raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je walio kwenye Viti vya Mamlaka wana furaha? Na je wanakuwa na wivu au husuda kwa sisi raia wa kawaida?

    Hili swali nimewahi jiuliza sana .sasa leo nimeona nipate ku share na wadau humu. Kilichonisukuma mpaka kujiuliza hili swali ni nyakati za hafla za kijamii au za kimichezo zinapowakutanisha viongozi na wananchi wa kawaida. Ipo hivi mimi huwa ni good observer na ku pay attention kila jambo...
  2. JamiiForums Tanzania Enoki ameuwawa video yake imetrend Sasa raia wanaanza kuiga mfumo unavyoteka watu.

    Kuna video imetrend kijana anapigwa magongo na watekaji wake porini huyo kijana anaitwa enok Sasa amefariki taratibu raia wanaanza kukopi na kupest mfumo wa wasiojulikana. Mungu ampumzishe enoki sio Kwa magongo yake aisee.
  3. JamiiForums Tanzania Marekani Raia waandamana kumtaka Trump aondoke madarakani.

    Tayri wananchi wa US wameanza kushinikiza kuondoka kwa donald trump kwa kuanzisha maandamano.
  4. JamiiForums Tanzania Raia walionywa waondoke Tehran, sasa Israel imeanza mapigo rasmi, msije kulaumu, mlipewa muda wa kuondoka

    Kuna maeneo maalum ambapo raia waliagizwa waondoke, hivyo yeyote aliyebaki hapo anachukuliwa kama mwanajeshi, Israel imeanza kupiga.... Israeli Air Force fighter jets seen attacking Iranian nuclear targets, June 15, 2025(photo credit: IDF SPOKESPERSON'S UNIT) An evacuation has been issued to...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran inashambulia raia badala ya kupigana na jeshi??

    Wajuvi wa mambo naomba msaada wa kisheria .
  6. JamiiForums Tanzania Israel inalalamika kuwa Iran anashambulia raia Je kule Gaza Israel alikua anashambulia Nini?

    Hii Dunia ina unafiki mwingi sana. Leo Israel analalamika Iran anashambulia wanawake na watoto wakati yenyewe hapo jirani Gaza imewaua maelfu ya wanawake na watoto wasiyo na hatia. Nasema hivi Iran usipangiwe na mtu sehemu ya kupiga. Popote unapoona panafaa we tandika tu. Dawa ya mtoto mjeuri ni...
  7. JamiiForums Tanzania Tehran, Iran kutiwa kiberiti kama wakiendelea kushambulia maeneo ya raia wa Israel

    Iran wanalenga maeneo ya raia maana makambi ya kijeshi yameshindikana, mpaka sasa hivi wamefaulu kuua raia wanne wa Israel. Israel imetoa tahadhari wakiendelea hivi basi na yenyewe itaamua kutia kiberiti mji wote, ifahamike Israel wana uwezo wa ile bomu ya MoB yaani mother of all bombs, na...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yaagiza raia wake kukimbia Mashariki ya kati, Israel kuitandika Iran kabla ya Jumapili, maandalizi tayari

    Wadau hamjamboni nyote? Ni suala muda Trump baadaye alithibitisha kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Marekani wanahamishwa kutoka Mashariki ya Kati "kwa sababu inaweza kuwa mahali hatari." "Tutaona kitakachotokea... Tumetoa notisi... Iran haiwezi kuwa na silaha ya nyuklia," aliwaambia waandishi...
  9. JamiiForums Tanzania Maaskofu na Masheikh ni raia pia, tiini mamlaka bila shuruti

    Dini sio mhimili miongoni mwa mihimili kwenye taifa. Kazi kubwa kupita zote za dini ni kukusanya sadaka na kazi nyingine zitafuatia tu. Hakuna tukio Wala kusanyiko la dini lisilokuwa na utoaji sadaka. Ili dini ziwe imara lazima usalama, utulivu na hali ya uchumi wa waumini viwe imara pia, la...
  10. JamiiForums Tanzania Utekaji na kupotea kwa raia umeyavua nguo majeshi ya Tanzania.

    Hivi hii nchi ina Mkuu wa Polisi kweli? Mkuu wa Majeshi ya ulinzi je, yupo? Mkuu wa Usalama wa Taifa? Au hawajaapishwa kuanza majukumu bado? Inawezekanaje watu wanapotea, kuteswa na kuuwawa na ninyi mpo? Au silaha zenu ni duni kuliko hao watekaji? Au na ninyi mnahusika kwenye huu utekaji wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Msemaji wa Serikali kuweka sawa kauli ya Rais Samia kuhusu kuheshimu imani ya kila mtu nchini

    Kufuatia Kauli ya Rais wa JMT, kuwaambia baadhi ya waumini wa Kikristo kuwa Utumishi wao ni wa KISHETANI- je Presidential Department ime compromise intergrity na Misingi ya Taasisi hiyo kuwa inaheshimu Imani zote? Kutumia CHEO na Platform za kidini kujustify UOVU .... sidhan kama ni mila na...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Chad yasitisha Visa kwa Raia wa Marekani baada ya Trump kufutia nchi 12 Visa

    Chad, imetangaza kusitisha utoaji wa visa kwa raia wa Marekani kama hatua ya kulipiza kisasi, baada ya kugundua kuwa imewekwa kwenye orodha ya mataifa 12 ambayo raia wake wamepigwa marufuku kusafiri kwenda Marekani. "Chad haina ndege za kutoa wala mabilioni ya dola ya kugawa, lakini Chad ina...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Trump apiga marufuku raia wa nchi 12 kuingia Marekani

    Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kupiga marufuku raia wa nchi 12 kuingia Marekani. Nchi zilizopigwa marufuku kwa raia wao kuingia Marekani ni Afghanistan, Myanmar, Chad, Republic of the Congo, Equatorial Guinea, Eritrea, Haiti, Iran, Libya, Somalia, Sudan, na Yemen ========== Trump...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi hii ni propaganda ya kitoto, Tanzania haijaanzisha jeshi la siri la kuua raia

    MARIA SARUNGI: HII NI PROPAGANDA YA KITOTO, TANZANIA HAIJAANZISHA JESHI LA SIRI LA KUUA RAIA Na Nulphin Charles Heche Kupitia kampeni mpya ya upotoshaji iliyoanza Jumatano hii, Maria Sarungi na kikundi chake kilichopo Nairobi wameibuka tena na madai ya kipuuzi yanayodai kwamba Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Dunstan Kitandula: Raia wa nchi 71 kuingia Tanzania bila Visa

    Serikali imeingia makubaliano na nchi mbalimbali ili kurahisisha utaratibu wa viza ambapo raia wa Nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia nchini. Kwa sasa watalii kutoka mataifa mengi zaidi duniani wanaruhusiwa kupata visa wanapowasili (visa on arrival) kwenye viwanja vya ndege vya kimataifa kama...
  16. JamiiForums Tanzania Mashekhe waliwekwa kizuini na kuhukumiwa kunyongwa misikiti haikufutiwa usajili ,Kakobe alihisiwa sio raia lakini kanisa lake halikufutiwa usajili ,

    Hii inamaana kwamba makanisa 2000 nchi nzima na wachungaji na maaskofu wote wa kanisa la ufufuo na uzima kuanzia dar mpaka huko ujiji na maeneo ya katonto huko sumbawanga wote wanaadhibiwa Kwa kosa la mtu mmoja !! Kanisa linafutwa !! Amekosea tundu lissu amekamatwa lissu na taasisi inaendelea na...
  17. JamiiForums Tanzania Mahubiri ya Gwajima yamuibua Zitto Kabwe akichukizwa na mauaji ya watoto na raia wasio na hatia huko Gaza!

  18. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni. Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii. Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
  19. JamiiForums Tanzania Wamefunga mtandao X ila na wenyewe baada ya kufunga wanatumia VPN. Habari wanataka kumpa raia gani wakati hamtaki wageni kusoma mambo ya nchi

    Hapa ndio ukomo wa akili wa hawa chawa mama ccm. Unajionesha wewe ni imara sijui uteteleshwi ila mda si mfupi unaenda kuwa lilia mikopo ya vyoo vya mashule. Kufunga mtandao X na bado unatumia kutoa habari zenu za vyama vya ccm na serikali mnataka wasome nani.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Serikali ipitishe tu lazima kila raia mwenye NIDA awe na bima ya NHIF

    Habari, Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo. Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…