Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (born February 24, 1956) is a Tanzanian lawyer who from April 2021 to January 2022 served as the country's Minister for Constitution and Legal Affairs, appointed by President Samia Suluhu. He was a Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation appointed by President John Pombe Magufuli since 2020 to 2021.
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗡𝗔 𝗣𝗥𝗢𝗙. 𝗞𝗔𝗕𝗨𝗗𝗜 𝗪𝗔𝗜𝗧𝗘𝗠𝗕𝗘𝗟𝗘𝗔 𝗞𝗔𝗠𝗕𝗜 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝗦𝗧𝗔𝗥𝗦 𝗠𝗜𝗦𝗥𝗜 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗪𝗔𝗞𝗔𝗕𝗜𝗗𝗛𝗜 𝗕𝗘𝗡𝗗𝗘𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, wameitembelea...
Tuombe mahojiano kati ya Prof Lumumba na Prof Kabudi kuhusu demokrasia na katiba. wote ndiyo wabobeaji wa sheria wa EA ingawa mmoja ni chawa na mtoa macho mkubwa. Hii itasaidi tujue tunaenda wapi kwa hoja.
https://youtu.be/QLp9ydc6K3I?si=ipvBzt3KHGEhw2sj
Wananchi ni wazalendo
Wachezaji ni wazalendo zaidi
Viongozi ni wazalendo kiasi
Sasa:-
Mpira ni uwekezaji, tena wa muda mrefu - ili tupate ushindi.
Leo goli la mguu limegoma;
Goli la kichwa limegoma;
Goli la mkono nalo limegoma!
Watanzania wanaumia!
Ni moja katika ya ma profesa wachache wenye kujua kuzungumza na kujua kuchezea lugha ya Kiswahili. Huwa namsifu.
Ni profesa ambaye unaweza ukampa kazi awaelezee watu faida za kufuga Nzi ni nyingi kuliko kufuga Nyuki. Na akaelezea kwa mbwembwe sana na wengi wakafurahia sana na kuanza kuangalia...
https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb
Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).
Tukio...
amani
balozi
balozi wa marekani
demokrasia
gani
hatari
hekima
kabudi
kongamano
kukimbia
kuliko
kwao
mabavu
mara
marekani
mbowe
moja
muafaka
muhimu
mwakilishi
nchini
profkabudi
rais
ripoti ya uzinduzi wa hali ya demokrasia nchini
sana
taifa
tcd
ubaya
uhuru
umoja
usalama
usalama wa taifa
utulivu
wakati
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo.
Uteuzi wa Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Sheria kwa Mara ya tatu, japo umefanywa na Rais Samia ambaye ni binadamu, Rais Samia ameongozwa na Roho wa Mungu kumuona Prof. Kabudi!. Hii maana yake Mungu ana makusudi fulani...
Mbali na viongozi kujua wanaowateua ni bure kabisa lakini bado wanaendelea kuteua watu hao hao! Awamu zote mambo ni haya haya, miaka nenda rudi bado tunafanya makosa haya haya!
Hii inafanya tupigie mstari wa wino mwekundu kuwa, kuna ka mkono kao huwa kanahusika kwenye upigaji wa hii mikataba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.