Watu wanazungumzia mapaja, sijui kifua n.k ila hawajui mgogo unahisia kali sana, kwa jinsia zote. na unakua na raha ya kukufaya u relax.
we jaribu leo ulale, kisha mwenza wako akushike shike mgongoni uone, au afanye kama anakutumbua chunisi au vipele, kisha utaona relaxatio and stimulation...