rafiki yake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mdau: Baada ya baba kupotea, rafiki yake ametuma watu wenye silaha kuvamia nyumba yetu akitaka tuhame

    Andiko la Mdau wa kutoka Goba kuhusu watu wanaotaka kupora nyumba yao baada ya baba yao kupotea: Usiku wa kuamkia leo Alhamisi Julai 6, 2023 kuna watu wamevamia katika nyumba yetu iliyopo Goba, Mtaa wa Kiburuni, Dar es Salaam na kuanza kuvunja sehemu ya nyumba, ikiwemo madirisha na milango...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jinsi Profesa Lipumba alivyowatosa CUF na UKAWA kumnusuru rafiki yake Ramadhani Dau asifungwe jela na Hayati Magufuli

    Namalizia kisa cha mwisho cha visa na mikasa vya Hayati JPM. Vikao vya CCM baada ya kumpitisha JPM kuna wana CCM waliofurahi ila wanaomjua vizuri walijua kumekucha, walijua magereza yatajaa watendaji wakiboronga na mafisadi. Mmoja kati ya watu waliokosa usingizi ni mtoto wa mjini ila msomi...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ameleta dharau na maringo nimwembia naenda kumtongoza rafiki yake, amenywea na kawa mpole

    Niligombana na huyu mwanamke na akawa amechukia mimi nikawa nabembeleza turudiane akawa analeta dharau. Sasa leo akaleta hasira kuwa kila mara unamsifia rafiki yangu kuwa ametulia basi nenda kamchukue. Nikamwambia naenda. Ghafla nimkarushia namba ya rafiki yake. Sasa hivi anaongea na kwikwi...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Video: Dogo wa miaka 15 ampeleka rafiki yake kwa mganga ili amtoe kafara ya utajiri

    Tena kafara yenyewe sio kama hizi zenu za kiswahili ya kwenda kwa mganga akwambie umtoe ndugu yako kafara ukikubali ndugu yako anaumwa tumbo anakufa la hasha ila ni kafara kama ile ya kumtoa kondoo wa sadaka yani mtolewa kafara anachinjwa damu yake ina mwagwa kwenye madhabahu ya mganga husika...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Augustine Mrema ni shujaa wa taifa asiyependa ufisadi kama ilivyokuwa kwa rafiki yake hayati Magufuli

    Ufisida ni janga la taifa letu na ni viongozi wachache ambao hujitoa kupinga ufisadi kwa moyo wa dhati. Lyatonga Mrema alipinga ufisadi kwa maisha yake yote akiwa mtumishi wa umma mpaka sasa akiwa mzee. Nakumbuka kupewa stori na wazee wa Wanaomfahamu Mrema kupambana na walanguzi na maadui wa...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hasira ya kumfumania mume wake na rafiki yake wa karibu mke aamua kuchoma pesa

  7. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

    Ni jamaa zangu wawili wameingia katika SINTOFAHAMU kubwa sana kwasababu ya mwanamke, Nmewaza hapa mpaka kichwa kinaniuma sahivi. KWA KUANZIA, Ni kwamba mimi pamoja na hao jamaa zangu wawili sote Ni wafanyabiasha wa bidhaa Aina Moja. Ofisi zetu ziko jirani pia (mji ule ule), Mara kwa mara...
Back
Top Bottom