radhi

Ahmed Radhi Humaiesh Al-Salehi, (Arabic: أحمد راضي هميش الصالحي‎, 21 April 1964 – 21 June 2020) was an Iraqi footballer who played as a forward.
Regarded as one of Iraq and Asia's best players of all-time, Radhi scored the only Iraqi goal in the FIFA World Cup during its 1986 edition, a low shot to the corner of the net against Belgium in the 2–1 defeat. He was voted the 1988 Asian Footballer of the Year.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA wamekataa nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum na ruzuku basi watuombe radhi sisi Wapiga kura wao

    Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!! Haki gani wanayoidai hawa Chadema? Mbona...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Super Loaf chamuomba radhi mteja aliyekuta uwazi kwenye mkate. Chaahidi kumlipa fidia

    Kiwanda cha kutengeneza mikate nchini Kenya cha Super Loaf kimemuomba radhi mteja wake Kelly Inyani aliyelalamika kukuta uwazi katikati ya mkate alionunua, jambo alilolitafsiri kama kupunjwa mkate ikilinganishwa na thamani ya fedha alizolipa. Kiwanda hicho kimeahidi kumlipa fidia , japo...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, tumia ziara yako nchini Kenya kuomba radhi kwa kuchomwa vifaranga na awamu iliyopita nchini mwako

    Uugwana ni vitendo, kitendo cha Serikali ya Magufuli kuchoma moto vifaranga kutoka Kenya lilikuwa jambo la kinyama lililobeba aibu ya kuifedhehesha serikali ya Tanzania kwa fedheha ya kutia aibu ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi. Sitaki kurudia kusimulia unyama ule...
Back
Top Bottom