queen sendiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    Queen Sendiga: Sijamshikilia huyu dogo Vitus Nkuna

    "Kuna taarifa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa kuna kijana Vitus Nkuna nimemwita ofisini kwangu leo, kutwa nzima nimekuwa nje ya ofisi kwa kikao cha tathimini ya lishe katika ukumbi wa siasa ni kilimo simjui kijana huyo ni taarifa za upotoshaji"- RC Iringa, Sendiga. Zaidi, soma: -...
  2. Erythrocyte

    Queen Sendiga akabidhiwa ilani ya CCM

    Ukikubali cheo cha bure lazima ukubali na masharti ya mtoa cheo , Mtaka cha uvunguni sharti ainame Ifahamike kwamba hapa duniani hakuna kitu cha bure , nipe nikupe , haiwezekani Magonjwa Mtambuka aliyepigania ccm kufa na kupona atelekezwe halafu upewe wewe ukuu wa mkoa bila masharti yoyote ...
  3. MovingForward

    Iringa mlimpiga makofi Queen Sendiga, sasa ndiyo mkuu wenu wa Mkoa

    Maisha ni darasa, Ahsante mama Samia Suluhu Hassan kwa funzo hili kwa Watanzania.
  4. Nangose 1

    Wasifu wa Queen Sendiga - Mkuu wa Mkoa wa Iringa

    Queen katika siasa alikuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM mpaka mwaka 2014 alipoamua kuhama na kujiunga na chama cha Alliance for Democratic Change (ADC). Mwaka 2015 kwenye uchaguzi mkuu Tanzania aliwania nafasi ya ubunge jimbo la Kawe kupitika chama cha ADC ila hakufanikiwa kushinda...
  5. M

    Kwanini Rais ameteua Mkuu wa Mkoa kutoka chama kidogo na kuacha vikubwa?

    Ni jambo la kushangaza. Oooh tutateua kutoka vyama vya upinzani pia Sasa nauliza kwanini usimteue Lema, Msigwa, Sugu au Lissu? Au hawa sio wapinzani?
Back
Top Bottom