisha sana

    Kwa miongo mingi sana mwanamke kote duniani alionekana ni kiumbe dhaifu, dhalili, kisichojiweza wala kujielewa, ndio maana wakakinyima elimu, uhuru na hata utashi hii yote sio kama mwanamke alikua hivyo walivyomchukulia, waliona mbali, wakamuogopa, ukweli ni kwamba mwanamke ni Jasiri, Shupavu...
  16. JanguKamaJangu

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua, Shaaban Kisu kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua, Shaaban Kisu kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu. Taarifa imetolewa leo Mei 7,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi,Moses Kusiluka katika hafla ya waandishi wa habari wateule kwenye Tuzo za Samia Kalamu Awards,zilizokabidhiwa Mei 5,2025. Chanzo: Nipashe
  17. The Palm Beach

    Padre Mchunguzi amkosoa Rais Samia kwa kauli yake kuwataka viongozi wa dini kutodandia ajenda za kiasi

    Hakika yajayo yanafurahisha. Kumeanza kupambazuka na giza linaanza kutoweka taratibu.... Sikiliza namna Padre Mchunguzi anavyomkosoa Rais Samua katika namna ya kumuona mtu asiye na ufahamu na uelewa kabisa. Na possibly ndivyo ilivyo... Anasema; "...Juzi hapa nilimsikia Rais akisema, ooh...
  18. KING MIDAS

    Eti Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kweli kuwa nyuma ya uovu anaotendewa Tundu Lissu?

    Sitaki kuamini kwamba MamaSamia2025 yuko nyuma ya mpango wa hiki kinachoendelea. Ninafahamu kwamba MamaSamia2025 ni MTU mwenye dhamira safi licha ya kwamba watu walipotekwa alisema ni vijidrama na Mzee Kibao alipouawa na watu wanaodaiwa ni Polisi, akawapa Polisi haohao KAZI ya kujichunguza na...
  19. peno hasegawa

    Agenda ya Rais Donald Trump: Marekani Kwanza, Agenda ya Rais Samia Suluhu Hassan Haijulikani – Je, Tanzania Inaelekea Wapi?

    Katika siasa za kisasa, viongozi wengi wanatumia ajenda zao kuimarisha nchi zao na kujenga mwelekeo wa baadaye. Rais Donald Trump wa Marekani alipochaguliwa mwaka 2024, alileta ajenda yake maarufu ya "Marekani Kwanza." Ajenda hii ililenga kuboresha uchumi wa Marekani, kuleta ajira, na kulinda...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Dodoma: Wanavyuo waazimia kumuunga mkono Rais Samia Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Wanavyuo kutoka mkoa wa Dodoma wameazimia kwa kauli moja kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Azimio hilo limetangazwa katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, ukiongozwa...
Back
Top Bottom