Hii imenitokea juzi kati kuna jamaa yangu, mmoja alikuwa demu wake mkali ,alisha wahi kunitambulisha kwa huyo demu wake ,sasa mazoea yakaanza mimi na huyo shemela ,tukawa tunaitana shem shem +kutaniana sana sasa siku moja nika jaribu kumshushia swagga akawa amejaa kwenye mfumo, kumpeleka ghetto...