Nina mwanafunzi anayesoma ICT, Yuko mwaka wa kwanza Sasa, amenambia wanagusa Kila sehemu wanasoma cyber security, networking, web development, programming, n.k kaniuliza achague kipi hasa kitakachomsaidia kwenye kujiajiri? Au kufanya kazi na kampuni mbalimbali, kuliko kusubiri ajira za serikali...